Damascus: Waasi wa HTS wauzingira mji wa Homa nchini Syria

Huo ni uonevu sasa wanamuona Assad mnyonge
 
Usitishe watu huyo urusi na yy anasubiliwa vilevile akijichanganya watu wanampelekea moto kwani hao waasi safari hii hawajaja kizembe wanazo hadi drone za kutungulia ndege kwahiyo urusi ajishkilie,

Mfupa wa ukraine umemkwama hawezi tena kujigawa maana vita imechukua muda mrefu na resources zimeanza kukata so aamue aende akamsaidie asada na ateme bungo ukraine

Yaani hii tunaita ugali moto mboga moto
 
Kwan Iran inapakana na Syria ndugu?
Ishu sio kupakana, Iran kajiwekea proxy wake kimkakati Kama Lebanon,Yemen na Iraq hivyo supply ya silaha itakua shughuli akiingia huyo gaidi. Adui wa Iran ni US na kitoto chake, na wao ndio wanawaendesha hao waasi unategemea nini Kama Syria ikikaa chini ya hao jamaa.? Kama TU movement ya makundi ya kuingia Syria marekani na Israel wanashambulia misafara Yao kutokea Iraq. Hivyo US ndio wahuni ikifuatia na mturuki
 
Umeanza kuufuatilia mgogoro wa Syria toka lini ?
 
HuuKumbuka ule mwaka ao nyahu wa kituruki walifika adi viungani mwa Damascus lkn kilichowakuta mm naamini awa kizaz cha pili awajui kile wenzao walikutananacho. Ngoja tuone hii mbungi.
Unachosema ni sahihi. Nadhani wamepata nguvu baada ya Russia kuwa na vita na Ukraine.
 
Ni stretijia za kivita bwana mdogo!

Kwani kipindi cha nyuma hao magaidi wa Isis walifika wapi na walichukua nchi kwa ukubwa wa kiasi gani? Na kisha wakafanywa nini?

Wewe subiri kitakachowakuta. Utaanza kusikia makelele kutoka kwa white helmet.
Usikariri mambo mkuu. Kwenye hili namwona mzungu akitaka kumwondoa Assad kwa jaribio la pili baada ya la kwanza kushindwa. Kama msafara wa wanamgambo wa usaidizi kutoka Iraq umeshambuliwa na Marekani (kwa mujibu wa Iran), Je, tunapata picha gani hapa.
 
Israhell si anaripua silaha za Iran kila siku sasa analia lia nini israhell kuingiza jeshi kwa sasa sioni ikitokea ila acha tuone kubwa atakua wanashambulia kama anavyo shambulia kila leo hizbullah haijafa kiasi cha kushindwa kuisaidia Syria yaani ili Syria ianguke basi Iran na Russia wambwage hapa Assad hapindui ila kinyume na hapo Syria itaendelea kua chini ya Assad sana mwaka ule vita ilipaganwa mpaka Damascus yaani Assad alikua kabakiza mji mmoja tu ambao ni Damascus pekee ila ikapigwa vita ya kufa na kinyama ambayo nakumbuka wakati ule waliifananisha na vita ya hitler na ussr ambayo majeshi ya German yalitoa dozi mpaka Moscow ila mwisho mambo yakabadilika kikatoka kipigo hapo brek ikawa Berlin ndio kama hii ya mara hii tuone kama hatimae sehemu kubwa ya Syria itarudi kwa Assad kama mara Ile ama ngoma ndio finito ragaso ila ngoja tuendelee kuona nipo pamoja na mwanangu Assad ila usichelewe kutuma maombi rasmi pale Tehran unangojewa wewe tu ila hii inapoelekea
 
Kumbuka ule mwaka ao nyahu wa kituruki walifika adi viungani mwa Damascus lkn kilichowakuta mm naamini awa kizaz cha pili awajui kile wenzao walikutananacho. Ngoja tuone hii mbungi.
We wa huku mchamba wima ndio unajua kuliko wao!!?? 😧😧
 
Israeli channel 12:

Hezbollah sent hundreds of its fighters to Syria

@meiaagency
Hizi heka heka hapo ME zote mlengwa mkuu ni Iran tu hakuna jengine yaani wanajua Syria akiondoka Assad silaha hizbullah kuzipata tena kama sasa itakua ngumu sasa wanataka wapige Pini hapo ili israhell iishi kwa amani halaf kule Iran iwe haina tena proxy yakueleweka sidhanii kama Iran halijui hili ngoja tuone juu huko kuna mtu nimemwambia kwamba sio kweli kwamba Hizbullah imeshindwa na israhell kiasi cha kushindwa kutoa msaada kwa Syria ila yote kwa yote kwa hapa natoa kongole kwa israhell na shosti zake wamechanganyokiwa vyema karata zao watafanikiwa ama laa ngoja tuone
 
Sheikh wangu hizi hadith tunapeana sana kutiana moyo ila naona maji yanazidi kuvurugika. Mimi toka mwanzo i never trusted Israel i told somebody there is something fishy katika haya. Israel anafanya mchakato wa kuleta hali ya kukosekana Utulivu Mash ya kati. Na anafanikiwa. Haya mengine ni mwendelezo ule ule. Ipo wapi Operation Promise ya Iran? Sikutegemea ule ushenzi wameenda kufanya Israel kuingia Iran na kupiga kisha wakatoka usijibiwe. Sikupenda mpaka leo nina hasira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…