Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,095
- 22,731
Sisi hatunaga mambo mengi, ni machache tu, hatutoi pesa za matumizi na unaiona kabisa ninayo ila sikupi hata kidogo na ukiniomba unaona na kwambia kabisa sikupi ili uniache. Pili tunaringa kutoa mchezo yaani unaweza ukataka nikakujibu sijisikii poa kufanya leo.Aisee na mwanaume asiyekupenda anakuaje mkuu maana....[emoji848]