Sawa ndio katafute sasa hao wenye pesa usitukoromee..Ukiona unahangaika sana na mapenzi yakujionyesha kuwa unaweza kufanya jamboo kwa mpenzi wako .
WEwe jua wewe ni maskini .
Eti mtu unajifanya uko updated eti maji nimelipa babe eti umeme nimeweka dstv nimelipa nimekununulia simu huo ni ujinga . Hayo ni maisha ya wanaume wa Dar na wa chuo.
Wanaume wenye hela wanaenda mpaka idara ya maji na tanesco na wanalipia kwa mwaka au miezi 6 na gari anakuwa anakubadilishia anakufungulia kampuni au biashara ya mabilioni halafu eti wewe simu tu unapiga simu mpenzi nimekupigia kukuambia kuwa nimekununulia simu.
Wanaume wenye nazo hawatoi notification wanafanya unaona unasikia simu uko wapi kazini nakuja anakupa mali gari mpya . Sio hao wanajiona wanaume wanapiga pumbu hadi wanakuchakaza, mama yako akija anakupita akizani bibi mwenzie amekuzalisha hadi huna ramani imefutika .
Maisha haya unatakiwa mtu mwenye pesa . Sio mwanaume mwenye juhudi .
Juhudi ampelekee mama yake kijijini
Kuhudumia sio shida, ntaanzisha uzi ni attach comment za wadada nlizoziona TikTok kuhusu wao kuhudumiwa, dada yangu izo comments zinatisha, ungekua mwanaume ukaziona izo comments utaapa kutohudumia tena leo dadasio utegemezi ni hudumia umpendae jamani
Nadhani umeandika kuchangamsha genge, sio uhalisia. Hawa wanaume kama wapo Tanzania hii hawazidi 1000. Sasa sisi tusio na huo uwezo sio wanaume au?Wanaume wenye hela wanaenda mpaka idara ya maji na tanesco na wanalipia kwa mwaka au miezi 6 na gari anakuwa anakubadilishia anakufungulia kampuni au biashara ya mabilioni halafu eti wewe simu tu unapiga simu mpenzi nimekupigia kukuambia kuwa nimekununulia simu.
Ukiwa na hela mwanamke lazima atakupenda tu trust me, yaan atakususia vyote, kazi itarudi kwako kuanza kuhisi hisi kua anakuektia badala ya kuenjoy maunoTatizo hamna guarantee kama mwanamke hakupendi ni hakupendi tu, hata mkipewa ivyo vyote haisaidii kuimarisha penzi la kweli, sana sana kidume utapewa miuno feki na affection feki, ili uendelee kutoboka Dr. Mariposa
Hebu anzisha uzi halafu unitag tujadiliKuhudumia sio shida, ntaanzisha uzi ni attach comment za wadada nlizoziona TikTok kuhusu wao kuhudumiwa, dada yangu izo comments zinatisha, ungekua mwanaume ukaziona izo comments utaapa kutohudumia tena leo dada
Mjomba nionee huruma. 😮💨
Ninapitia kipindi kigumu sana cha kuachwa na mwanamke niliyempenda kwa sababu sina kipato cha kutosha cha kumhudumia.
Sisi tunataka bikra hatutaki pesa za bana yako, nyie wekeni vigezo vyenu sijui hela, sijui gari, mara mrefu mweusi, ila sisi tuna kigezo kimoja tu, bikra.Baba yangu alikuwa na gari 2 na dereva 1 na alikuwa na pikipiki moja kubwa moja ndogo so endelea kujidanganya mwenzako ml 1 au 2 kipindi cha mwalimu mpaka 5ml ulikuwa mshahara wake.
Wanaume wanao honga wote wapuuzi(ndondocha/misukule) unawezaje kuhonga papuchi ilio tumiwa kama daldala ya Bunju B?. Wakati wazee wa mwanaume wana makaazi magumu pamoja na Ndugu zake?.nimekununulia simu huo ni ujinga
Kamtoe mwanaoSisi tunataka bikra hatutaki pesa za bana yako, nyie wekeni vigezo vyenu sijui hela, sijui gari, mara mrefu mweusi, ila sisi tuna kigezo kimoja tu, bikra.
Kazi kweli kweliUkiona unahangaika sana na mapenzi yakujionyesha kuwa unaweza kufanya jamboo kwa mpenzi wako .