ITR
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 6,096
- 16,390
Kwa hiyo Marekani na Israel nao wanashiriki kupigana jihadi?Siyo kwamba hiyo ni jihad hao jamaa wanataka wasimike utawala wa kiislamu ndo maana wanapigana ili wamwondoe kafiri Assad
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo Marekani na Israel nao wanashiriki kupigana jihadi?Siyo kwamba hiyo ni jihad hao jamaa wanataka wasimike utawala wa kiislamu ndo maana wanapigana ili wamwondoe kafiri Assad
Wamarekani nao wanashiriki kupigana jihad?Breaking News Wakuu,habari zinasema mapigano ni makali sana usiku huu kwenye viunga vya Mji wa Homs, habari nyingine zinasema Waasi wameshazivunja Ngome za Jeshi la Syria Arab Republic.
Habari nyingine zinasema Ndege za US na IDF zinashughulika na Shia Millitias waliongia kutokea Iraq.
Source:Aljazeera
Kuna nini?Istanbul.......
Amka wwHe siku hizi kuna drone zinatungua ndege hili ni jipya.
Lengo wamchoshe tu huyo mjinga na majibu yameshaanza kupatikana mda sio mrefu moscow itagawanywaRussia kuishiwa resos hajaanza Jana wala leo unavyo sema wewe ila bado tu anapigana miaka sasa pole kijana
America anashirikiana na Israel kukata Line ya Ayatolah ili isijekutokea October 07 nyingine.
Nimeangalia cambridge na oxford dictionary hawana hilo neno. Ulikuwa unataka nitumie dictionary ya lugha gan sheikh wangu?Tafuta dictionary utafisiri.
Anachelewa sana.kipindi kile alisema ilikuwa ndani ya week moja sasa miezi inaenda miwili. Na alishajipandishia red flag. Kile kitendo walifanya wazayuni kilikuwa cha kudhalilisha sana.... Yaani wanawake wanaingia Iran wanalipua sehemu za silaha halafu wanaondoka? Nikiwaza naumia sana.Usipate taabu op. 3 inakuja general wa Iran kahakikishia waandishi juzi walimuuliza, May be anasuburi silaha za trump ndio aziangamize huwezi jua kwenye hili tumwachie Ayatollah mwenyewe ndio anajua nini kitafaa Kwa muda Gani. Israeli ni wajinga wanahisi wao watakaa Kwa utulivu Kwa haya wanayoyafanya Lebanon siku wakipata AD systems Ngoma itakua tamu Sana ya hizbollah
Kupeleka moto kunatafsiri ovu.Mambo ni moto,peleka moto
Ndiyo anapigania jihad hivyo!America anashirikiana na Israel kukata Line ya Ayatolah ili isijekutokea October 07 nyingine.
Ndege haziteki MijiKatika hi vita usitegemee aljazeera kama chanzo chaku kikuu kukupa taarifa kwasbb iko pro-waasi wa kisunni nikama BBC kwa vita ya Ukurain na Russia.
Serikali ya Sytia ina firing power ya ndege kutoka Russia na Iran sio rahisi kuteka mji na kuutawala wakati ndege zinarusha mabomu.
Wewe Ndio mjinga... Kwa Nini wameshindwa kuutatua huo mgogoro miaka zaidi ya 10 sasa.Kuunasibisha mgogoro wa Syria na masuala ya dini ni kipimo cha ukosefu wa akili.
Mgogoro wa Syria kuna Urusi,Iran, Uturuki, Marekani, Israel, Ufaransa, Uingereza,Mataifa yote ya ghuba kwahiyo hayo mataifa yote yanapigana kwa ajili ya dini?
Endelea kuishi kwa kukariri na historia mfuHii habari si mpya!
US aliisaidia ISIS pakubwa miaka ya nyuma ila walifikia wapi? Wote walipelekwa jikoni!
US hana maisha marefu hapo Syria. Ajiandae kuondolewa.
Narudia tena kuunasibisha mgogoro wa Syria na udini ni dalili ya kuwa na funza kichwani.Wewe Ndio mjinga... Kwa Nini wameshindwa kuutatua huo mgogoro miaka zaidi ya 10 sasa.
Wakati wanaenda kutatua mgogoro wa Ukraine na Russia ambao vita yake ni kubwa zaidi na hatari?
Syria yenyewe bila mtu yoyote kuingilia imegawanyika kimatabaka... Sababu maandamano na Vita ni kumtoa Assad, sababu ya kumtoa ni Kuwa Wasyria wengi ambao ni Waarabu wa Kissuni kutoridhiswa na Serikali yao inayotokana na Jamii ya Watu Kabila/dhehebu la Kishia linaloitwa Alawiites.
Kumtoa Assad ikachukuliwa kama kitendo kisichokubaliwa na Jamii za Kishia Mashariki ya Kati.. Iran, Hezbollah na Wapiganaji wengine wa Kishia wakaanza kuingia Syria kumlinda Assad dhidi ya Wasyria wengine ambao ni Wasunni.
Uturuki anasababu kuu mbili za Kupigana au kuchagua upande.
Uturuki Ndio nchi iliyopokea Wakimbizi wengi sana, kwa hiyo ni obvious lazima itafute utaratibu wa kupambana na changamoto hiyo, jambo la pili baada ya Hii vita Jamii ya Wakurdi Syria wakatumia Nafasi hiyo kuunda nchi ndani ya Syria hii ni hatari kwa Uturuki sababu inawapa Hamasa Wakurdi wa Uturuki kudai nchi yao pia.
Israel kwa upande wake hataki Syria iwe base ya Iran, pia hataki Silaha ziende Lebanon, pia hataki ISIS wame karibu na mipaka yake Ndio maana lazima aingilie
Russia ana base ya navy Syria ambayo inaisaidia sana kwenye bahari ya Mediterranean, so kama Waasi wakimuhakikishia itakuwepo hata kesho hana nia ya kumsupport Assad
Jiongeze,hivi tangu Israel aivamie Lebanon na kuisambaratisha Hezbollah ulishaona Erdogan na Turkey yake wakipiga domo zidi ya Israel?Waasi wanao endesha mashambulizi mmiliki wake ni Uturuki sio Israel .
Kwani hajawahi dungua?Ya kwamba Uturuki adungue ndege za Urusi ?
Hawezi thubutu huo ujinga.
Unamezeshwa kasa na huyo mfia dini unameza mzima mzima.Marekan, ufaransa hawa nawajua kabisa kuwa ni magaid tokea zaman
Popcorn na ghahawa tafadhaliBreaking News Wakuu,habari zinasema mapigano ni makali sana usiku huu kwenye viunga vya Mji wa Homs, habari nyingine zinasema Waasi wameshazivunja Ngome za Jeshi la Syria Arab Republic.
Habari nyingine zinasema Ndege za US na IDF zinashughulika na Shia Millitias waliongia kutokea Iraq.
Source:Aljazeera