Dancing ingelipa kiasi hiki basi Moze Iyobo na Angel Nyigu wangekuwa mabilionea

Mbona kina kontawa, kina belle9, Dully sykes, Rich mavoko n.k hawajui hata bei ya Range πŸ˜€ acheni utani, mziki unalipa sawa ila sio kirahisi hivyo
 
Hata Kazi

Mnaweza kufanya moja na wenzako Ila wewe ukaishia kuwa kubaki pale pale na mwenzio akasonga mbele.
Anasonga mbele kutokana na kuwa na shughuli nyingine, mfano mwalimu anaweza kuwa na biashara nyingine, ufugaji, kilimo nk. Lakini sio ualimu umtajirishe, Labda mwalimu wa Harvard, IST n.k au kama msanii apige show super bowl, Grammy, BET n.k au apate tuzo za Grammy na BET kama kina Davido, Burnaboy, Diamond n.k. Kusema kwamba kijana Mziki na dancing pekee ndivyo vinampatia utajiri huu ndani ya muda huu mfupi, tena hana tuzo wala hajawahi perform huko mbele, SI KWELI.
 
Aise, Mrisho Mpoto hana hata Range mojaπŸ˜€ kwa perfomance anazopiga daily kwenye hizo shughuli za kisiasa angeshakuwa tajiri sana

Lakin kupanga ni Kuchagua kutokuwa na range inaweza ikawa ni maamuzi.. kuna watu wana pesa ndefu ila hizo gari sio mizuka yao.. utakuta ntu ametumia pesa nyingi ku customize Land rover 110 kwa vitu vya gharama

Au mwingine yeye gar yake pendwa ni land cruiser humkuti kwenye benzi wala range

Mwingine pesa ya kujichanga ila
Ana range kali
 
Range nimetumia kama mfano tu, Point ni kwamba hana utajiri mkubwa kiasi hicho
 
Tanzania ni nchi ambayoukipambana ukashindwa watakucheka,ukipambana ukatoboa watakusema pia!so binafsi nampa hongera Wanaman kwa kutoboa
Kweli unayosema, Lakini mbona wapo wengi waliopambana wakatoboa wanajulikana na wanapongezwa, kina Diamond, Harmonize, Rayvanny,Zuchu, au waigizaji na watangazaji kama kina Masanja (analima sana mpunga) Mpoki, Joti n.k Lakini kuna baadhi ya mafanikio yana ukakasi kidogo, mfano hao kina Chief Godlove (hajulikani anafanya shughuli gani) Chino nk.
 
Kama Chino hajulikani kazi yake we umemjuaje?
 
kuna mtu hapa duniani anahitaji hela kidogo tu awaonyeshe watu maajabu.

chino kapata hio fursa mtashangaa sana Kwani hafanyi vile mlivyo zoea

kuna mtu anahitaji elfu hamsini tu afanye makubwa na bado inamsumbua kuipata wakati wewe unayo na hujui uifanyie nini

umeelewa wewe kiazi?
 
Na hili nalo utatutaka tukaliangalie kwa kutumia muda wa umma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…