Damascus: Waasi wa HTS wauzingira mji wa Homa nchini Syria

Damascus: Waasi wa HTS wauzingira mji wa Homa nchini Syria

Ladies and Gentlemen, Mji wa Kusini mwa Syria Al Suwaida Mji wa Al Suwaida uko umbali wa 108Kms kusini Mashariki mwa Damascus umetekwa muda huu, Wanajeshi wa Syria na Makamanda wa Kirussi wamepanda Ndege na kukimbilia Damascus Askari wa kawaida wamejisalimisha.

Source:Aljazeera 👈 Adiosamigo
 
Wahhabism is a conservative branch of Sunni Islam that originated in the 18th century and is practiced mainly in Saudi Arabia and Qatar:


  • Origins
    Wahhabism originated in the Hanbali school of Sunni Islam and was named after Muhammad ibn 'Abd al-Wahhab, a scholar from that time.
Nani kakuambia wahabi wanafuata ideology ya Sheikh Ahmad Bin Hanbal?

Sunni dalili zao za sheria ni 4, ambazo Al Qur'anu wa sunna aswilu ( Qur'an na sunna ndiyo asili).

Wa farqihi (na ncha zake) Al Ijmai wal Qiyas. Hizo zinaitwa dalili za sheria:
1)Qur'an
2)Sunna (hadithi)
3)Al Ijmai
4)Qiyas

Wahabi ni mbili;
1)Qur'an
2)Sunna (hadithi)

Sunni wameshikamana na itikadi ya Al Ashari na Maturidi.

Sunni wanafuata madheheb 4, nayo ni ya Maimam wafuatao:
1)Hanbali
2)Hanafi
3)Shafii na
4) Maliki

Sunni vilevile anaweza akawa sufi!

Kwa upande wa wahabi wao wanafuata madheheb ya Sheikh Muhammad Abdel Wahabi ambaye anapingana na madheheb ya hapo juu! Anawaita ni watu wazushi!

Unataka kunifundisha wakati mimi ni sunni?
 
Hao Wananchi wamedanganywa na Mafundisho ya Kiislamu ya Madrasa,kwao kila Mkiristo ni Kafiri Myahudi ni Kafiri Mhindu Kafiri Shia Kafiri Sunni ambae haendani na mafundisho yao Kafiri.

Ndio maana Viongozi wa hizo Nchi wameanza kuwaondoa Wananchi wao hiyo Indoctrination ya chuki mfano MBS wa Saudi Arabia.
Kweli kanisani mnasomeshwa mpaa kuosha wanawake uchi


View: https://youtu.be/GMPp3gCaTww?si=neo-m8K_wApKrMVY

Dini yenu niyakishetani noma sana, lazima mtachukia madrasa hahaha
 
Kama wao ni sunni wasingekuwa wanauwa sunni wenzao!

Wameuwa sunni kibao hapo Syria mfano mwanawazuoni wa kiislamu mkubwa hapo Syria anaitwa Sheikh Bouti. Wamemuuwa akiwa msikitini anatoa darasa kwa bomu la kujitoa mhanga.

Wamechinja sunni kibao huko Iraq. Wameuwa Sunni kibao huko Yemen mfano mwalimu wa Sheikh Al Habib Ally ibn Jifry ambaye ni Sunni. Tena huyu Sheikh ni kitukuu wa Mtume ila wamemuulia sheikh wake.

Hao watu ni mpango maalumu wa wakubwa! Kuna kipindi walipigwa wakaenda kutibiwa Israel na Netanyahu akaenda kuwatembelea.

Sasa jiulize hao waislamu ni wa aina gani ambao wanaonekana ni watata sana halafu wanafanya hivyo kwenda kutibiwa Israel? Au hata sikumoja hata kwa bahati mbaya hawajawahi kurusha kombora hata Israel?

Mbona Houth anarusha? Wao kipi kinawazuia? Hao ni project maalumu ya wakubwa.

Vikundi vya wana mgambo kutokea Iraq wanaenda kupambana nao huko Syria, Marekani anatumia helicopter zake kuwashambulia ili wasiende Syria, hapa unapata picha gani?

Yaani Marekani inawasidia magaidi?!
We mtu bana,kwa hiyo furaha yako na ili uwakubali hao ni mpaka warushe makombora lsrael sio?😂😂 Sasa wao na wewe mnatofauti gani hapa,nikisema na wewe pia ni gaidi kama wao nitakosea?
 
Hunisomi vizuri au unafanya tu makusudi nimesema Ayatolah Corridor ya kupitishia Silaha kutoka Iran ndio iinakatwa sasa bila Madaraja Silaha Nzito zitapitia wapi?!
Wewe hazikutosh, vipu silaha nzito zipitishwe madarajani. We unadhani silaha nzito haziwezi kupelekwa vipande vipande, hivi we kweli ulikuwa jeshini au ulikuwa mpishi kwenye mess za jeshini.
 
We mtu bana,kwa hiyo furaha yako na ili uwakubali hao ni mpaka warushe makombora lsrael sio?😂😂 Sasa wao na wewe mnatofauti gani hapa,nikisema na wewe pia ni gaidi kama wao nitakosea?
Soma kwa ufahamu!
 
Back
Top Bottom