Dan Friedkin mmiliki wa AS Roma anamiliki ardhi kubwa Tanzania, mamlaka zimchunguze

Dan Friedkin mmiliki wa AS Roma anamiliki ardhi kubwa Tanzania, mamlaka zimchunguze

Bilionea wa dollar atachukua 10×10 😀
Wabongo wana mashamba hamna kitu wanafanya zaidi ya wikend kuweka mafuta na kuenda kukodolea macho tu
 
Hawa wanaweza kuwa ndio wale wafadhili wa Royol tour ambao tulifichwa , sasa wanapewa mapande ya aridhi, na wana binasifisha, fikiria Mzungu ana binasifisha Aridhi ya Umma.

View attachment 2610183
Hii nchi dawa yake ni kukatana mapanga tu kama ilivyo kwa baadhi ya nchi,tuwakimbize wezi wa mali za umma na wanaoshirikiana nao, vinginevyo wanajua tutalalamika kisha litapita,kama jinsi ripoti ya CAG inavyopotea kwa sasa
 
Mwiba Game Reserve imekuwepo muda mrefu kabla hata ya awamu ya sita ila kama mtu mmoja tena ambaye sio raia anaweza kumilikishwa ekari 25,000 basi twafa.
Humo kuna viongozi wa serikali wanashea zao
 
Hawa wanaweza kuwa ndio wale wafadhili wa Royol tour ambao tulifichwa , sasa wanapewa mapande ya aridhi, na wana binasifisha, fikiria Mzungu ana binasifisha Aridhi ya Umma.

View attachment 2610183


Wakina Kikwete na nyalandu wameshakula pesa sana ndiyo maana wamenyamaza. Kwanini watu hawaulizi shirika la uwindaji Tawiko ambalo Ndolanga alikuwa mkurugenzi liliuzwaje?
 
Never again Rais wa Jamhuri atoke Zanzibar.

Hao hawana uzalendo kabisa.

Wanagawa mali za Tanganyika kama pipi.

Hawana madini Wala wanyama.

Tuwe makini nao.
Unaijua sheria ya kumiliki ardhi Tanzania au unaropoka kwa chuki zako binafsi? Hili linchi lina maelfu ya mahekta mapori ambayo hata mkiambiwa mkalime hamuwezi bado kwa roho mbaya mlizonazo hamtaki watu wenye uwezo wafanyie kazi mpate kodi kwa maendeleo ya Taifa. Yule mzee marehemu aliwapandikiza roho mbaya sana.

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
wale loliondo vp? Wakafukuza hadi wenyeji
Ngorongoro hivi sasa tunaongea inajengwa 5 star hotel na Melia group ambayo itaongeza sana idadi ya watalii na pato la taifa.
Screenshot_20230505-171318_Instagram.jpg
Screenshot_20230505-171317_Instagram.jpg
Screenshot_20230505-171310_Instagram.jpg
Screenshot_20230505-171308_Instagram.jpg


Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Nchi inauzwa balaa, kule Arusha nimeambiwa Rizi 1 anawavua Wazungu Mashamba balaa, sasa jiulize,
Tanzania ni kiwanda cha uzushi. Kwahiyo hapo ulipo ukisikia mtaani wanasema wewe ni shoga au ng’ombe ana miguu mi5 utaamini? No wonder mliamini zile stori za mtoto kubadilika kuwa jiwe. Nchi hii ina wajinga wengi sana ( Godwin Mollel, 2023)
 
Mwiba Game Reserve imekuwepo muda mrefu kabla hata ya awamu ya sita ila kama mtu mmoja tena ambaye sio raia anaweza kumilikishwa ekari 25,000 basi twafa.
Karibu sana Tanzania, ardhi yetu tunakukodisha tu kwa miaka 33-66-99.
Waweza miliki acre zozote upendazo kazi kwako tu.
Tuache wivu wa kike!
 
Uwe unasoma vizuri hoja jadiliwa usinengue. Unaposema hatutarudia makosa kuwapa wazanibat uongozi wa juu wa nchi wakati wao ni sehemu ya muungano unaonekana kama mpuuzi hivi! Kwamba zanzibar hakuna madini ni ujuha na upuuzi ukiokithir!
Mbona mukiambiwa tubadili Katiba mnasema wananchi hawali katiba? Sasa haya sindiyo matokeo ya katiba mnayoipenda? Kwani SSH au MWINYI Walijisimika?
Acheni kuleta hoja za kinafki kisa mpo nje ya ulaji hapo lumumba
Mnajidai kutetea maslahi ya watanzania leo? Mbona mlitumia mpaka fedha za walipa kodi kununua wabunge wa upinzani?
Je wewe unajua mambo ya huyu jamaa yalianza lini na nani kamalizana nae na kulipa kodi na fain je unajua ni kipindi cha nani huyu alingia na kipindi cha magufuli kaongezewa mikataba baada ya kulipa wacha kuwasema wengine kwenye ishu ambazo %100 ni dill za hukuhuku kwetu
 
Karibu sana Tanzania, ardhi yetu tunakukodisha tu kwa miaka 33-66-99.
Waweza miliki acre zozote upendazo kazi kwako tu.
Tuache wivu wa kike!
Katika taifa ambalo watu wanongezeka kama kumbikumbi watu wenye nguvu na ukwasi hasa wageni wasiachiwe kumiliki acres wawezavyo wao. Lazima kuwepo na ukomo.
 
Never again Rais wa Jamhuri atoke Zanzibar.

Hao hawana uzalendo kabisa.

Wanagawa mali za Tanganyika kama pipi.

Hawana madini Wala wanyama.

Tuwe makini nao.
Wana mafuta lakini. Madini ya ghali kabisa Duniani.
 
Mimi nafikiri atkuwa ni mwekezaji tu kama alivyo yule wa Grumeti game reserve. Kuwekeza kwenye tourism sector ina afya kwa nchi ili mradi asivunje sheria.
 
Back
Top Bottom