S Sexless JF-Expert Member Joined Mar 11, 2017 Posts 23,683 Reaction score 55,898 Dec 10, 2022 Thread starter #81 Rweye said: Ulibaki wewe na una bahati. Alipitwa na JK feki aliyeua 1m na akatembeza wazee uchi surrender bridge R.I.P Silyvester Rwegasira shujaa wa TRL na mzalendo wa kweli. Hilter alimtoa roho 2008 Click to expand... Mkuu mbona unayajua wewe tu haya matukio yako ya kutunga? Magufuli ni dikteta maarufu duniani. Ameua watu mpk dunia ikamtenga mjinga yule
Rweye said: Ulibaki wewe na una bahati. Alipitwa na JK feki aliyeua 1m na akatembeza wazee uchi surrender bridge R.I.P Silyvester Rwegasira shujaa wa TRL na mzalendo wa kweli. Hilter alimtoa roho 2008 Click to expand... Mkuu mbona unayajua wewe tu haya matukio yako ya kutunga? Magufuli ni dikteta maarufu duniani. Ameua watu mpk dunia ikamtenga mjinga yule
Mr Q JF-Expert Member Joined Aug 16, 2012 Posts 18,046 Reaction score 38,598 Dec 10, 2022 #82 Sexless said: Yaani amepiga kwenye mshono. Sukuma gang wanatafuta njia ya kutokea hawaioni Click to expand... Nikichogundua mtoa mada upo unapambana na watu waliohusika moja kwa moja ktk kunyang'anya wenzao haki ya kuishi wamejitokeza wengi katika uzi huu
Sexless said: Yaani amepiga kwenye mshono. Sukuma gang wanatafuta njia ya kutokea hawaioni Click to expand... Nikichogundua mtoa mada upo unapambana na watu waliohusika moja kwa moja ktk kunyang'anya wenzao haki ya kuishi wamejitokeza wengi katika uzi huu
Superbug JF-Expert Member Joined Jan 31, 2018 Posts 13,864 Reaction score 35,079 Dec 10, 2022 #83 passioner255 said: MTU asiye na Akili Tu ndo anayeweza kuwaza kwamba lisu alishinda Kwa sababu wanachama wa CCM Tu wanatosha kuipa CCM ushindi. Click to expand... Hao wanachama uliwapigia kura wewe? Kama mnajiamini tuwe na tume huru kama kenya na mfumo wa kukusanya na kuhesabu uwe kama wa kenya kubalini hilo ndio mjisifu mmeshinda kwà haki.
passioner255 said: MTU asiye na Akili Tu ndo anayeweza kuwaza kwamba lisu alishinda Kwa sababu wanachama wa CCM Tu wanatosha kuipa CCM ushindi. Click to expand... Hao wanachama uliwapigia kura wewe? Kama mnajiamini tuwe na tume huru kama kenya na mfumo wa kukusanya na kuhesabu uwe kama wa kenya kubalini hilo ndio mjisifu mmeshinda kwà haki.
A Asamwa JF-Expert Member Joined Apr 13, 2012 Posts 3,711 Reaction score 2,462 Dec 10, 2022 #84 USSR said: Ben aliuwawa na chadema wenzako alikuwa PS wa mbowe aulizwe mbowe USSR Click to expand... Kumbe Chadema wako juu ya Sheria! Wanajulikana waliua, lakini vyombo vya Dola vikashindwa kuchukua hatua stahiki?!
USSR said: Ben aliuwawa na chadema wenzako alikuwa PS wa mbowe aulizwe mbowe USSR Click to expand... Kumbe Chadema wako juu ya Sheria! Wanajulikana waliua, lakini vyombo vya Dola vikashindwa kuchukua hatua stahiki?!
Msingida JF-Expert Member Joined Dec 1, 2010 Posts 10,239 Reaction score 11,731 Oct 24, 2023 #85 DAB karudi tena kwenye uongozi. Afanye reconsiliation na familia ya husika!