financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
Thank youu😀 kwahiyo Wity anakusingizia ama ni kweli kuhusu.....🏃♀️Umechagua fungu lililo jema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thank youu😀 kwahiyo Wity anakusingizia ama ni kweli kuhusu.....🏃♀️Umechagua fungu lililo jema
Kumjua mwanamke ni jambo dogo sana,na kusoma kwako nakala 100,000 (Japo si kweli),jalia ingekuwa kweli basi hukujua wapi pakuchukua maalumati juu ya mwanamke.Kuna nakala takriban 100,000 nilizosoma zilizoelezea namna ya kumjua mwanamke anayekupenda. Na kila nayosoma nikifika mwisho inasema kwa maelezo zaidi tafuta kitabu fulani uelewe zaidi
Nimesoma vitabu vya wanafalsafa wengi na historia zao, wapo ambao walikufa katikati ya research ikiwa bado haijakamilika wakiendelea kutafuta majibu ya kumjua mwanamke
Yupo mwanafalsama mmoja alikua na hoja nzito sana ambayo ilionekana kupigiwa kura nyingi za ndio. Huyo ndo mwanafalsafa aliyesema ili mwanamke akupende unatakiwa umiliki pesa
Lakini tangu billgate na jef bozess ndoa zao ziparanguke imebidi aingie chaka tena kufanya research upya
Wewe unazani anayefanya yote hayo atakueshimu vipi???wee niheshimu tu yaliobaki niachie mimi
Mbususu muhimu, mengine baadaye sio! [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Mwambie aniambie nina dawa....mficha maradhi...Alafu haya matatizo ya kujikojolea mara nyingi huwakuta wanawake..huyu financial services ana mdogo wake yupo high school ndy ana Hilo tatizo Kwa mujibu wa maelezo yake..so mtafutie dawa maana yeye anambwela Tu Hadi Leo hajachukua hatua yoyote,kuna mtu kajitokeza Ampe dawa lkn Hadi Leo mwezi wa pili Hadi namkumbusha alafu anasema alisahau
Japo sisi wanaume ndiyo tunapenda sana ndiyo maana majukumu ya kuwatunza na kuwasimamia yapo kwetu,ila wanawake nao wanapenda mno. Hili liko wazi.Kwa mwanamke hakuna kitu kupenda.
Tatizo lake ubishi tuHahaha! Mambo yake tumuachie mwenyewe.
Ukimaanisha jimbo la mahondaw lipo wazHahahaha yule mwamba inaonekana kabwaga
huyo tutakuwa tunamsaidia mechi za ugenini we mwache ajidanganyeOyaaaa una mtu?
dua gat your backsUposti pia na dalili za Mwanamke anaekupenda kweli kweli.
wewanya lite ye anataka henkeinAnakula vibaya! Ya kutolea pia? 😂
ndo aina ya upendo nilionaoMmh,nyie ndo huwa mnateseka mpaka watu wanakuonea huruma
akiwa na moja wapo kati ya hizo jaribu tu kumrekebisha ama ongea nae t atakuelewa na natumain atapenda ku change ila km atakuwa na zaid mybe 3 thats how its startAkiwa na zote au mojawapo
1.HAPIGI SIMU, BALI HUTUMIA SMSAisee na mwanaume asiyekupenda anakuaje mkuu maana....🤔
pesa sabuni ya roho.....ila si kila kitu!......hii inanikumbusha wana waisraeli walipokuwa jangwani kutoka Misri kuelekea nchi ya ahadi Mwenyezi mungu aliwalisha Manna ambayo ilikuwa bora kuliko vyakula vya duniani ila watu hawa hawakutosheka au waliboreka wakata vyakula vyao dhalili vya kidunia.Kuna nakala takriban 100,000 nilizosoma zilizoelezea namna ya kumjua mwanamke anayekupenda. Na kila nayosoma nikifika mwisho inasema kwa maelezo zaidi tafuta kitabu fulani uelewe zaidi
Nimesoma vitabu vya wanafalsafa wengi na historia zao, wapo ambao walikufa katikati ya research ikiwa bado haijakamilika wakiendelea kutafuta majibu ya kumjua mwanamke
Yupo mwanafalsama mmoja alikua na hoja nzito sana ambayo ilionekana kupigiwa kura nyingi za ndio. Huyo ndo mwanafalsafa aliyesema ili mwanamke akupende unatakiwa umiliki pesa
Lakini tangu billgate na jef bozess ndoa zao ziparanguke imebidi aingie chaka tena kufanya research upya
1.HAPIGI SIMU, BALI HUTUMIA SMSUkiweka za mwanaume naomba unitag!
Dadaako wity Kwa kweli amenisingiziamwambie aniombe radhi..nimeacha kujikojolea nikiwa nasoma viduduThank youu[emoji3] kwahiyo Wity anakusingizia ama ni kweli kuhusu.....[emoji2088]
NitarudUnapokuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi mwanamke ambaye hakupendi kwa dhati basi utamgundua kwa dalili zifuatazo;
- Hataki kuambata na wewe katika matembezi na ikitokea anakuwa mtu wa masharti mara akuambie tangulia nakuja au pengine kutembea nawe kwa umbali.
- Anapata kigugumizi kukutambulisha kwa rafiki zake na ndugu na inapotokea amebanwa hafikishi ujumbe kwa kiwango timilifu.
- Haoneshi kubana matumizi kwa ajili ya maendeleao, kwake ni kufuja mali na anapokosa kupewa pesa ni mwepesi kulalamika na wakati mwingine kununa kabisa.
- Anaahilisha mara kwa mara kukutana na wewe tena bila kukueleza sababu za msingi Au kukutungia uongo wa dhahili na kuusisitiza bila kuona aibu.
- Anapokuwa akitoa maelezo ya mwanaume amtakaye sifa zake zinakuwa hayalingani na wewe. Anaweza kukuambia napenda kuishi na mwanaume mwenye gari au mwenye mwili mkubwa, sifa ambazo wewe huna!
- Hacheki kwa furaha hata kama ukimchekesha haoneshi furaha ya moyoni. Tena mara nyingine anakuwa mkimya na mshiwishi mkubwa wa kuachana kutoka kwenye matembezi yenu ya jioni. “Aaah, mi nimechoka narudi nyumbani”
- Anajaribu kukuunganisha na wanawake wengine na haoni vibaya anaposikia unamfukuzia mwingine badala yake anakutia moyo wa kuendelea na usaliti wako. Hana wivu kabisa.
- Hajuti anapokukosea, mwepesi wa kujitenga, kutokuzungumza nawe na mwingi wa kukusukumia makosa hata kama yeye ndiye aliyekukosea.
- Msambazaji wa habari za udhaifu wako na mtu asiyekusifia mbele za wenzake. Si balozi mwema kwa familia yake, haishi kukuponda mbele ya wazazi na ndugu zake.
- Mwepesi wa kupokea na si wa kutoa mmiliki wa mali zako na mkumbatiaji wa mali zake pia. Msiri wa mipango yake na mtu anayependa kujua zaidi ya kwako kuliko wewe kujua yake.