Damascus: Waasi wa HTS wauzingira mji wa Homa nchini Syria

Damascus: Waasi wa HTS wauzingira mji wa Homa nchini Syria

Narudia tena kuunasibisha mgogoro wa Syria na udini ni dalili ya kuwa na funza kichwani.
Hivi hujiulizi ni kwa nini vita ya Syria ili simama zaidi ya miaka 4 mpaka ilipo kuja kulipuka tena juzi?
Ni kwasababu ya makubaliano kati ya Uturuki , Urusi na Iran baada ya makubaliano ya hawa watu vita ikasimama na baada ya kuhitirafiana vita imeanza tena hii inatosha kabisa kukuonesha kuwa mgogoro wa Syria unaendeshwa na Mataifa kutoka nje na sio ndani ya Syria.
Wewe ndio hujausoma mchezo. Hujiulizi kwanini urusi imeivamia Ukraine kipindi hiki? Au kwanini china hajavamia Taiwan vita ni timing jombaa. Watu walikuwa training na walikuwa wanasubir muda sahihi. Hesabu zinasema Urusi yuko bize na Ukraine, wakati huo hezbollah kalegezwa mbaya kabisa, na Iran juz kati Israel kapunguza sana uwezo wake wa kurusha yale makombora. So assad hana uwezo mkubwa wa msaada kwasasa.
 
Kaa kimya ,hujui unalooandika we dogo ?
Hii mada nzito kwako
Umefanya utafiti ukajua hilo kundi la HTS Lina chimbuko la aina gani ya watu ?
Unajua chochote kuhusu makundi ya uasi kama ISIS na Alnusra ambao ndio walikuwa waanzilishi wakubwa wa vurugu katika vita vya wenyewe kwa wenyewe hapo Syria ? .
Unajua jinsi walivyofanya mauaji na uharibifu wa kutisha kwa miji kama Allepo Syria na Mosul kule Iraq ?
Hao vibaka wa HTS ni wale wale mercenaries waliokuwa ISIS na Àlnusra na ndio hao hao washenzi waliteketeza raia huko Iraq Mosul na Syria mini kama Allepo na kuiharibu vibaya .
Leo hii unapata wapi ujasiri wa kumcriticise IRAN na proxies zake za kulinda amani humo kwenye hayo mataifa ?
Bila Iran na makundi yake hawa magaidi wangeteketeza raia wengi zaidi kwenye hizo nchi kwa mgongo wa Sunni WA kuanzisha dolar na kiislamu ,na kuna tetesi zinasema hawa washenzi wa HTS wengine wanaongea lugha ya kiukraine ,so unaweza pata picha kwamba hawa ni mercenaries na magaidi waliokusanywa na nchi zenye maslahi Syria ili kulinda stakes zao dhidi ya IRan na Russia , na hao si wengine ni Israel ,USA , Turkey bila kumsahau mnafiki Saud
Mpaka hapo hata kama una akili ndogo kama nyumbu utakuwa umeelewa nani ni gaidi kati ya IRan na hao washenzi unaowaona wa maana sana (USA , Israel ,Turkey ,Saud nk )
Ukitoka kwny ban nitakujibu.
 
Wewe ndio hujausoma mchezo. Hujiulizi kwanini urusi imeivamia Ukraine kipindi hiki? Au kwanini china hajavamia Taiwan vita ni timing jombaa. Watu walikuwa training na walikuwa wanasubir muda sahihi. Hesabu zinasema Urusi yuko bize na Ukraine, wakati huo hezbollah kalegezwa mbaya kabisa, na Iran juz kati Israel kapunguza sana uwezo wake wa kurusha yale makombora. So assad hana uwezo mkubwa wa msaada kwasasa.
Eti Israel amepunguza uwezo wa kurusha makombora wa Iran.
Ashindwe kumaliza uwezo wa kurusha makombora wa Hizbullah aliyeko mdomoni mwake aje aweze kwa Iran ?ebu punguza undina.
 
Eti Israel amepunguza uwezo wa kurusha makombora wa Iran.
Ashindwe kumaliza uwezo wa kurusha makombora wa Hizbullah aliyeko mdomoni mwake aje aweze kwa Iran ?ebu punguza undina.
Vip Iran imekuwaje kachemka kujibu hadi muda huu na mkwara wote ule
 
Saudi anatoa hela ili ku fund hilo group!

Msaudi anagombea ukaka mkubwa hapo mashariki ya kati na Iran. Kete turufu anayoitumia ni ya kimadheheb ya kidini ili atimize malengo yake.

Huo mgogoro hapo Syria ni mkubwa kuliko watu humu wanavyoshadadia kwa kidini!

Russia hapo Syria analinda maslahi yake kuzuia bomba la gesi linalotaka kupitishwa na Marekani kuelekea nchi za ulaya ili kuudhofisha uchumi wake. Baada ya Assad kukataa huo mpango wa Marekani nchini mwake ndipo akaundiwe zengwe hilo!

Iran anapitisha silaha zake Syria kuelekea kwa Hizbullah, ambao Israel anaona kwake ni tishio la usalama wake hivyo naye na kaka yake Marekani wapo kuzuia hilo!

Turkey kwa upande wake ni kuhusu kuwadhibiti wa kurdi.

Iran naye kama Marekani alivyoanzisha axis yake na Iran naye vivyo hivyo ili aweze kujilinda dhidi ya USA na Israel na vibaraka wengine hapo mashariki ya kati.

Syria ipo eneo la kimakakati, ndiyo wakubwa wanalinda maslahi yao. Hivyo hao magaidi ni wa kutengenezwa.
Mkuu hammaz pamoja na kuwa tofauti kimtazamo lakii huwa unaandika hoja sana. safi sana
 
Ww uliye soma elimu ya dunia unanizidi kitu gani mm?
Ww la msingi umeelewa kile nilicho kuwa namaanisha basi inatosha.
Sheikh wangu si sawa mimi kuanza kukuringishia nilivyo navyo si haki kabisa na ni kinyume na maagizo ya mola wangu. Kuwa na ilimu duniya tuliagizwa tuitafute ni kheri.
 
Sheikh wangu si sawa mimi kuanza kukuringishia nilivyo navyo si haki kabisa na ni kinyume na maagizo ya mola wangu. Kuwa na ilimu duniya tuliagizwa tuitafute ni kheri.
Kumbe huna akili umejuaje kama kama hivyo ulivyo navyo mm nina zaidi ya mara 10 yake?
 
Kumbe huna akili umejuaje kama kama hivyo ulivyo navyo mm nina zaidi ya mara 10 yake?
Sheikh wangu una tuaibisha sana.nimeandika kiswahili chepesi nacho hujaelewa. Mimi nina ujinga kidogo. Na wewe umesema unao mara 10🤣 so wewe ni kilaza kabisa. Mi si tajiri sana. Wewe si tajiri sana mara 10 so ni less kwangu mara 10. Sheikh pata ilimu duniya upate na hekma za suleiman pia. Itakusaidia maishani mwako.
 
Mtu nwenye elimu anapo andika bila kuzingatia alama za kimaandishi sehemu ya kuweka alama ya mkato yeye ana weka kituo.

Haya poa umeshinda mm ni kilaza ww umesoma nakutakia kusoma kwema.
 
Sometimes tunahitaji kuwaona wadau, you are very dillussional sana... Waasi now wanaenda Kuchukua Mji wa Homs wewe unaleta propaganda
Hao waasi watakapo anza kuwashughulikia wagaratia wenzenu tusije kusikia kelele maana sasa hivi mpo mnawashangilia na Asad anaye walinda hamumtaki.
 
Hao waasi watakapo anza kuwashughulikia wagaratia wenzenu tusije kusikia kelele maana sasa hivi mpo mnawashangilia na Asad anaye walinda hamumtaki.
The Devil you know is better than the Angel u don't!! muda utaamua.
 
Back
Top Bottom