Dalili za mwanaume maskini ni hizi

Hakuna popote duniani ambapo mwanamke kadhalilika kisa kupewa pesa na kuhudumiwa

hata kama nina pesa kuhongwa kutasimama palepale.
dunia hii ya sasa kila mtu anajua kutafuta pesa yake na kumiliki lakini nature iko palepale
 
Huoni kua huu uzi ni tayari umemdhalilisha Mwanamke?
Kumbe mnajua kua hua kuna nature? sasa kwanini mnatafuta usawa wa 50/50?
 
Nataufa ni nini tena papi, umekula kweli?

Naona wamekufungulia dunia tunyooshe!

Kwa maparagraph aloacha huko juu, bado tu unahitaji nyongezaπŸ™†πŸ½β€β™€οΈ
Hahaha πŸ˜‚, nime-type vibaya.

Bibie kaandika vizuri, lakini binafsi napenda nione mtazamo wa mkubwa wa hizi kazi Natafuta, maana napenda kuangalia vitu kwa mitazamo tofauti tofauti.

Ayatollah 2026 nyooshaaa! 😎
 
Hakuna popote duniani ambapo mwanamke kadhalilika kisa kupewa pesa na kuhudumiwa

hata kama nina pesa kuhongwa kutasimama palepale.
dunia hii ya sasa kila mtu anajua kutafuta pesa yake na kumiliki lakini nature iko palepale
Nilivyomuelewa mtoa mada si kwamba haongwi ila level ya muhongo anayoipata anaona kama haendani nayo.

Yani kuna brother huko anajipinda kulipa bills kwa upendo ila yeye anatamani level kubwa zaidi ilhali hata anavyopewa hawezi kujipa mwenyewe. Unaona hilo ni sawa?..

Vipi kama hata yeye hana vigezo vya kuhongwa hivyo vitu anatamani ?..

Maana huwezi tamani kuhongwa kama madam ritha kwa lifestyle ya pipityda.. Ipo wazi

Hata mwanamke anaongezeka value akiwa financially independent
 
Hahaha πŸ˜‚, nime-type vibaya.

Bibie kaandika vizuri, lakini binafsi napenda nione mtazamo wa mkubwa wa hizi kazi Natafuta, maana napenda kuangalia vitu kwa mitazamo tofauti tofauti.

Ayatollah 2026 nyooshaaa! 😎
Mitazamo ya kumpooza mwanaume asijione ana haki ya kufanya lolote! Ila sio tofauti na hilo!

Umemiss kuona tunatukanwa tu wewe, tuanze kuambiwa tumejichubua kama kitimoto na tumevaa miwani kwneye komwe, Au umemiss mtanangeπŸ˜‚
 
Huenda anahongwa kulingana na uzuri wake.

Kwa mfano unamuhongaje pesa ndefu mtu ambaye hana hata makebo, pua kama ya nguruwe n.k.

Kama anataka kuhongwa pesa ndefu awake kwanza sifa zake ili tulinganishe na kile wanachompea kama hongo.
 
Kila kitu hua kina standard yake,
Mleta mada anataka mwanaume alipie usafiri wa Bajaji kama atakavyolipia akisafiri kwa Ndege! yani nauli ya Bajaji na Ndege ziwe sawa!
 
Mitazamo ya kumpooza mwanaume asijione ana haki ya kufanya lolote! Ila sio tofauti na hilo!

Umemiss kuona tunatukanwa tu wewe, tuanze kuambiwa tumejichubua kama kitimoto na tumevaa miwani kwneye komwe, Au umemiss mtanangeπŸ˜‚
Tatizo ninyi mnakuwa negative kuhusu anachokiongea Natafuta.

Laiti kama mngechukua yale mawazo ya Natafuta kama motisha mngefika mbali sana 😁
 
Kila kitu hua kina standard yake,
Mleta mada anataka mwanaume alipie usafiri wa Bajaji kama atakavyolipia akisafiri kwa Ndege! yani nauli ya Bajaji na Ndege ziwe sawa!
Tatizo hajiangalii kwenye kioo. Yeye akiambiwa tu, "we ni mzuri", anaona imeisha hiyooo!

Anunue kwanza kioo kubwa awake chumbani mwake, baada ya wiki aje na Uzi mwingine.
 
Naona kama swali na maelezo ayaone dada rose SweetyCandy
 
"Sio hao wanajiona wanaume wanapiga pumbu hadi wanakuchakaza, mama yako akija anakupita akizani bibi mwenzie amekuzalisha hadi huna ramani imefutika". - Nimecheka kinoma hapa.

Kuhusu mada: Ni mawazo/mtazamo wa mtoa mada, naheshimu mawazo/mtazamo wako mtoa mada.
 
Acha uhuni kijana,yani Uzi wote,wewe umeona kwenye mtu kupigwa Pumbu tu? wakati huyu kapigwa na maisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…