Damascus: Waasi wa HTS wauzingira mji wa Homa nchini Syria

Wewe ndio hujausoma mchezo. Hujiulizi kwanini urusi imeivamia Ukraine kipindi hiki? Au kwanini china hajavamia Taiwan vita ni timing jombaa. Watu walikuwa training na walikuwa wanasubir muda sahihi. Hesabu zinasema Urusi yuko bize na Ukraine, wakati huo hezbollah kalegezwa mbaya kabisa, na Iran juz kati Israel kapunguza sana uwezo wake wa kurusha yale makombora. So assad hana uwezo mkubwa wa msaada kwasasa.
 
Ukitoka kwny ban nitakujibu.
 
Eti Israel amepunguza uwezo wa kurusha makombora wa Iran.
Ashindwe kumaliza uwezo wa kurusha makombora wa Hizbullah aliyeko mdomoni mwake aje aweze kwa Iran ?ebu punguza undina.
 
Eti Israel amepunguza uwezo wa kurusha makombora wa Iran.
Ashindwe kumaliza uwezo wa kurusha makombora wa Hizbullah aliyeko mdomoni mwake aje aweze kwa Iran ?ebu punguza undina.
Vip Iran imekuwaje kachemka kujibu hadi muda huu na mkwara wote ule
 
Mkuu hammaz pamoja na kuwa tofauti kimtazamo lakii huwa unaandika hoja sana. safi sana
 
Ww uliye soma elimu ya dunia unanizidi kitu gani mm?
Ww la msingi umeelewa kile nilicho kuwa namaanisha basi inatosha.
Sheikh wangu si sawa mimi kuanza kukuringishia nilivyo navyo si haki kabisa na ni kinyume na maagizo ya mola wangu. Kuwa na ilimu duniya tuliagizwa tuitafute ni kheri.
 
Sheikh wangu si sawa mimi kuanza kukuringishia nilivyo navyo si haki kabisa na ni kinyume na maagizo ya mola wangu. Kuwa na ilimu duniya tuliagizwa tuitafute ni kheri.
Kumbe huna akili umejuaje kama kama hivyo ulivyo navyo mm nina zaidi ya mara 10 yake?
 
Kumbe huna akili umejuaje kama kama hivyo ulivyo navyo mm nina zaidi ya mara 10 yake?
Sheikh wangu una tuaibisha sana.nimeandika kiswahili chepesi nacho hujaelewa. Mimi nina ujinga kidogo. Na wewe umesema unao mara 10🤣 so wewe ni kilaza kabisa. Mi si tajiri sana. Wewe si tajiri sana mara 10 so ni less kwangu mara 10. Sheikh pata ilimu duniya upate na hekma za suleiman pia. Itakusaidia maishani mwako.
 
Mtu nwenye elimu anapo andika bila kuzingatia alama za kimaandishi sehemu ya kuweka alama ya mkato yeye ana weka kituo.

Haya poa umeshinda mm ni kilaza ww umesoma nakutakia kusoma kwema.
 
Sometimes tunahitaji kuwaona wadau, you are very dillussional sana... Waasi now wanaenda Kuchukua Mji wa Homs wewe unaleta propaganda
Hao waasi watakapo anza kuwashughulikia wagaratia wenzenu tusije kusikia kelele maana sasa hivi mpo mnawashangilia na Asad anaye walinda hamumtaki.
 
Hao waasi watakapo anza kuwashughulikia wagaratia wenzenu tusije kusikia kelele maana sasa hivi mpo mnawashangilia na Asad anaye walinda hamumtaki.
The Devil you know is better than the Angel u don't!! muda utaamua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…