'Sunni' comes from the Arabic word 'sunna' meaning tradition. 'Sunni' thus means one who follows the tradition of the Prophet Muhammad who is seen as the model for mankind.
Haya mambo ni makubwa hutoyaelewa, utaishia ku Google Google na kuleta ubishi kwa mambo ambayo hauna uelewa nayo!
Sunni itikadi yao Mungu hayupo mbinguni, bali mamlaka yake kayaweka mbinguni na hakuna kilichomfunga. Yaani kaepukana na mambo 6. Mungu hayupo juu(1) ya, au chini(2) ya, au kuliani (3) mwa, au kushoto(4) mwa, au mbele (5) ya, au nyuma (6) ya!
Wahabi itikadi yao Mungu yupo juu mbinguni!
Wahabi itikadi yao Mungu ana mkono, mguu n.k
Sunni itikadi yao Mungu hamithiliki na chochote kwa maana chochote hakifanani na Mungu na kaepukana na (jism) yaani sifa ya kuwa na mkono au mguu!
Sunni itikadi yao Mtume bado yu hai mpaka kaburini kwake pamoja na mitume mengine.
Wahabi itikadi yao Mtume ameshakufa! Yaani kama mpeleka barua, kapeleka barua na kazi yake imeshakwisha.
------------------
Mpaka hapo wanafanana?