Dangote kishatupiga chenga Tanzania? Sasa kujenga Kenya Kiwanda cha Mafuta cha Trilioni 43. Ni baada ya kauli tata ya Rais Samia

Na kuongezea tu. Raisi Ruto alikuwa anajua hilo alivyokuwa bungeni alikuwa anawasanifu tu mnavyompigia makofi
 
Kuna mengi ya kufikirika na kisha yakaleta dhana kadhaa, mfano...

1. Yamkini ameona ujanja/tamaa/rushwa kutoka kwa utawala wa Tanzania. Kuanzia yeye kupewa eneo, kibali cha ujenzi, percent n.k mfano labda wana mtandao na wao walitaka waweke pesa hapo watakatishe.

2. Political instability kwa miaka kadhaa ijayo ndani ya Tanzania. Ni dhahiri kuwa upepo wa kisiasa Tanzania haujakaa sawa.

3. William Ruto alipokuja Tz, Samia alimwambia kuwa awashughulikie ipasavyo upinzani. Yamkini mashirika makubwa ya kutetea haki za binadamu yameona hii ni taswira mbaya kwa Tanzania, so inapaswa kutengwa.

4. Hapa kuna dhana ya kiroho, huu utawala wa sasa Tanzania una mikono iliyojaa damu, sio rahisi kila wanachokishika kikaenda vyema.
 
Nyie watanganyika endeleeni kupambana na LISU, GEN Z kuwachapa mikwaju tu na CHADEMA.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Hii refinery imekuwa na kelele nyingi sana za Kiswahili na propaganda za wanasiasa, anayetaka kujenga refinery ni dangote kwa pesa zake na anajenga refinery yake binafsi, hawajengei nchi yoyote. Anaweza kujenga popote wala haitaathiri chochote katika huo mradi wa bomba la mafuta.
 
Tangu lini DP
Wanapenyeza Fitina Wapi? Ninyi Bandari ya Tanga Mliwauzia waarabu kwa miaka 100. Mwaarabu anataka bandari ya Tanga iwe ya kushusha Mafuta yake biashara yake ikue sio kupakia mafuta.

DP World si mlikuwa mnawatetea? Endeleeni sasa.

Mwarabu Kakataa
Tangu lini Dp world ilipewa Bandari ya Tanga?
 
Kumbuka mtoto wa ruto kaolewa nigeria
 
Hata kiwanda cha cement Dangote alijenga Tanzania kwa pesa zake.

Lakini kina faida kwa Watanzania ajira na kodi

Ushindani sokoni na kupunguza ukiritimba wa akina Twiga Cement and the likes of
 
Unless ni mbinu ya kumlegezea masharti ya uwekezaji Otherwise tutakuwa tumenyang'anywa tonge lenye mnofu mdomoni.
 
Nyie endeleeni n lisu,chadema kuibana ndiko nguvu ziko.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Hata kiwanda cha cement Dangote alijenga Tanzania kwa pesa zake.

Lakini kina faida kwa Watanzania ajira na kodi

Ushindani sokoni na kupunguza ukiritimba wa akina Twiga Cement and the likes of
Kiwanda cha Cement ni kwa ajili ya nchi Tanzania, refinery ni kwa ajili ya nchi au kampuni yoyote duniani itakayotaka kuuza crude oil yake au kununua mafuta yaliyosafishwa.
 
Huyu fala hana hela ni kibaraka cha wahuni full maigizo

Japo wahuni wa Bongo ni wasumbufu ila Kuna sehemu wamechora mstari unaowatofautisha na wa kimataifa
 
Jakaya Mrisho Kikwete katuweza kweli Watanganyika
 
Kiwanda cha Cement ni kwa ajili ya nchi Tanzania, refinery ni kwa ajili ya nchi au kampuni yoyote duniani itakayotaka kuuza crude oil yake au kununua mafuta yaliyosafishwa.
Yes, lakini bado ni muhimu sana kwa raia nmoja mmoja. Imagine bei ya mafuta eneo la Tanga mpaka mikoa ya jirani, fursa za ajira na biashara ya mafuta n.k
 
Kwa jinsi mh alimvyomshushua Ruto lazima Ruto akafanye mbinu zote kijengwe Mombasa
 
Kiwanda cha Cement ni kwa ajili ya nchi Tanzania, refinery ni kwa ajili ya nchi au kampuni yoyote duniani itakayotaka kuuza crude oil yake au kununua mafuta yaliyosafishwa.
Hilo linajulikana. Kwa hiyo unataka kusema refinery ikijengwa Tanzania nchi yenye refinery plant haifaidiki na chochote?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…