Uchaguzi 2020 Dalili zote zinaonesha anga limeikataa CCM

Kwamb
Unamaanisha wale wa bbc wao hawapo mtandaoni ? 😂😂😂😂
 
... Mh. Mkapa ambaye alikuwa tegemeo la Chama kipindi hiki muhimu naye Mbingu zimemtwaa! Tuisikilize sauti kutoka Mbinguni ina ujumbe gani watanzania!
Hata JK ambaye walikuwa wamtegemee, kauli za kule Masasi zinadhibitisha kuwa amewachoka na particularly Jiwe.
JK ni mtu mzima bado hajasahau ile kejeli kuwa wastaafu wengine wanawashwa.
Pia mteule wa Chadema ameanza kutambuliwa na wazee wa CCM
 
Shida hujui kiwa maisha ni namba na namba zimeikataa CCM!

Historia inakwenda kubadilika october 28 nukuu kauli yangu.
Namba zipi? Huu upepo wa Lisu ndio namba?

Kwahiyo wewe ulitegemea katika huu uchaguzi wa vyama vingi huko upinzani kusiwe na purukushani zozote? Sasa ungekuwa uchaguzi wa vyama vingi huo?

Lisu atatoa tu changamoto ya uchaguzi lakini hataambulia hata 20% ya kura.
 
Mimi sii mwana CCM lakini kwa sasa CCM itashinda kwa kishindo sana. Innaweza isifikie ile rekodi ya mwaka 2005 lakini itashinda japokuwa kutakuwepo pia ushindani mkali
 
Magu ndo Hatoambulia hata 20% ya kura subiri utajionea
 
Hawa ni wale waliodekishwa barabara ile 2015 sasa bado wana mawenge..

Mimi nmemshauri asijejikuta anavaa pichu kichwani siku matokeo yanatangzwa,
Bado madhara ya kudekishwa barabara yanawagharimu kwenye vichwa vyao.
 
Baada ya October usije kuupdate li uzi lako...
 
Wapo mitandaoni na nilikuwa namaanisha anapofanya research yake ya mitandaoni awe anapita na huko pia
Anza kutafuta shughuli nyingine maana maigizo yenu yanafikia tayari october!

yesu wenu wa Kangi Lugola atafurushwa hatoamini
 
Anza kutafuta shughuli nyingine maana maigizo yenu yanafikia tayari october!

yesu wenu wa Kangi Lugola atafurushwa hatoamini
Hongera kwa kujiandaa kumfurusha yesu wa lugola
 
Mgombea mwenza keshapatikana au watamuomba tena Duni Haji?!
 
Nimeufuatilia huu uzi kuanzia mwanzo hadi mwisho ni 100% pro-CDM! Kweli mwisho wa ccm umewadia. Tukamatie hapo hapo hadi October.
Duh...hii hali haiwezi kubadilishiwa gia angani
CCM inakwenda na maji
CCM inabebwa na vyombo vya dola, ccm bila kubebwa kwisha
Dah...suala la ajira ni kombora baya sana la kuipiga ccm. Hii hatari sana. Hela za hayo mabombadiya angekopesha vijana wajiajiri...
Safi sana!
CCM iende na mashuka yao ya kijani
Jiwe na kundi lake wana hali ngumu Sana. Jiwe anaweza akajitoa kwenye kinyang'anyiro.
Tundu Lissu ameweka historia katika nchi yetu, watoto wetu na vizazi vijavyo vitasoma habari ya kijana kutoka Singida Mashariki aliyebadili upepo wa siasa Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…