Damascus: Waasi wa HTS wauzingira mji wa Homa nchini Syria

Damascus: Waasi wa HTS wauzingira mji wa Homa nchini Syria

Uturuki ni mwanachama wa NATO hilo ni hakikisho la usalama la kudumu.

Uturuki ina uwezo wa kuzuia hiki kinachofanywa na waasi hapo Syria ikitaka, ila haitofanya hivyo Ili kuendelea kuwaweka Urusi, Iran na Assad kwenye shinikizo.
Umetumia kiswahili fasaha, kwenye shinikizo means under pressure.
 
Israel huwa ina solutions, alternative solutions na "bahati" za kutosha zilizopangwa.

Hamas wamekurupuka kuua mamia ya Wayahudi, Israel inawadhibiti na kuingia Gaza kusafisha. Hezbollah wanaanzisha mashambulizi, Israel inawashambulia taratibu haiendi kwa fujo. Baadae inaonekana Iran inatishia sana itasaidiana na haya makundi mawili, Rais wa Iran anakufa kwa ajali "bahati mbaya".

Hamas inapigwa inaelekea ukingoni, Hezbollah inaanzishiwa lakini Iran wala haiisaidii maana Rais mkorofi hayupo tena. Hezbollah inapigwa inaanzisha mazungumzo ya amani hapohapo Syria ambapo inapitisha silaha waasi wanaanzisha mapigano.

Hivyo waasi hawa wakiiletea changamoto Israel, bado solutions za kutosha zipo mikononi mwa Israel. Ndio maana measure ya kwanza ni kupeleka majeshi Golan heights mpakani na Syria.

Kwenye mlinganyo huwezi ona msaada wa Israel kwa hao waasi ila Israel yenyewe inafanya vitu kwa hesabu inaenda mbele inarudi nyuma. Sasa hawa wakurupukaji wanashangilia tukio moja kumbe yenyewe iko na strategic responses.

Yani Israel inaweza ona inashambulia magaidi huku inalaumiwa na dunia, ikaomba mazungumzo yakafanyika huku ikijua wakurupukaji wataishambulia tena. Ikakaaa ikaandaa vifungu vya kuiruhusu kushambulia ikichokozwa, ikatulia kama mnyonge ikakusanya ushahidi na vithibitisho kuwa inavunjiwa amani. Alafu ikashambulia vikali kwa kisingizio sisi hatuna fujo tunajitetea tu.
Acha kudanganya watu suala la Iran kuisaidia Hizbullah ama axis nyengine hapo mashariki ya kati wala sio suala la rais ingawaje hata huyo rais aloingia hajabadilika kwenye suala hilo
 
Na uturuki kapiga mkwara kwa
Urusi aache kupiga mabomu ule
Idibli anaua raia la sivyo atatungua ndege zake..

Hii vita iran ameingizw kwenyw mfumo
Akajaa.. maana kila anachojaribu anakuta wenzie wako hatu 2 mbele..

Navyojua approch ya Assad atakachokifanya ni kurudisha jeshi nyuma aanze kushusha mabomu.. kwenye miji iliochukuliwa ..

Atapiga mabom ya kutosha
Kwahio unataka asipige mabomu apige mikate na mayai ama
 
Hezbollah,Iran na Urusi zilizokuwa nguzo za Assad zote zina matatizo ya kuyakabili hamna mwenye hamu na Assad.

Ndege za Urusi zinawashambulia ila wanazidi kuteka maeneo tu.... kiufupi Assad hana jeshi la kushikilia mji
Muyatunze haya maneno
 
Yeah!....kwa Sasa wanateka kilaini bila upinzani wowote
Kwa makusudi au bahati mbaya una amua kudanganya mwaka ule vita ilikua inapiganwa mpaka kwenye viunga vya Damascus na bado Assad rais mpaka leo kwahio huu ndio mwisho wa Assad kwa uoni wako ama
 
Assad ana Hali mbaya kweli kweli, Hezbollah na Putin wameshindwa kumlinda Assad ?

T14 Armata
Ni sawa na wewe hapo Kwako uvamiwe na mizinga mitatu ya nyuki Kwa wakati mmoja hio nyumba utahama? au utatoka Kwa muda na kurudi na dawa ya kuwamaliza nyuki?

Jibu la swali Hilo ndio anachopitia Assad saivi labels wanaonekana kushinda lakini Assad atafanya counter offensive next week akichemka hapo ndio itakua dalili mbaya Kwake atalazimika kurudi alinde Damascus Kwa maisha yake yaani mgui wa shingo wa roo
 
Acha kudanganya watu suala la Iran kuisaidia Hizbullah ama axis nyengine hapo mashariki ya kati wala sio suala la rais ingawaje hata huyo rais aloingia hajabadilika kwenye suala hilo
Rais wa sasa amepoa kama nini. Waziri wa Mambo ya Nje wa zamani wa Iran mwenyewe aliona ujinga kuangamiza nchi kisa watu wenye fujo.
 
Katika hi vita usitegemee aljazeera kama chanzo chaku kikuu kukupa taarifa kwasbb iko pro-waasi wa kisunni nikama BBC kwa vita ya Ukurain na Russia.
Serikali ya Sytia ina firing power ya ndege kutoka Russia na Iran sio rahisi kuteka mji na kuutawala wakati ndege zinarusha mabomu.
Sheikh wangu tunaanza tena kuibagaza na Al Jazeera? Hii ndo media tulisema haipendelei sehemu yoyote na imekuwa ikitusidia. Sasa nayo unataka ibagaza?
 
Assad ana Hali mbaya kweli kweli, Hezbollah na Putin wameshindwa kumlinda Assad ?

T14 Armata
Assad hajawahi kuwa na jeshi la kumuokoa vitani. Waliomsaidia ni Hezbollah, Iran, Kurdish forces, makundi ya Kishia na Urusi.

Sasa Wakurdi wana Uturuki
Urusi ina Ukraine
Iran ina Israel
Hezbollah ina Israel
Washia ni wachache

Assad anategemea watu wa nje kumpigania. Strategies can shift, opportunities huisha, vipaumbele vinabadilika. Chances za Assad kubaki ni ndogo I wish him well.
 
BREAKING NEWS

Misafara ya Wanajeshi wa Urusi na Silaha nzito inaonekana ikihamishwa kutoka kambi ya jeshi la Urusi ya AIN ISSA nchini Syria kuelekea kambi iliyoko mbali na mji wa Damascus ya TABQA AIRFIELD.

Bado haijulikana kama Urusi inarudisha majeshi yake Nyuma(RETREAT) huko Syria au inaongeza nguvu (RESUPLY).

Baada ya Kuiteka miji ya ALEPPO na HAMA,Waasi wanaelekea kwenye mji wa tatu kwa ukubwa nchini Syria wa HOMS. Mji wa HOMS Upo umbali wa Kilometa 140 kutoka mji mkuu wa Damascus.

Jeshi la Israel linaanda kikosi cha Makomando 10,000 kuelekea Milima ya Golan (Golan Height) ili kujiandaa na lolote endapo waasi hao wataukaribia mji mkuu wa Damascus.

Jeshi la Uturuki linajiandaa kupeleka mifumo ya ulinzi wa Anga kasikazini mwa Syria maeneo yanayodhibitiwa na Wapiganaji wa SYRIAN NATIONAL ARMY(SNA) ambao wanaungwa mkono na Uturuki.
 
Breaking News; Mapigano makali yameanza kwenye Viunga vya Mji wa Homs, Silaha ndogo na kubwa zinatumika na raia wengi wamekimbilia Mji Mkuu wa Syria Damascus.

Source:Aljazeera

Mchezo unakaribia kwishney😀😁
Dah roho inaniuma sana mimi hasa nikiwafikilia wakristo tu jamani watu wa MUNGU wale wataonewa sana jaman

MUNGU awatie nguvu sana
 
Akina Mama Watoto na Wazee wa Mji wa Hama wamesimama pembezoni mwa Barabara huku wakipiga Vigelegele vya furaha kuwakaribisha Waasi wa Kisunni.
Wanapiga vigelegele etii haha haya sijui nini wanacho furahia wanajua wenyewe.

Yajayo yana furahisha
 
Back
Top Bottom