Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Ndio mnavyo omba endelea kuomba irgc wapo wapo sanaSafari hii Ustazi ndio mwisho wa Assad hadi kamuomba Netanyahu kupitia Saudia kuwa atawaondoa IRGC na kuwarudisha Iran Netanyahu kamtolea nje😆😁
Hazikiwahi kupiga kablaHujasikia Ndege za US na Israel zinapiga usiku?
Kuna kudhani na kuna yanayoonekanaNdivyo unavyodhani?
Wagner ipi hiyo? Hao Wager waliishia wapi kule Ukraine hadi Russia akaenda kuomba wanajeshi North Korea? Wagner imebaki story tu.Hujasikia Wagner wanaachiwa kwenda Syria?
Unamuongelea Iran aliyeishia kuwaponza Hezibollah na Hamas? Hiyo special force mbona hakuwapelekea iwasaidie?Hujasikia Iran kapeleka glide bombs za kutosha?
Hujasikia Iran kapeleka special force?
Wameshafutwa wote, ina maana haujasikia Iran akilia kuangamizwa kwa hao?Hujasikia thousands and thousands wapiganaji kutoka Iraq wanaingia Syria?
Kwa hiyo?Halafu wanajeshi wa Syria wame withdrew kutoka kwenye huo mji uliyotekwa na waasi!
Ndiyo kwa mujibuwa taarifa walizo kupenyezea wewe?Hii vita bado ni mbichi!
Hao wanasubiriwa waingie ndani kabisa, ili kipondo cha uhakika kikianza kitaacha historia hapo!
Ustazi maneno mengi mbona hakuna action kwenye Battlefield?!Hii habari si mpya!
US aliisaidia ISIS pakubwa miaka ya nyuma ila walifikia wapi? Wote walipelekwa jikoni!
US hana maisha marefu hapo Syria. Ajiandae kuondolewa.
Safari hii Wazayuni wameamua kumtia adabu Assad na Ayatolah.Hazikiwahi kupiga kabla
Wewe naye kichwa maji sana!Safari hii Ustazi ndio mwisho wa Assad hadi kamuomba Netanyahu kupitia Saudia kuwa atawaondoa IRGC na kuwarudisha Iran Netanyahu kamtolea nje😆😁
Wewe ubongo wako tunaujua jinsi ulivyo!Ustazi maneno mengi mbona hakuna action kwenye Battlefield?!
Nimefuatilia comments zako nyingi inaonekana hii offensive ya waasi imekutouch sana aisee! Sometimes unajaribu kuleta habari za kujifariji hata za kupotosha lakini mwisho wa siku mambo kwa ground ndio hivoNi stretijia za kivita bwana mdogo!
Kwani kipindi cha nyuma hao magaidi wa Isis walifika wapi na walichukua nchi kwa ukubwa wa kiasi gani? Na kisha wakafanywa nini?
Wewe subiri kitakachowakuta. Utaanza kusikia makelele kutoka kwa white helmet.
Safari hii hadi Shia Millitias wanapigwa usiku na Ndege za IDF asubuhi waasi wanamalizia kazi kipigo ni kizito😂Hazikiwahi kupiga kabla
Sasa unataka niseme Assad anashinda wakati Dunia nzima inaona anavyochapwa?!Wewe ubongo wako tunaujua jinsi ulivyo!
Baki kuwa mpenzi mfuatiliaji, baadaye muda utakujibu halafu utarudi kuona una upeo mdogo kwa kiasi gani!
Wazayuni wanatakiwa wapige Tehran ndio pengine watamtia adabu AyatolahSafari hii Wazayuni wameamua kumtia adabu Assad na Ayatolah.
Wewe Jamaa umevunja mbavu zangu walahi🤣🤣🤣🤣🤣Kuna kudhani na kuna yanayoonekana
Wagner ipi hiyo? Hao Wager waliishiawapi Ukraine hadi Russia akaenda kuomba wanajeshi North Korea? Wagner imebaki story tu.
Unamuongelea Iran aliyeishia kuwaponza Hezibollah na Hamas? Hiyo special force mbona hakuwapelekea iwasaidie?
Wameshafutwa wote, ina maana haujasikia Iran akilia kuangamizwa kwa hao?
Kwa hiyo?
Ndiyo kwa mujibuwa taarifa walizo kupenyezea wewe?
Hakuna jipyaSafari hii hadi Shia Millitias wanapigwa usiku na Ndege za IDF asubuhi waasi wanamalizia kazi kipigo ni kizito😂
Kwanza wanakata Line ya Syria kwa msaada wa Wasunni halafu Trump akiingia Tehran ijiandaeWazayuni wanatakiwa wapige Tehran ndio pengine watamtia adabu Ayatolah
Ngoja uoneUnamuongelea
Hakuna jipya labda utaje rahisi mwengine ila trumpet mweupe kabisaKwanza wanakata Line ya Syria kwa msaada wa Wasunni halafu Trump akiingia Tehran ijiandae
Hawa jamaa wanapenda taarifa zinazofariji, hivyo wao huruka zile zinazowaumizaWewe Jamaa umevunja mbavu zangu walahi🤣🤣🤣🤣🤣