Damascus: Waasi wa HTS wauzingira mji wa Homa nchini Syria

Damascus: Waasi wa HTS wauzingira mji wa Homa nchini Syria

Urusi ipo hoi haina hamu na Assad
Hana hamu naye kivipi?
Hili ni shambulizi la kushutukiza ni lazima itachukua muda kulidhibiti , kiufupi jeshi la Syria lilikuwa limesha lilax kwa sababu kulikuwa na kila dalili ya vita kuisha kutokana na makubaliano ya Astana Kazakhstan yaliyo sainiwa na Urusi Uturuki na Iran,sasa Uturuki kawazunguka wenzake.
 
Hezbollah,Iran na Urusi zilizokuwa nguzo za Assad zote zina matatizo ya kuyakabili hamna mwenye hamu na Assad.

Ndege za Urusi zinawashambulia ila wanazidi kuteka maeneo tu.... kiufupi Assad hana jeshi la kushikilia mji
 
Sema hivi sisi waislamu na wakristo wa huku buza tukae upande wa nani, sorry Kwa kuuliz lakini
Iran, sijui Al jazeera, Assad, Ayatola, Uturuki, Tahariri ya shama, Hawa wote ni wahuni tu wanatumia mgongo wa dini kupigania maslahi binafsi.

Jiulize Utawala wa kiislamu wa Iran unamuunga mkono Assad mwenye utawala wa kisecular, halafu unawapinga waasi wanaotaka kuanzisha utawala wa kiislamu!

Huu si ni uhuni tu.

Halafu akina Ritz wanatokwa povu kila siku kushabikia ujinga.
 
Hana hamu naye kivipi?
Hili ni shambulizi la kushutukiza ni lazima itachukua muda kulidhibiti , kiufupi jeshi la Syria lilikuwa limesha lilax kwa sababu kulikuwa na kila dalili ya vita kuisha kutokana na makubaliano ya Astana Kazakhstan yaliyo sainiwa na Urusi Uturuki na Iran,sasa Uturuki kawazunguka wenzake.
Bw. Proved jawabu lako hili hapa!
 
Uturuki ni mwanachama wa NATO hilo ni hakikisho la usalama la kudumu.

Uturuki ina uwezo wa kuzuia hiki kinachofanywa na waasi hapo Syria ikitaka, ila haitofanya hivyo Ili kuendelea kuwaweka Urusi, Iran na Assad kwenye shinikizo.
Azuie wapi?

Kwani Suria ni nchi yake?

Kipindi cha nyuma Turkey si ilidhamiria kufanya kama hiki ilichosema na kuingiza majeshi yake, waliishia kupigwa na kuuliwa wengi.

Kinachompa kiburi Turkey amekaa eneo muhimu kistretijia baina ya NATO na Russia. Ndiyo maana utasikia leo kamvimbia Marekani, mara kesho Russia.
 
Back
Top Bottom