raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
Hii nchi dawa yake ni kukatana mapanga tu kama ilivyo kwa baadhi ya nchi,tuwakimbize wezi wa mali za umma na wanaoshirikiana nao, vinginevyo wanajua tutalalamika kisha litapita,kama jinsi ripoti ya CAG inavyopotea kwa sasaHawa wanaweza kuwa ndio wale wafadhili wa Royol tour ambao tulifichwa , sasa wanapewa mapande ya aridhi, na wana binasifisha, fikiria Mzungu ana binasifisha Aridhi ya Umma.
View attachment 2610183
Humo kuna viongozi wa serikali wanashea zaoMwiba Game Reserve imekuwepo muda mrefu kabla hata ya awamu ya sita ila kama mtu mmoja tena ambaye sio raia anaweza kumilikishwa ekari 25,000 basi twafa.
MWAFAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!!!Mwiba Game Reserve imekuwepo muda mrefu kabla hata ya awamu ya sita ila kama mtu mmoja tena ambaye sio raia anaweza kumilikishwa ekari 25,000 basi twafa.
Hawa wanaweza kuwa ndio wale wafadhili wa Royol tour ambao tulifichwa , sasa wanapewa mapande ya aridhi, na wana binasifisha, fikiria Mzungu ana binasifisha Aridhi ya Umma.
View attachment 2610183
Unaijua sheria ya kumiliki ardhi Tanzania au unaropoka kwa chuki zako binafsi? Hili linchi lina maelfu ya mahekta mapori ambayo hata mkiambiwa mkalime hamuwezi bado kwa roho mbaya mlizonazo hamtaki watu wenye uwezo wafanyie kazi mpate kodi kwa maendeleo ya Taifa. Yule mzee marehemu aliwapandikiza roho mbaya sana.Never again Rais wa Jamhuri atoke Zanzibar.
Hao hawana uzalendo kabisa.
Wanagawa mali za Tanganyika kama pipi.
Hawana madini Wala wanyama.
Tuwe makini nao.
Ngorongoro hivi sasa tunaongea inajengwa 5 star hotel na Melia group ambayo itaongeza sana idadi ya watalii na pato la taifa.wale loliondo vp? Wakafukuza hadi wenyeji
Tanzania ni kiwanda cha uzushi. Kwahiyo hapo ulipo ukisikia mtaani wanasema wewe ni shoga au ngβombe ana miguu mi5 utaamini? No wonder mliamini zile stori za mtoto kubadilika kuwa jiwe. Nchi hii ina wajinga wengi sana ( Godwin Mollel, 2023)Nchi inauzwa balaa, kule Arusha nimeambiwa Rizi 1 anawavua Wazungu Mashamba balaa, sasa jiulize,
ARDHI WAME LEASE PROBABLY FOR 33 YEARS.Never again Rais wa Jamhuri atoke Zanzibar.
Hao hawana uzalendo kabisa.
Wanagawa mali za Tanganyika kama pipi.
Hawana madini Wala wanyama.
Tuwe makini nao.
swadakta,kinaonekana kitu kina view moja matataNgorongoro hivi sasa tunaongea inajengwa 5 star hotel na Melia group ambayo itaongeza sana idadi ya watalii na pato la taifa. View attachment 2611100View attachment 2611101View attachment 2611102View attachment 2611103
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
SAFI SANA MASIKINI HAWEZI KUMTAJIRISHA MASIKINI, ISPOKUA TAJIRI ANAWEZA KUMTAJIRISHA MASIKINI PAMOJA NA MASIKINI KUPATA AJIRA.Ngorongoro hivi sasa tunaongea inajengwa 5 star hotel na Melia group ambayo itaongeza sana idadi ya watalii na pato la taifa. View attachment 2611100View attachment 2611101View attachment 2611102View attachment 2611103
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Karibu sana Tanzania, ardhi yetu tunakukodisha tu kwa miaka 33-66-99.Mwiba Game Reserve imekuwepo muda mrefu kabla hata ya awamu ya sita ila kama mtu mmoja tena ambaye sio raia anaweza kumilikishwa ekari 25,000 basi twafa.
Je wewe unajua mambo ya huyu jamaa yalianza lini na nani kamalizana nae na kulipa kodi na fain je unajua ni kipindi cha nani huyu alingia na kipindi cha magufuli kaongezewa mikataba baada ya kulipa wacha kuwasema wengine kwenye ishu ambazo %100 ni dill za hukuhuku kwetuUwe unasoma vizuri hoja jadiliwa usinengue. Unaposema hatutarudia makosa kuwapa wazanibat uongozi wa juu wa nchi wakati wao ni sehemu ya muungano unaonekana kama mpuuzi hivi! Kwamba zanzibar hakuna madini ni ujuha na upuuzi ukiokithir!
Mbona mukiambiwa tubadili Katiba mnasema wananchi hawali katiba? Sasa haya sindiyo matokeo ya katiba mnayoipenda? Kwani SSH au MWINYI Walijisimika?
Acheni kuleta hoja za kinafki kisa mpo nje ya ulaji hapo lumumba
Mnajidai kutetea maslahi ya watanzania leo? Mbona mlitumia mpaka fedha za walipa kodi kununua wabunge wa upinzani?
Watanzania wengi wajinga wanapinga kitu kama hiki wakati uwezo wa kujenga sisi masikini hatuna unakaa na hiyo ardhi itakusaidia nini?swadakta,kinaonekana kitu kina view moja matata
Raia wa nchi nyingine anakodishiwa ardhi kwa miaka 99 tu. Ikiisha anaweza ku renew.Ninavyojua sheria yetu inaruhusu Mwekezaji kupewa ardhi kwa ajili ya uwekezaji ila mara uwekezaji wake unapokoma tu anarudisha ardhi serikalini.
Katika taifa ambalo watu wanongezeka kama kumbikumbi watu wenye nguvu na ukwasi hasa wageni wasiachiwe kumiliki acres wawezavyo wao. Lazima kuwepo na ukomo.Karibu sana Tanzania, ardhi yetu tunakukodisha tu kwa miaka 33-66-99.
Waweza miliki acre zozote upendazo kazi kwako tu.
Tuache wivu wa kike!
Tanzania tunakalia 3.5 ya 100. Ya ardhi.Katika taifa ambalo watu wanongezeka kama kumbikumbi watu wenye nguvu na ukwasi hasa wageni wasiachiwe kumiliki acres wawezavyo wao. Lazima kuwepo na ukomo.
Wana mafuta lakini. Madini ya ghali kabisa Duniani.Never again Rais wa Jamhuri atoke Zanzibar.
Hao hawana uzalendo kabisa.
Wanagawa mali za Tanganyika kama pipi.
Hawana madini Wala wanyama.
Tuwe makini nao.