Damascus: Waasi wa HTS wauzingira mji wa Homa nchini Syria

Damascus: Waasi wa HTS wauzingira mji wa Homa nchini Syria

Uturuki ni kama Mwingereza, bado wana hangover ya tawala zao!

Ila ni mwepesi sana kwa Russia, alileta ujinga wake mwanzoni hivyo hivyo kwa Mrusi, Mrusi akawauwa wanajeshi wa Uturuki wengi sana huko Syria.
Mbona sasa Uturuki iliingia makubaliano ya joint patrol na Urusi?

Uturuki iliua rubani wa Urusi kwa kudungua ndege ya Urusi. Uturuki ikapigana na Wakurdi hadi ndani ya Syria kule Kaskazini. Syria ikaishambulia Uturuki nayo ikashambulia jeshi la Syria na kuharibu silaha za Kirusi. Ndio ulikuwa mwanzo wa drones za Bayraktar TB2 kujulikana makali yake. Mifumo ya ulinzi wa anga ya Syria ilipigwa.

Kisha baadae likafanyika shambulizi dhidi ya majeshi ya Uturuki. Ile ilikuwa ni piga nikupige sio eti Uturuki ni mnyonge mbele ya Urusi.
 
— ❗️🇮🇷/🇺🇳/☢️ Chief of the International Atomic Energy Agency, Rafael Grossi:

'Iran has just dramatically increased its capacity to produce 60% (near weapons grade) enriched uranium, by installing advanced IR-6 centrifuges.

Iran was producing 60% enriched uranium at a rate of 5-7kg a month, but Iran now has the capacity to increase this monthly output by seven or eight times, or possibly even more.'

Note: Grossi is simply talking about an increase in Iran's capacity to produce, he did not mention whether Iran intends to actually put these new centrifuges into operation.

@Middle_East_Spectator
 
View attachment 3170591
Daraja kwenye mpaka wa Syria na Lebanon limeshambuliwa na Ndege za Israel ili kukata mawasiliano baina Ayatolah na Hezbola 🤣

It's now or never kwa Wanamgambo wa Kisunni wauzunguke Mji wa Homs wafanye Siege halafu wakaishambulie Damascus.
Yaani na Israel imeshatuma ujumbe Iran... Akileta migambo anapita nao
 
— 🇸🇾 NOTE: Just because the situation is bad, does not mean every piece of news distributed by HTS-affiliated media is true.

Assad remains in Damascus, Homs has not (yet) fallen, and the Syrian Arab Army remains in control of most major cities (Damascus, Latakia, Tartous, Homs, etc).

I won't say there is no need to worry, because there definitely is. But things are not done yet. Do not draw any premature conclusions. We saw this in 2013, and again in 2016.

@Middle_East_Spectator
 
Mkuu wa Waasi wa Kisunni Kamanda Abu Mohamed Al Jolani kaamua kubadilisha muonekano wake kapunguza kuvaa Vilemba na Kanzu kaamua kuupunguza na Mzuzu kaamua kuvaa kawaida.

View attachment 3170608
Before muonekano wa Kigaidi.
View attachment 3170609
After amepiga Pamba za Kimagharibi na hana muonekano wa kutisha.
Kwa hio kila anaye wapa support Israel na US huyo ndio mnampenda sio. Unataka kusema huyo mpiganaji wa Al Qaeda kapata vipi connection na US na Israel. Afu US anakuambia hao magaidi na wakati anawapa support. Tukiwambia dunia bila US na Israel kungekiwa na amani mnabisha
 
We si ulisema Hezbullah watafika vipi Syria, sa nenda kumuliza Israel mbona mlivunja madaraja wamefika vipi Syria
Lengo la huu mtiti wa Syria kwasasa ni kukata Line ya Ayatolah na Hezbola

Vita ni Akili sio kuvaa mabomu na Jazba ya kusema Allah Akbar
 
Kwa hio kila anaye wapa support Israel na US huyo ndio mnampenda sio. Unataka kusema huyo mpiganaji wa Al Qaeda kapata vipi connection na US na Israel. Afu US anakuambia hao magaidi na wakati anawapa support. Tukiwambia dunia bila US na Israel kungekiwa na amani mnabisha
Adui wa Adui yako ni Rafiki au hujawahi kuusikia huo msemo?!
 
Lengo la huu mtiti wa Syria kwasasa ni kukata Line ya Ayatolah na Hezbola

Vita ni Akili sio kuvaa mabomu na Jazba ya kusema Allah Akbar
We unajua ni muongo sana kazi kutuletea fake news. Eti Israel kubomoa daraja hahaha, Hezbullah wame Cross border Israel huwa hana uwezo wa kuwaona

Wazee wa kazi wamewafata vifaranga wa US na Israel kuwatia adabu. Hezbullah wameisha fika Homs
View: https://youtu.be/-Rw315lyIyY?si=r9vk1laz1lqQiWFZ
 
We unajua ni muongo sana kazi kutuletea fake news. Eti Israel kubomoa daraja hahaha, Hezbullah wame Cross border Israel huwa hana uwezo wa kuwaona
Niliweka na Source yangu ya ya ARAB/VOA sasa unaponishutumu kwa uongo unapata wapi hayo mamlaka?!

Wewe angalia Comment zangu na Post zangu lazima ziambatane na Credible Source.
 
— ❗️🇮🇷/🇺🇳/☢️ Chief of the International Atomic Energy Agency, Rafael Grossi:

'Iran has just dramatically increased its capacity to produce 60% (near weapons grade) enriched uranium, by installing advanced IR-6 centrifuges.

Iran was producing 60% enriched uranium at a rate of 5-7kg a month, but Iran now has the capacity to increase this monthly output by seven or eight times, or possibly even more.'

Note: Grossi is simply talking about an increase in Iran's capacity to produce, he did not mention whether Iran intends to actually put these new centrifuges into operation.

@Middle_East_Spectator
Ayatolah anajitafutia kipigo kizito.
 
Mbona ni kama wote wanaunga mkono US na Israel?!
Kwahiyo Dini nzima imejaa Wanafiki?!
Nchi zinazo unga mkono US ni viongozi sio wananchi ndio kama nilivyo kueleza wanao munga mkono Israel au Israel ni 10 t0 15 % ya warabu tena hao lazima wawe wakristo au wanadamu za kiyahudi
 
Nchi zinazo unga mkono US ni viongozi sio wananchi ndio kama nilivyo kueleza wanao munga mkono Israel au Israel ni 10 t0 15 % ya warabu tena hao lazima wawe wakristo au wanadamu za kiyahudi
Hao Wananchi wamedanganywa na Mafundisho ya Kiislamu ya Madrasa,kwao kila Mkiristo ni Kafiri Myahudi ni Kafiri Mhindu Kafiri Shia Kafiri Sunni ambae haendani na mafundisho yao Kafiri.

Ndio maana Viongozi wa hizo Nchi wameanza kuwaondoa Wananchi wao hiyo Indoctrination ya chuki mfano MBS wa Saudi Arabia.
 
We akili zako za kitoto sana we unadhani Hezbullah anatumia barabara za kupita madaraja
Hunisomi vizuri au unafanya tu makusudi nimesema Ayatolah Corridor ya kupitishia Silaha kutoka Iran ndio iinakatwa sasa bila Madaraja Silaha Nzito zitapitia wapi?!
 
Back
Top Bottom