Mayala B
JF-Expert Member
- May 13, 2019
- 2,109
- 5,284
MUNGU awapiganie sana kwa jina la YESUWao pia huwa wanahesabika kuwa ni "Makafiri" na wakikutana na Radical Islamist (Magaidi) wanauwawa tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MUNGU awapiganie sana kwa jina la YESUWao pia huwa wanahesabika kuwa ni "Makafiri" na wakikutana na Radical Islamist (Magaidi) wanauwawa tu.
Jibu swali wewe ni muislam ?Kama umeishiwa na Hoja ni bora unyamaze tu.
View: https://x.com/Osint613/status/1864746846591046027
Safari hii Israel Ndio inaweza ikawa nchi itakayomtoa Assad hapo Damascus.
Utawala wa Assad umebakia miji mitatu ya Kuilinda Latakia, Homs na Damascus, hii situation inampa wakati mgumu Assad kubaki madarakani bila msaada wa Iran, Hezbollah ameumizwa sana hakuna impact ataleta.
Kama Iran hatomsikiliza Israel basi, Itabidi Israel aishambulie Serikali ya Syria jambo ambalo litazidi kumdhoofisha Sana na pengine Israel inaweza kuingia ndani kabisa ya Syria... Kutoka Golan heights hadi Damascus ni KM 60.
Assad akubali kuigawa Syria kwenye Federation
Usitishe watu huyo urusi na yy anasubiliwa vilevile akijichanganya watu wanampelekea moto kwani hao waasi safari hii hawajaja kizembe wanazo hadi drone za kutungulia ndege kwahiyo urusi ajishkilie,Uzuri vita haitapigwa siku moja au wiki moja bali ni muda mrefu sasa hapa itategemeana na mwenye pumzi ndefu.
Acha waasi waendelee kufurahia honeymoon Russia anavyopigana Ukraine na Syria ni tofauti kabisa nahofia uvunjifu mkubwa wa haki za binadamu hapo Syria.
Russia hapo Syria ni kama hana anacho hofia au jamii anayo ionea huruma.
Hapo Syria hamna ndugu zake warusi kama huko Ukraine useme atakuwa na ka chambe ka huruma.
Napata hofu kwa yanayo enda kutokea hapo Syria labda kama Russia aamue kumtupa Assad japo sina hakika sana.
Ishu sio kupakana, Iran kajiwekea proxy wake kimkakati Kama Lebanon,Yemen na Iraq hivyo supply ya silaha itakua shughuli akiingia huyo gaidi. Adui wa Iran ni US na kitoto chake, na wao ndio wanawaendesha hao waasi unategemea nini Kama Syria ikikaa chini ya hao jamaa.? Kama TU movement ya makundi ya kuingia Syria marekani na Israel wanashambulia misafara Yao kutokea Iraq. Hivyo US ndio wahuni ikifuatia na mturukiKwan Iran inapakana na Syria ndugu?
Rais wa Iran apoe ama asipoe suala la Hizbulla na axis nyengine wala hazimuhusu zote zipo chini ya AyatollahRais wa sasa amepoa kama nini. Waziri wa Mambo ya Nje wa zamani wa Iran mwenyewe aliona ujinga kuangamiza nchi kisa watu wenye fujo.
Umeanza kuufuatilia mgogoro wa Syria toka lini ?Usitishe watu huyo urusi na yy anasubiliwa vilevile akijichanganya watu wanampelekea moto kwani hao waasi safari hii hawajaja kizembe wanazo hadi drone za kutungulia ndege kwahiyo urusi ajishkilie,
Mfupa wa ukraine umemkwama hawezi tena kujigawa maana vita imechukua muda mrefu na resources zimeanza kukata so aamue aende akamsaidie asada na ateme bungo ukraine
Yaani hii tunaita ugali moto mboga moto
Unachosema ni sahihi. Nadhani wamepata nguvu baada ya Russia kuwa na vita na Ukraine.HuuKumbuka ule mwaka ao nyahu wa kituruki walifika adi viungani mwa Damascus lkn kilichowakuta mm naamini awa kizaz cha pili awajui kile wenzao walikutananacho. Ngoja tuone hii mbungi.
Inasemekana hata Mishahara alikuwa halipi Wanajeshi wake wa chini, alikuwa hadi auze Drugs ndio apate hela halafu analipa.Assad hana jeshi imara la kushikilia mji.
Putin na Ayatollah wako wapi wamsaidie Assad???Breaking News; Mapigano makali yameanza kwenye Viunga vya Mji wa Homs, Silaha ndogo na kubwa zinatumika na raia wengi wamekimbilia Mji Mkuu wa Syria Damascus.
Source:Aljazeera
Mchezo unakaribia kwishney😀😁
Usikariri mambo mkuu. Kwenye hili namwona mzungu akitaka kumwondoa Assad kwa jaribio la pili baada ya la kwanza kushindwa. Kama msafara wa wanamgambo wa usaidizi kutoka Iraq umeshambuliwa na Marekani (kwa mujibu wa Iran), Je, tunapata picha gani hapa.Ni stretijia za kivita bwana mdogo!
Kwani kipindi cha nyuma hao magaidi wa Isis walifika wapi na walichukua nchi kwa ukubwa wa kiasi gani? Na kisha wakafanywa nini?
Wewe subiri kitakachowakuta. Utaanza kusikia makelele kutoka kwa white helmet.
View: https://x.com/Osint613/status/1864746846591046027
Safari hii Israel Ndio inaweza ikawa nchi itakayomtoa Assad hapo Damascus.
Utawala wa Assad umebakia miji mitatu ya Kuilinda Latakia, Homs na Damascus, hii situation inampa wakati mgumu Assad kubaki madarakani bila msaada wa Iran, Hezbollah ameumizwa sana hakuna impact ataleta.
Kama Iran hatomsikiliza Israel basi, Itabidi Israel aishambulie Serikali ya Syria jambo ambalo litazidi kumdhoofisha Sana na pengine Israel inaweza kuingia ndani kabisa ya Syria... Kutoka Golan heights hadi Damascus ni KM 60.
Assad akubali kuigawa Syria kwenye Federation
We wa huku mchamba wima ndio unajua kuliko wao!!?? 😧😧Kumbuka ule mwaka ao nyahu wa kituruki walifika adi viungani mwa Damascus lkn kilichowakuta mm naamini awa kizaz cha pili awajui kile wenzao walikutananacho. Ngoja tuone hii mbungi.
Hizi heka heka hapo ME zote mlengwa mkuu ni Iran tu hakuna jengine yaani wanajua Syria akiondoka Assad silaha hizbullah kuzipata tena kama sasa itakua ngumu sasa wanataka wapige Pini hapo ili israhell iishi kwa amani halaf kule Iran iwe haina tena proxy yakueleweka sidhanii kama Iran halijui hili ngoja tuone juu huko kuna mtu nimemwambia kwamba sio kweli kwamba Hizbullah imeshindwa na israhell kiasi cha kushindwa kutoa msaada kwa Syria ila yote kwa yote kwa hapa natoa kongole kwa israhell na shosti zake wamechanganyokiwa vyema karata zao watafanikiwa ama laa ngoja tuoneIsraeli channel 12:
Hezbollah sent hundreds of its fighters to Syria
@meiaagency
Sheikh wangu hizi hadith tunapeana sana kutiana moyo ila naona maji yanazidi kuvurugika. Mimi toka mwanzo i never trusted Israel i told somebody there is something fishy katika haya. Israel anafanya mchakato wa kuleta hali ya kukosekana Utulivu Mash ya kati. Na anafanikiwa. Haya mengine ni mwendelezo ule ule. Ipo wapi Operation Promise ya Iran? Sikutegemea ule ushenzi wameenda kufanya Israel kuingia Iran na kupiga kisha wakatoka usijibiwe. Sikupenda mpaka leo nina hasira.Mbona unatapanya mambo hao walowezi wataishi Kwa heka heka maisha huku Iran akila shisha bila kusikia ving'ola kwake Irani hataki wapiganie kwake mhanga ni Syria na Israel vita viko katka ardhi zake katka hili japo Iran ataingia kusaidia hezb tayari wako mpakani restance ya Iraq nao tayari wameshasogea. Israeli hakuna anachoweza kamfanya Iran yeye na bashaake US. Hii ni Kama draft au chess kila mtu atakula na kuliwa kipndi game inachezwa, mwisho mashindi lazima apatikane