Damascus: Waasi wa HTS wauzingira mji wa Homa nchini Syria

Ladies and Gentlemen, Mji wa Kusini mwa Syria Al Suwaida Mji wa Al Suwaida uko umbali wa 108Kms kusini Mashariki mwa Damascus umetekwa muda huu, Wanajeshi wa Syria na Makamanda wa Kirussi wamepanda Ndege na kukimbilia Damascus Askari wa kawaida wamejisalimisha.

Source:Aljazeera πŸ‘ˆ Adiosamigo
 
Nani kakuambia wahabi wanafuata ideology ya Sheikh Ahmad Bin Hanbal?

Sunni dalili zao za sheria ni 4, ambazo Al Qur'anu wa sunna aswilu ( Qur'an na sunna ndiyo asili).

Wa farqihi (na ncha zake) Al Ijmai wal Qiyas. Hizo zinaitwa dalili za sheria:
1)Qur'an
2)Sunna (hadithi)
3)Al Ijmai
4)Qiyas

Wahabi ni mbili;
1)Qur'an
2)Sunna (hadithi)

Sunni wameshikamana na itikadi ya Al Ashari na Maturidi.

Sunni wanafuata madheheb 4, nayo ni ya Maimam wafuatao:
1)Hanbali
2)Hanafi
3)Shafii na
4) Maliki

Sunni vilevile anaweza akawa sufi!

Kwa upande wa wahabi wao wanafuata madheheb ya Sheikh Muhammad Abdel Wahabi ambaye anapingana na madheheb ya hapo juu! Anawaita ni watu wazushi!

Unataka kunifundisha wakati mimi ni sunni?
 
Kweli kanisani mnasomeshwa mpaa kuosha wanawake uchi


View: https://youtu.be/GMPp3gCaTww?si=neo-m8K_wApKrMVY
Dini yenu niyakishetani noma sana, lazima mtachukia madrasa hahaha
 
We mtu bana,kwa hiyo furaha yako na ili uwakubali hao ni mpaka warushe makombora lsrael sio?πŸ˜‚πŸ˜‚ Sasa wao na wewe mnatofauti gani hapa,nikisema na wewe pia ni gaidi kama wao nitakosea?
 
Hunisomi vizuri au unafanya tu makusudi nimesema Ayatolah Corridor ya kupitishia Silaha kutoka Iran ndio iinakatwa sasa bila Madaraja Silaha Nzito zitapitia wapi?!
Wewe hazikutosh, vipu silaha nzito zipitishwe madarajani. We unadhani silaha nzito haziwezi kupelekwa vipande vipande, hivi we kweli ulikuwa jeshini au ulikuwa mpishi kwenye mess za jeshini.
 
We mtu bana,kwa hiyo furaha yako na ili uwakubali hao ni mpaka warushe makombora lsrael sio?πŸ˜‚πŸ˜‚ Sasa wao na wewe mnatofauti gani hapa,nikisema na wewe pia ni gaidi kama wao nitakosea?
Soma kwa ufahamu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…