Dalili za mwanamke asiyekupenda kwa dhati

Dalili za mwanamke asiyekupenda kwa dhati

1: ni mnatupanga sana huenda huenda majirani wanamfahamu Asha, huku kazini wanamjua Aggy Kule nyumbani wanamjua Lucy, kansani/ msikitini wanamjua Aisha,, sasa hapo unaanzaje kujicomfedisha kutembea na mwanaume.

2: kwenye utambulisho mwanaume ndie anaefungua kitabu kisha mwanamke anafuata, kama upo kimya nae atakaa kimya.
 
Aisee na mwanaume asiyekupenda anakuaje mkuu maana....[emoji848]
Atakupa hela ya kutoa mimba na kumeza P2 kila mnapokutana

Hakupi hela/msaada za kutimiza malengo yako, wala kukuhudumia kwa chochote

Hakutambulisha popote

akitoka na wewe basi ni bar, club ama lodge

Atakugongea kwenye gari vichakani na maghetto ya wana

Atakuomba ndogo
 
Mi ngoja nifate maandiko tu.
“Enyi waume, wapendeni wake zenu, kama Kristo naye alivyolipenda Kanisa, akajitoa kwa ajili yake;
” Waefeso 5:25

“Enyi wake, watiini waume zenu kama kumtii Bwana wetu.
”Waefeso 5:22

1 Wakorintho 7: 3-5
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
³ Mume na ampe mkewe haki yake, na vivyo hivyo mke na ampe mumewe haki yake.
⁴ Mke hana amri juu ya mwili wake, bali mumewe; vivyo hivyo mume hana amri juu ya mwili wake, bali mkewe.
⁵ Msinyimane isipokuwa mmepatana kwa muda, ili mpate faragha kwa kusali; mkajiane tena, Shetani asije akawajaribu kwa kutokuwa na kiasi kwenu.

Mi akiishanipa mbususu na kuniheshimu inatosha hayo mengne atajijua
 
Back
Top Bottom