Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Muwekezaji mkubwa haangalii umuhimu wa biashara yake kwa raia bali soko lenye faida kubwa zaidi, upatikanaji malighafi, miondombinu, nishati na sera za kibiashara.Yes, lakini bado ni muhimu sana kwa raia nmoja mmoja. Imagine bei ya mafuta eneo la Tanga mpaka mikoa ya jirani, fursa za ajira na biashara ya mafuta n.k
Kuhusu bei za mafuta usiweke matumaini kwamba refinery itashusha bei kwa sababu kwanza hayo mafuta ghafi ya Uganda ni kidogo sana kwa hiyo bado tatendelea kuagiza mafuta mengi nje ya nchi, pia sio ajabu ukakuta hata gharama za uzalishaji na usafirishaji wa mafuta ya Uganda ika sawa au zaidi ya kutoka kwingine tunapoagiza kwa meli sasa hivi.