financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
Duh😭😭 hayaAtakupa hela ya kutoa mimba na kumeza P2 kila mnapokutana
Hakupi hela/msaada za kutimiza malengo yako, wala kukuhudumia kwa chochote
Hakutambulisha popote
akitoka na wewe basi ni bar, club ama lodge
Atakugongea kwenye gari vichakani na maghetto ya wana
Atakuomba ndogo
Dawa ya kukojoa kitandani? Bado sijapata mkuu nisaidie kutafuta😛Unabadilisha neno mwanamke unaweka mwanaume,maelezo ni hayohayo!!
Nje ya mada;vp ulifanikiwa kupata Ile dawa ya kuacha kuk...? Kwa sababu sijapata mrejesho wako Hadi leo[emoji16]
🤣Afadhali umetaja mwenyewe maana niliogopa ungenishushua,lkn nakumbuka jamaa ndy alikuahidi angekupa hiyo dawa na ungepona kabisa kisha wewe ndy ukaniahidi ungenipa mrejesho km umepona au lah😁Dawa ya kukojoa kitandani? Bado sijapata mkuu nisaidie kutafuta😛
Aah sasa kwanini nikushushue mkuu mbona tatizo la kawaida hilo😀 ila nilikua nimesahau kumcheki huyo jamaa ngoja ntamcheki anisaidie aisee🤣Afadhali umetaja mwenyewe maana niliogopa ungenishushua,lkn nakumbuka jamaa ndy alikuahidi angekupa hiyo dawa na ungepona kabisa kisha wewe ndy ukaniahidi ungenipa mrejesho km umepona au lah😁
Sasa mwezi wa pili huu unaenda naona kimya ndy maana nimekukumbusha mkuu
Kama Hadi Leo hujamcheki basi hapa hakuna kikojozi😂..huyo dogo wa shule mwache Tu amalize shule kisha arudi home kujenga taifaAah sasa kwanini nikushushue mkuu mbona tatizo la kawaida hilo😀 ila nilikua nimesahau kumcheki huyo jamaa ngoja ntamcheki anisaidie aisee
Mmh utamuoa hivo hivo? Usije kuninyanyasia mdogo angu bure sitakiii 😀Kama Hadi Leo hujamcheki basi hapa hakuna kikojozi😂..huyo dogo wa shule mwache Tu amalize shule kisha arudi home kujenga taifa
Mambo yakimwendea kombo mwambie kuna mtu amejitolea kukuoa na hiyo Hali yako
Mbususu muhimu, mengine baadaye sio! 🤣 🤣 🤣Kama anatoa papuchi mengine sio kipaombele sana maana kipao mbele changu uwe unatoa papuchi mara 4 kwa wiki kwa hivyo kama unanipenda ama hunipendi utajua mwenyewe
Research kuhusu hawa viumbe haiishi leo! Wako complicated balaa! 😂 😂 😂Kuna nakala takriban 100,000 nilizosoma zilizoelezea namna ya kumjua mwanamke anayekupenda. Na kila nayosoma nikifika mwisho inasema kwa maelezo zaidi tafuta kitabu fulani uelewe zaidi
Nimesoma vitabu vya wanafalsafa wengi na historia zao, wapo ambao walikufa katikati ya research ikiwa bado haijakamilika wakiendelea kutafuta majibu ya kumjua mwanamke
Yupo mwanafalsama mmoja alikua na hoja nzito sana ambayo ilionekana kupigiwa kura nyingi za ndio. Huyo ndo mwanafalsafa aliyesema ili mwanamke akupende unatakiwa umiliki pesa
Lakini tangu billgate na jef bozess ndoa zao ziparanguke imebidi aingie chaka tena kufanya research upya
Ukiwa hivyo utaheshimiwa na kufanyiwa utii.wee niheshimu tu yaliobaki niachie mimi
Dalili zenyewe inasemekana kuwa lidume lazma liwe na 'microscope eyes' ndio liweze kuziona sababu zipo kama hazipo! 🤣Hakuwa na hizo dalili, ila aliniacha.
Hayo ni maandiko yameagiza tuwe ivyo lkn hulka yetu si kupenda ndo mana biblia inaimiza mana ukweli kwamba wanaume si wapendaji bali ni watu wa kutamani na wanawake wengi ni viburi biblia inaagiza watutiiNa kazi ya mke ni kutii. Biblia imesema ..enyi waume wapendeni wake zenu.
Anakula vibaya! Ya kutolea pia? 😂Anaomba na ya kutolea.....
Tupinge Kama nitamnyanyasa..nitakuwa namwekea alarm saa nne saa saba na saa kumi kila siku Hadi atakapoponaMmh utamuoa hivo hivo? Usije kuninyanyasia mdogo angu bure sitakiii [emoji3]
Hizo alarm ndiyo manyanyaso yenyewe sasa anakua hana uhuru bana, mwache alimwage magodoro mtanunua mengine 😀😀 ila ni changamoto sana mkuu basi tu, namuonea huruma huko aliko🤔Tupinge Kama nitamnyanyasa..nitakuwa namwekea alarm saa nne saa saba na saa kumi kila siku Hadi atakapopona
Tatizo smart mbish sanaUkiweka za mwanaume naomba unitag!
Ni leo tu. Siku nyingine unaongeaga nini sijuimimi kila siku naongea vya maana wewe tu hunielewi
Sawa, na sie wanawake hatuwapendi nyie. Maisha na yaendeleeHayo ni maandiko yameagiza tuwe ivyo lkn hulka yetu si kupenda ndo mana biblia inaimiza mana ukweli kwamba wanaume si wapendaji bali ni watu wa kutamani na wanawake wengi ni viburi biblia inaagiza watutii
usinisingizie ukiona nimeongea nini sijui hebu nikamate hapo hapoNi leo tu. Siku nyingine unaongeaga nini sijui