stonecutter
JF-Expert Member
- Jun 12, 2022
- 1,724
- 2,584
Ameumia sana.Nimefuatilia comments zako nyingi inaonekana hii offensive ya waasi imekutouch sana aisee! Sometimes unajaribu kuleta habari za kujifariji hata za kupotosha lakini mwisho wa siku mambo kwa ground ndio hivo
Kwa nini umeumia hivi mkuu!?
Ndege za Putin zinawashambulia Waasi lakini Waasi wako Very fast Wanamgambo wa Hezbollah na IRGC wa Iran hao wanakula kichapo cha kimya kimya kutoka kwa US Airforce na IDF.Putin na Ayatollah wako wapi wamsaidie Assad???
Putin na Ayatollah wako wapi wamsaidie Assad???
Russia kuishiwa resos hajaanza Jana wala leo unavyo sema wewe ila bado tu anapigana miaka sasa pole kijanaUsitishe watu huyo urusi na yy anasubiliwa vilevile akijichanganya watu wanampelekea moto kwani hao waasi safari hii hawajaja kizembe wanazo hadi drone za kutungulia ndege kwahiyo urusi ajishkilie,
Mfupa wa ukraine umemkwama hawezi tena kujigawa maana vita imechukua muda mrefu na resources zimeanza kukata so aamue aende akamsaidie asada na ateme bungo ukraine
Yaani hii tunaita ugali moto mboga moto
Kashasema. Unadhani Uturuki angeweza mtishia USSR hata kidogo? Lakini hawa Uturuki ni juz juz tu tulikuwa upande wao Ottoman Empire leo tena tunashindwa waunga mkono wanapopambana na Kafir Putin.Ya kwamba Uturuki adungue ndege za Urusi ?
Hawezi thubutu huo ujinga.
Russia suala la Ukraine linamuumiza kichwa Putin. Na mara kadhaa kashasema yupo tayari wakae wayajenge. NATO hawataki. Wanataka Ukraine aendelee kumsumbua Putin.Russia kuishiwa resos hajaanza Jana wala leo unavyo sema wewe ila bado tu anapigana miaka sasa pole kijana
Mkuu upo deep sana kwenye diplomatic ya kimataifaHuo muda hawatakuwa nao kwasababu wataanza kupigana wao kwa wao kwa muda mrefu, ndani ya hilo kundi la Waasi kuna wengine hawaelewani kuhusu misimamo.
Hilo Kundi ni Kokolo limejaza kila aina ya Wahuni.
Lakini Israel na US zitakuwa zimefanikisha kukata Line ya Ayatolah kwenda kwa Hezbola na Hamas.
Kaa kimya ,hujui unalooandika we dogo ?Iran, sijui Al jazeera, Assad, Ayatola, Uturuki, Tahariri ya shama, Hawa wote ni wahuni tu wanatumia mgongo wa dini kupigania maslahi binafsi.
Jiulize Utawala wa kiislamu wa Iran unamuunga mkono Assad mwenye utawala wa kisecular, halafu unawapinga waasi wanaotaka kuanzisha utawala wa kiislamu!
Huu si ni uhuni tu.
Halafu akina Ritz wanatokwa povu kila siku kushabikia ujinga.
Kaa kimya ,hujui unalooandika we dogo ?Iran, sijui Al jazeera, Assad, Ayatola, Uturuki, Tahariri ya shama, Hawa wote ni wahuni tu wanatumia mgongo wa dini kupigania maslahi binafsi.
Jiulize Utawala wa kiislamu wa Iran unamuunga mkono Assad mwenye utawala wa kisecular, halafu unawapinga waasi wanaotaka kuanzisha utawala wa kiislamu!
Huu si ni uhuni tu.
Halafu akina Ritz wanatokwa povu kila siku kushabikia ujinga.
Lilax maana yake nini sheikh wangu?Hana hamu naye kivipi?
Hili ni shambulizi la kushutukiza ni lazima itachukua muda kulidhibiti , kiufupi jeshi la Syria lilikuwa limesha lilax kwa sababu kulikuwa na kila dalili ya vita kuisha kutokana na makubaliano ya Astana Kazakhstan yaliyo sainiwa na Urusi Uturuki na Iran,sasa Uturuki kawazunguka wenzake.
Kama Mayahudi au MaarabuMashia ndio nini ?
Wewe ni muislam ?
Usipate taabu op. 3 inakuja general wa Iran kahakikishia waandishi juzi walimuuliza, May be anasuburi silaha za trump ndio aziangamize huwezi jua kwenye hili tumwachie Ayatollah mwenyewe ndio anajua nini kitafaa Kwa muda Gani. Israeli ni wajinga wanahisi wao watakaa Kwa utulivu Kwa haya wanayoyafanya Lebanon siku wakipata AD systems Ngoma itakua tamu Sana ya hizbollahSheikh wangu hizi hadith tunapeana sana kutiana moyo ila naona maji yanazidi kuvurugika. Mimi toka mwanzo i never trusted Israel i told somebody there is something fishy katika haya. Israel anafanya mchakato wa kuleta hali ya kukosekana Utulivu Mash ya kati. Na anafanikiwa. Haya mengine ni mwendelezo ule ule. Ipo wapi Operation Promise ya Iran? Sikutegemea ule ushenzi wameenda kufanya Israel kuingia Iran na kupiga kisha wakatoka usijibiwe. Sikupenda mpaka leo nina hasira.
Put in angekua anania na mazungumzo suala jepesi tu ni kuondoka Ukraine basi ila anaendelea kuwatwanga huku akiwavuruga EU unaona wanavyo vurugana pamoja na nato waoRussia suala la Ukraine linamuumiza kichwa Putin. Na mara kadhaa kashasema yupo tayari wakae wayajenge. NATO hawataki. Wanataka Ukraine aendelee kumsumbua Putin.
Watafanyaje sasa maana Gaza hamas kwisha, Lebanon hizbolah chali, Iran baba lao ndo linanyanyaswa. Hapo hata ningekuwa mimi...Kwanza Malaria2 ndio kaingia mitini kabisa bora hata Bwana Utamπππ
Moja ya agenda ya Marekani ni kupitisha bomba la mafuta na gesi toka central Asia huko kwenda Europe nchi moja nadhani ni Azerbaijan kama sikosei , wamejaribu miaka mingi imeshindikana na ndio maana wana ugomvi na Assad miaka yote ,kwa sababu aligoma , na pia Russia hawezi ruhusu hii kitu ,kwa sababu analinda soko lake la nishati hapo Europe ,na pua USA ana interest ya mafuta kwenye baadhi ya territories humo Syria , pia Saud anachuki ya muda mrefu na Syria kwa sababu amekuwa mtiifu kwa IRan na kuwa na ushirikiano nao ,Saud ni kiongozi wa Sunni Muslims so ugomvi wake na Iran malipizi no kufund mercenaries WA ugaidi huko Iraq na Syria na ndio sababu ya IRan kuamua kutengeneza Shida militias za kupambana na hawa washenzi , Israel ni supporter wa hawa magaidi pia na yeye inajulikana lengo lake ni ili kuleta chaos karibu na IRan , Turkey naye ana support hawa magaidi akiamini wakiingia madarakani atakuwa na upper age ya kuwazima wakurdi kitu ambacho ni ndotoKila mtu nadhani anajua lengo la mzungu dhidi ya Syria ni lipi ila shida atatoboa muda una majibu mara ya kwanza kama alifeli hata mara hii anaweza akafeli ingawaje pia kufaulu pia anaweza akafaulu ila ngoja tungojee
Na hiyo ni Sehemu ya Kwanza, Sehemu ya Pili na THE END inakuja chini ya Trump.Watafanyaje sasa maana Gaza hamas kwisha, Lebanon hizbolah chali, Iran baba lao ndo linanyanyaswa. Hapo hata ningekuwa mimi...
Ona huyu naye kwahiyo mnapingana nyinyi kwa nyinyi ?? Unapingana na chombo cha habariKatika hi vita usitegemee aljazeera kama chanzo chaku kikuu kukupa taarifa kwasbb iko pro-waasi wa kisunni nikama BBC kwa vita ya Ukurain na Russia.
Serikali ya Sytia ina firing power ya ndege kutoka Russia na Iran sio rahisi kuteka mji na kuutawala wakati ndege zinarusha mabomu.
Hao waasi wanashambuliwa hawafii tuNdege za Putin zinawashambulia Waasi lakini Waasi wako Very fast Wanamgambo wa Hezbollah na IRGC wa Iran hao wanakula kichapo cha kimya kimya kutoka kwa US Airforce na IDF.