Na keshawahi kuidungua kwenye vita hivyo hivyo hapo swaliKashasema. Unadhani Uturuki angeweza mtishia USSR hata kidogo? Lakini hawa Uturuki ni juz juz tu tulikuwa upande wao Ottoman Empire leo tena tunashindwa waunga mkono wanapopambana na Kafir Putin.
Kifaru utakipeleka vipande vipande si lazima ukodi Lorry?!Wewe hazikutosh, vipu silaha nzito zipitishwe madarajani. We unadhani silaha nzito haziwezi kupelekwa vipande vipande
Huyu jamaa ameachana na siasa Kali alizikuwa nazo wakati wakijiita Jabhat Alnusra ?Mkuu wa Waasi wa Kisunni Kamanda Abu Mohamed Al Jolani kaamua kubadilisha muonekano wake kapunguza kuvaa Vilemba na Kanzu kaamua kuupunguza na Mzuzu kaamua kuvaa kawaida.
View attachment 3170608
Before muonekano wa Kigaidi.
View attachment 3170609
After amepiga Pamba za Kimagharibi na hana muonekano wa kutisha.
Inasemekana ameachana na Siasa kali na amesema anataka Serikali inclusive kila Dini na kila Dhehebu litashirikishwa katika Utawala wake.Huyu jamaa ameachana na siasa Kali alizikuwa nazo wakati wakijiita Jabhat Alnusra ?
Yeah kaachana na hizo itikadi kali, wakati wanamhoji alijibu ni hali ya kawaida kwa mtu kubadilika. Alisema mitazamo ya mtu wa miaka 20 ni tofauti sana na mtu mwenye miaka 30 na kuendelea.Huyu jamaa ameachana na siasa Kali alizikuwa nazo wakati wakijiita Jabhat Alnusra ?
Amka wewe utakojoa kitandani muda si mrefuUmekuwa unaitaja sana israel kwenye hii vita wkt wao awawezi fanya kitu kuzuiya chochote kwenye hii vita kwani kile kipindi Israel aikuwepo!! akijichanganya Iran itainyuka Israel vibaya na akuna wakuizuiya Iran.
Story tu za kujifariji tuSi nasikia wajuzi wa mambo wanasema waasi wanachwa wafike Syria kisha urusi apige come back ya hatari sana
Lini Hezbullah alitumia kifaru? We chizi kweli.Kifaru utakipeleka vipande vipande si lazima ukodi Lorry?!
Haya mambo ni makubwa hutoyaelewa, utaishia ku Google Google na kuleta ubishi kwa mambo ambayo hauna uelewa nayo!'Sunni' comes from the Arabic word 'sunna' meaning tradition. 'Sunni' thus means one who follows the tradition of the Prophet Muhammad who is seen as the model for mankind.
Acha kudanganya Watu, Internet yote iliyojaa Wanazuoni wanasema Wahabi ni Sunni wewe unajifanya kuleta ujuaji.Haya mambo ni makubwa hutoyaelewa, utaishia ku Google Google na kuleta ubishi kwa mambo ambayo hauna uelewa nayo!
Tangu lini elimu ya dini ya kiislamu ikapatikana kwenye internet?Acha kudanganya Watu, Internet yote iliyojaa Wanazuoni wanasema Wahabi ni Sunni wewe unajifanya kuleta ujuaji.
Uisilamu una madhehebu makuu mawili Sunni na Shia.
Kambaki akafanyie chooni kama nyeto ya mkono tuSi nasikia wajuzi wa mambo wanasema waasi wanachwa wafike Syria kisha urusi apige come back ya hatari sana
Wewe kwasasa ndio mbishi kuanzia Quruani nzima iko kwenye Internet kuna Islamic Chanel kwenye Internet kuna Historia ya Dini nzima ya Kiisilamu hadi jinsi Dhehebu la Shia lilivyopatikana sasa wewe unataka kumdanganya nani Shehe?!Tangu lini elimu ya dini ya kiislamu ikapatikana kwenye internet?
Hebu nitolee mfano, elimu ipi ya uislamu inapatikana kwenye internet.
Sheikh wangu ilimu ni muhimu. Zote Duniya na akhera. Ungepata hizo ungegundua hii si lugha mujarab kwa jamii iliyostaarabika. Huwa kamwe hatuongei hiviUna ushamba mwingi sana mwanaume kamili hayuko hivyo.
Sijakuomba uwe mwalimu wangu wa lugha punguza ushamba basi..
..sheikh wangu ilimu ni muhimu. Zote Duniya na akhera. Ungepata hizo ungegundua hii si lugha mujarab kwa jamii iliyostaarabika. Huwa kamwe hatuongei hivi