Ethan Cruz
JF-Expert Member
- Apr 29, 2021
- 231
- 331
- Thread starter
- #121
krbNitarud
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
krbNitarud
Anaona aibu..mcheki pm labda huko atafungukaMwambie aniambie nina dawa....mficha maradhi...
Hatari kwa maendeleo! 🤣 🤣 🤣wewanya lite ye anataka henkein
Ukiweka za mwanaume naomba unitag!
ilo ni tatizo tn kubwaHatari kwa maendeleo! 🤣 🤣 🤣
Wakolosai 3:18-19kwanini source au reference ya mliko itoa hii nyingine hamzichukui mara zote mnai quote hii tu kwanini
😀😀 basi acha nimuombee radhi mimi! Mtupie taulo mkuu Satoh😀Dadaako wity Kwa kweli amenisingiziamwambie aniombe radhi..nimeacha kujikojolea nikiwa nasoma vidudu
Duh mkuu huu ni mkuki moyoni,hizi sifa zote mbaya anazo yeye😒😒1.HAPIGI SIMU, BALI HUTUMIA SMS
2.ANA SABABU ZA KUCHELEWA
3.ANAWASILIANA NA MPENZI WA ZAMANI
4.HAKUTAMBULISHI KWA MARAFIKI
5.HUEPUKA WATU KUWAONA PAMOJA
6.HAZUNGUMZII MIPANGO YA BAADAYE
7.HAKUNA MATENDO YA MAHABA
8.MIPANGO UNAPANGA WEWE
9.HANA MPANGO NA WATU WAKO
10.HAKUMBUKI LOLOTE LA MAANA
Umeniacha hapo 'mtupie taulo'..wengine wazito wa kuelewa code[emoji16][emoji3][emoji3] basi acha nimuombee radhi mimi! Mtupie taulo mkuu Satoh[emoji3]
so sorryDuh mkuu huu ni mkuki moyoni,hizi sifa zote mbaya anazo yeye😒😒
Hizo sifa zote alikuaga nazi Manzi moja niliyekuaga nae. Niliachanaga nae.Unapokuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi mwanamke ambaye hakupendi kwa dhati basi utamgundua kwa dalili zifuatazo;
- Hataki kuambata na wewe katika matembezi na ikitokea anakuwa mtu wa masharti mara akuambie tangulia nakuja au pengine kutembea nawe kwa umbali.
- Anapata kigugumizi kukutambulisha kwa rafiki zake na ndugu na inapotokea amebanwa hafikishi ujumbe kwa kiwango timilifu.
- Haoneshi kubana matumizi kwa ajili ya maendeleao, kwake ni kufuja mali na anapokosa kupewa pesa ni mwepesi kulalamika na wakati mwingine kununa kabisa.
- Anaahilisha mara kwa mara kukutana na wewe tena bila kukueleza sababu za msingi Au kukutungia uongo wa dhahili na kuusisitiza bila kuona aibu.
- Anapokuwa akitoa maelezo ya mwanaume amtakaye sifa zake zinakuwa hayalingani na wewe. Anaweza kukuambia napenda kuishi na mwanaume mwenye gari au mwenye mwili mkubwa, sifa ambazo wewe huna!
- Hacheki kwa furaha hata kama ukimchekesha haoneshi furaha ya moyoni. Tena mara nyingine anakuwa mkimya na mshiwishi mkubwa wa kuachana kutoka kwenye matembezi yenu ya jioni. “Aaah, mi nimechoka narudi nyumbani”
- Anajaribu kukuunganisha na wanawake wengine na haoni vibaya anaposikia unamfukuzia mwingine badala yake anakutia moyo wa kuendelea na usaliti wako. Hana wivu kabisa.
- Hajuti anapokukosea, mwepesi wa kujitenga, kutokuzungumza nawe na mwingi wa kukusukumia makosa hata kama yeye ndiye aliyekukosea.
- Msambazaji wa habari za udhaifu wako na mtu asiyekusifia mbele za wenzake. Si balozi mwema kwa familia yake, haishi kukuponda mbele ya wazazi na ndugu zake.
- Mwepesi wa kupokea na si wa kutoa mmiliki wa mali zako na mkumbatiaji wa mali zake pia. Msiri wa mipango yake na mtu anayependa kujua zaidi ya kwako kuliko wewe kujua yake.
pole sn mkuuHizo sifa zote alikuaga nazi Manzi moja niliyekuaga nae. Niliachanaga nae.
Basi vzurndo aina ya upendo nilionao
Yaani mbn Una gundu hivyo..Kama anakufanyia hivyo basinpole sanaDuh mkuu huu ni mkuki moyoni,hizi sifa zote mbaya anazo yeye😒😒
Dah ahsante mkuu! Hili ni gundu haswaaYaani mbn Una gundu hivyo..Kama anakufanyia hivyo basinpole sana
Lakn mkuu Extrovert mbn ni mcheshi na anaonekana mpole sana..nn tatzoDah ahsante mkuu! Hili ni gundu haswaa
Jiongezee mzee! Ila unaweza kutuma zawadi ya misimbazi iliopangwa kama maua 😂😂😂Ukimaanisha jimbo la mahondaw lipo waz