Dalili zinazoonesha umepungukiwa nguvu za kiume

modo tn duh wanafakamia si powa
 
Nakazia hapa

Sent from my TA-1004 using JamiiForums mobile app
 
Bado sijaamini hicho ulichokisema kama vp tuandae uwanja tupige show tuone kama na mimi ntazimia pengine huyo mme wako ni mzembe fulani kutana na mimi kimbau mbau ntakugonga mpaka uchanganyikiwe
 
Ahsante kwa taarifa...

Hakuna uchawi zaidi ya kula vizuri..,fanya

mazoezi na pia kwa uhakika zaidi ili upone hilo

tatizo lako.Tumia vitunguu swaumu kila siku

jioni baada ya kula mlo wa jioni. Tumia punje

sita zimenye vizuri kisha zitwange au

zikatekate vidogo vidogo kisha kunywa na maji

glass moja.Ni bora zaidi ukatumia ndani ya

week mbili utaona matokeo chanya.Ahsante sana.
 
Hakuna uchawi zaidi ya kula vizuri..,fanya

mazoezi na pia kwa uhakika zaidi ili upone hilo...
Raia Weng wamekipgia Kura kitunguu swaumu
Inaonekana maybe kinafanya kaz
 
Yaani mtu anazungumzia tatizo la nguvu za kiume Kama maralia covid. Unajua mfumo wa nguvu za kiume ni tata(complex) sana kuliko wengi wanavyozungumzia mfano ili mwanaume awe sawe lazima awe fit kihisia na kimwili ndio maana kesi nyinyi za kulazimisha ngono wanaume zaidi kuliko wanawake alafu hatuna wanawake wanaopungukiwa nguvu za kikike
 
Na umri pia ukienda ni shida wanaume wengi wakifikisha miaka 40 na kuendelea show zao huwa za kizembe balaa
 
aww qmmke mpaka kwa kichaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Punyero ni janga yamenikuta
Hakuna kitu kama hiko, ulikuwa unapiga punyeto kiasi gani mpaka useme it's dangerous..!? Coz unaulizwa na mpigaji maarufu although nimestaafu kidogo [emoji23]
 
[emoji23] Hakuna kitu kinaitwa upingufu wa nguvu za kiume ni Psychology tu....
 
Affirmative mzee...Nyeto ni swala na mtu anayesex tu ko hawa watu wanaizingizia punyeto ni wajing# tuu...

Mimi nimepiga sana punyeto na nauwasha moto vizuri tu na hakuna kusinyaa wala upumbavu wowote...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…