Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,133
- 12,361
Kujibu hakuna faida yeyote kwao, ni bora wangeenda kumuokoa Bashar anaangamia.Duuh anachechemea, Iran hajawahi kuahidi asijibu watachelewa ila lazima watajibu Hilo sina shaka nalo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kujibu hakuna faida yeyote kwao, ni bora wangeenda kumuokoa Bashar anaangamia.Duuh anachechemea, Iran hajawahi kuahidi asijibu watachelewa ila lazima watajibu Hilo sina shaka nalo
Mbona sasa Uturuki iliingia makubaliano ya joint patrol na Urusi?Uturuki ni kama Mwingereza, bado wana hangover ya tawala zao!
Ila ni mwepesi sana kwa Russia, alileta ujinga wake mwanzoni hivyo hivyo kwa Mrusi, Mrusi akawauwa wanajeshi wa Uturuki wengi sana huko Syria.
Ni kweli maana kikosi kikubwa cha anga kilikuwa kimesha ondolewa ,ila nasikia Urusi imeanza kupeleka Helcopeter za mashambulizi.Air force ya Urusi iliyopo Syria dhaifu mno.
Malaria2 amekimbia. Adui wa muislamu ni muislamu.Safari hii wote wanasema "Allah Akbar" sasa sijui Allah atasimama upande gani wa Sunni au wa Shia?!
Kwako Malaria 2
Au ameenda Syria kuwasaka Wazayuni?!😆😆😂Malaria2 amekimbia. Adui wa muislamu ni muislamu.
Kila Shia au Sunni anaye waunga mkono Israel na USAMnafiki ni yupi Shia au Sunni?!
Yaani na Israel imeshatuma ujumbe Iran... Akileta migambo anapita naoView attachment 3170591
Daraja kwenye mpaka wa Syria na Lebanon limeshambuliwa na Ndege za Israel ili kukata mawasiliano baina Ayatolah na Hezbola 🤣
It's now or never kwa Wanamgambo wa Kisunni wauzunguke Mji wa Homs wafanye Siege halafu wakaishambulie Damascus.
Kwa hio kila anaye wapa support Israel na US huyo ndio mnampenda sio. Unataka kusema huyo mpiganaji wa Al Qaeda kapata vipi connection na US na Israel. Afu US anakuambia hao magaidi na wakati anawapa support. Tukiwambia dunia bila US na Israel kungekiwa na amani mnabishaMkuu wa Waasi wa Kisunni Kamanda Abu Mohamed Al Jolani kaamua kubadilisha muonekano wake kapunguza kuvaa Vilemba na Kanzu kaamua kuupunguza na Mzuzu kaamua kuvaa kawaida.
View attachment 3170608
Before muonekano wa Kigaidi.
View attachment 3170609
After amepiga Pamba za Kimagharibi na hana muonekano wa kutisha.
Lengo la huu mtiti wa Syria kwasasa ni kukata Line ya Ayatolah na HezbolaWe si ulisema Hezbullah watafika vipi Syria, sa nenda kumuliza Israel mbona mlivunja madaraja wamefika vipi Syria
Adui wa Adui yako ni Rafiki au hujawahi kuusikia huo msemo?!Kwa hio kila anaye wapa support Israel na US huyo ndio mnampenda sio. Unataka kusema huyo mpiganaji wa Al Qaeda kapata vipi connection na US na Israel. Afu US anakuambia hao magaidi na wakati anawapa support. Tukiwambia dunia bila US na Israel kungekiwa na amani mnabisha
We unajua ni muongo sana kazi kutuletea fake news. Eti Israel kubomoa daraja hahaha, Hezbullah wame Cross border Israel huwa hana uwezo wa kuwaonaLengo la huu mtiti wa Syria kwasasa ni kukata Line ya Ayatolah na Hezbola
Vita ni Akili sio kuvaa mabomu na Jazba ya kusema Allah Akbar
Mbona ni kama wote wanaunga mkono US na Israel?!Kila Shia au Sunni anaye waunga mkono Israel na USA
Niliweka na Source yangu ya ya ARAB/VOA sasa unaponishutumu kwa uongo unapata wapi hayo mamlaka?!We unajua ni muongo sana kazi kutuletea fake news. Eti Israel kubomoa daraja hahaha, Hezbullah wame Cross border Israel huwa hana uwezo wa kuwaona
Ayatolah anajitafutia kipigo kizito.— ❗️🇮🇷/🇺🇳/☢️ Chief of the International Atomic Energy Agency, Rafael Grossi:
'Iran has just dramatically increased its capacity to produce 60% (near weapons grade) enriched uranium, by installing advanced IR-6 centrifuges.
Iran was producing 60% enriched uranium at a rate of 5-7kg a month, but Iran now has the capacity to increase this monthly output by seven or eight times, or possibly even more.'
Note: Grossi is simply talking about an increase in Iran's capacity to produce, he did not mention whether Iran intends to actually put these new centrifuges into operation.
@Middle_East_Spectator
Nchi zinazo unga mkono US ni viongozi sio wananchi ndio kama nilivyo kueleza wanao munga mkono Israel au Israel ni 10 t0 15 % ya warabu tena hao lazima wawe wakristo au wanadamu za kiyahudiMbona ni kama wote wanaunga mkono US na Israel?!
Kwahiyo Dini nzima imejaa Wanafiki?!
Hao Wananchi wamedanganywa na Mafundisho ya Kiislamu ya Madrasa,kwao kila Mkiristo ni Kafiri Myahudi ni Kafiri Mhindu Kafiri Shia Kafiri Sunni ambae haendani na mafundisho yao Kafiri.Nchi zinazo unga mkono US ni viongozi sio wananchi ndio kama nilivyo kueleza wanao munga mkono Israel au Israel ni 10 t0 15 % ya warabu tena hao lazima wawe wakristo au wanadamu za kiyahudi
Hunisomi vizuri au unafanya tu makusudi nimesema Ayatolah Corridor ya kupitishia Silaha kutoka Iran ndio iinakatwa sasa bila Madaraja Silaha Nzito zitapitia wapi?!We akili zako za kitoto sana we unadhani Hezbullah anatumia barabara za kupita madaraja