Dalili za mwanamke asiyekupenda kwa dhati

Usiombe uwe na hali hii

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Jiongezee mzee! Ila unaweza kutuma zawadi ya misimbazi iliopangwa kama maua [emoji23][emoji23][emoji23]
Misimbazi kama mingapi inafaa kuanza nayo?

Lakin hiyo ina sound kama exchange fulani , so I am to give her my penny what do I get in return ?
 
Anyway niko na mdada wa kisabato hapa kila ikifika ijumaa jioni hataki mchati hadi kesho jioni sijajua ndo utaratibu wao wa imani au vipi.

Last time nlimtext ijumaa iliopita hakunijibu nikaja mtext asubuhi njema ,akanijibu ndo ikawa ntolee hadi leo sijapokea sms yake na wala hakuna xcuse why hakujibu sms zangu nlizomtumia ijumaa jioni.

Niseme tuu if a woman doesn't give u her time ,there is somewhere she invests to.
 
Kama anatoa papuchi mengine sio kipaombele sana maana kipao mbele changu uwe unatoa papuchi mara 4 kwa wiki kwa hivyo kama unanipenda ama hunipendi utajua mwenyewe
Agiza kinywaji baridi, bili utalipa mwenyewe kwa sababu mimi sina pesa leo
 
Wakati huo anakufanyia hayo na yeye kuna boya anamzingua.

Siku zote mapenzi ndivyo yalivyo. Kuwa na asiyekupenda au usiyempenda
 
Tafuta kuishi kwa kiasi sio kupendwa kwa dhati ndio maana mkitendwa na pretenders mnajiua.

Ulizaliwa pekeyako jitahidi kuishi as if uko peke yako
 
Sasa Kama hakupendi kwanini anamahusiano na wewe.

Kwani uyo mwanamke ambaye hampendi mwanamme anasemaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ