Kida ze great
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 242
- 288
Naona mnahamisha magoli mdogo mdogo mtaelewa tu somo wacha tuendelee kuagiza chaki za kufundishiaAssad alikua mzembe sana hata kuleta upinzani hamna kabisa yaan anataka Urusi na Iran wapiganie kwa ajili yake kweli hata yeye kufurukuta hamna? Yaan kenya ivamiwe wakafe JW? Yule babu ata kama msaada hio haipo, hapo wabadili gia angani anaeshinda ndio huyo huyo wakuunga mkono
Itafikia wakati AI ndio zitakuwa zikiwatandika mpaka mnasahau Makubazi.IQ yakufake kuwa nyie ndio wenye kiwanda hio ndio IQ hivi we upo sawa akilini. We hujui dunia nzima iliwadharau hao unao waita wana IQ. Hio IQ gani ya kufake na kupandikiza maboom huo ni ugaidi wala sio IQ. Nenda kapime akili zako we ni.mpishi tu.
Kwahiyo IQ zenu ndio zinaishia hapo?!Nyie kuitwa makafiri sio matusi bali ni sifa yenu ama uhalisia wenu
Hiyo ni new technology nani aliwahi waza kama simu inaweza kupandikizwa bomu hapo kabla. Myahudi IQ KUBWA BANAIQ yakufake kuwa nyie ndio wenye kiwanda hio ndio IQ hivi we upo sawa akilini. We hujui dunia nzima iliwadharau hao unao waita wana IQ. Hio IQ gani ya kufake na kupandikiza maboom huo ni ugaidi wala sio IQ. Nenda kapime akili zako we ni.mpishi tu.
Hawa Jamaa na IQ zao za kulia Ubwabwa wanajiona wako level moja na Zionist.π€£Hiyo ni new technology nani aliwahi waza kama simu inaweza kupandikizwa bomu hapo kabla. Myahudi IQ KUBWA BANA
Ndugu yangu, hebu tusaidiane taarifa nifahamishe!Wanaume kazini dakika za jioni
- Radwan forces have entered the battle, showcasing their strength against militants in Homs' countryside.
- Confirmed reports indicate the imminent arrival and participation of Iraqi and Yemeni fighters.
@meiaagency
Hebu tueleze inasomwa vipi, au basi unajitekenya mwenyewe.Unafikiri hatujui hizo Albadiri mnazomsomea Netanyahu kutoka kwenye hizo madrasa za Ikwiriri?π
Endrlea kuotaWakuu,kuna habari za hivi punde zinasema Mji wa Homs teyari umeshatekwa na Waasi wa Kisunni.,THS
Kwahiyo sasa Waasi wote wanaenda Damascus kama Nyuki.π
Huenda Assad akanyongwa kama Saddam Hussain wa Iraqi.
Changamoto ya taarifa ni kubwa kipindi hiki kwa maana kuna taarifa nyingi sana za kupikwa hata telegram Mossad wanadivert sana. Mimi taarifa nazo pata nikijiunga na chats za raia walioko huko direct Kama walioko Lebanon, Syria na Iraq kuna raia wema tu wanaotupa updates kwenye magroup unachanganya na channeli kadhaa at least unapata info za kuunganishaNdugu yangu, hebu tusaidiane taarifa nifahamishe!
Nimejaribu kutafuta kwenye vyanzo vyengine vya habari lakini sioni habari yoyote kuhusiana na huu mgogoro! Kwa maana vile ambavyo kidogo vina balance huu mgogoro kwenye taarifa zake.
Sitaki kuangalia Aljazeera kwa sababu upande wao inafahamika kwenye hii vita.
Assad amebakiwa na vikosi gani kwa sasa hivi?
Hivi wewe huwa ni Sunni au Shia mbona una ka IQ hafifu sana?!Hebu tueleze inasomwa vipi, au basi unajitekenya mwenyewe.
Kobaz derbyWanamgambo wa Shia Hezbola wanaenda kukutana Waasi wa Kisunni THS πππ Mzayuni kaachwaππ Muslim Civil War.
Kwako FaizaFoxy
Mie sina IQ wala IR ila nimekwambia ukweliKwahiyo IQ zenu ndio zinaishia hapo?!
Sio Rahisi hivyo wakimalizana na Assad Wana Anza kuuwana waliobaki.View attachment 3171548
Gaidi Mstaafu anaenda kuwa Raisi wa Syria May Allah grant him Jannah...
Kwako Malaria 2 nini maoni yako?!
Bwana Utam ππ€£πKobaz derby
Ila ameshindwa Kumsaidia Assad... Hayo Makombora angerusha Moja kwa WaasiIran babalao eeerh babalao.....
Propaganda hizo kashatimka kitambo,unadhani hajipendi
Kitendo cha hezb na militia za Iraq kuwepo pale tayari kamsadiia sasa anataka afanyiwe nini tena? Kuna newz nimeona Kuna drone pia zimerushwa leo kutokea iranIla ameshindwa Kumsaidia Assad... Hayo Makombora angerusha Moja kwa Waasi
Unajichekesha nini au hoja zishaishaBwana Utam ππ€£π