Damascus: Waasi wa HTS wauzingira mji wa Homa nchini Syria

Damascus: Waasi wa HTS wauzingira mji wa Homa nchini Syria

Assad alikua mzembe sana hata kuleta upinzani hamna kabisa yaan anataka Urusi na Iran wapiganie kwa ajili yake kweli hata yeye kufurukuta hamna? Yaan kenya ivamiwe wakafe JW? Yule babu ata kama msaada hio haipo, hapo wabadili gia angani anaeshinda ndio huyo huyo wakuunga mkono
Naona mnahamisha magoli mdogo mdogo mtaelewa tu somo wacha tuendelee kuagiza chaki za kufundishia
 
IQ yakufake kuwa nyie ndio wenye kiwanda hio ndio IQ hivi we upo sawa akilini. We hujui dunia nzima iliwadharau hao unao waita wana IQ. Hio IQ gani ya kufake na kupandikiza maboom huo ni ugaidi wala sio IQ. Nenda kapime akili zako we ni.mpishi tu.
Itafikia wakati AI ndio zitakuwa zikiwatandika mpaka mnasahau Makubazi.
 
IQ yakufake kuwa nyie ndio wenye kiwanda hio ndio IQ hivi we upo sawa akilini. We hujui dunia nzima iliwadharau hao unao waita wana IQ. Hio IQ gani ya kufake na kupandikiza maboom huo ni ugaidi wala sio IQ. Nenda kapime akili zako we ni.mpishi tu.
Hiyo ni new technology nani aliwahi waza kama simu inaweza kupandikizwa bomu hapo kabla. Myahudi IQ KUBWA BANA
 
Iran babalao eeerh babalao.....
 
Attachments

  • Screenshot_20241207-220018.png
    Screenshot_20241207-220018.png
    901.3 KB · Views: 1
Wanaume kazini dakika za jioni

- Radwan forces have entered the battle, showcasing their strength against militants in Homs' countryside.

- Confirmed reports indicate the imminent arrival and participation of Iraqi and Yemeni fighters.

@meiaagency
Ndugu yangu, hebu tusaidiane taarifa nifahamishe!

Nimejaribu kutafuta kwenye vyanzo vyengine vya habari lakini sioni habari yoyote kuhusiana na huu mgogoro! Kwa maana vile ambavyo kidogo vina balance huu mgogoro kwenye taarifa zake.

Sitaki kuangalia Aljazeera kwa sababu upande wao inafahamika kwenye hii vita.

Assad amebakiwa na vikosi gani kwa sasa hivi?
 
Changamoto ya taarifa ni kubwa kipindi hiki kwa maana kuna taarifa nyingi sana za kupikwa hata telegram Mossad wanadivert sana. Mimi taarifa nazo pata nikijiunga na chats za raia walioko huko direct Kama walioko Lebanon, Syria na Iraq kuna raia wema tu wanaotupa updates kwenye magroup unachanganya na channeli kadhaa at least unapata info za kuunganisha

Jaribu hizo channels lakini upitie taarifa moja kwenye channels Zaidi ya 4 kupata uhakika ongeza na
@ Resistance Trench
 
Attachments

  • Screenshot_20241207-220903.png
    Screenshot_20241207-220903.png
    154.4 KB · Views: 5
Ila ameshindwa Kumsaidia Assad... Hayo Makombora angerusha Moja kwa Waasi
Kitendo cha hezb na militia za Iraq kuwepo pale tayari kamsadiia sasa anataka afanyiwe nini tena? Kuna newz nimeona Kuna drone pia zimerushwa leo kutokea iran
 
Back
Top Bottom