Kulwa Jilala
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 3,891
- 8,448
Hukumbuki hata kumiliki hiyo simu na kutuma ujumbe hapa kama hayo yoyote na mafanikio ya CCM Kwa miaka 60. Kwanza umedanganyaaa, hakuna watu wanaokunywa topeeeMuulize hizo za CCM zimesaidia nini? miaka 60 plus baada ya uhuru watu wanakunywa maji ya tope kama wanyama
wanafunzi wanakaa chini hapana madawati?
wangempiga makofi pale pale alivyotamka huo ujingaMuulize hizo za CCM zimesaidia nini? miaka 60 plus baada ya uhuru watu wanakunywa maji ya tope kama wanyama
wanafunzi wanakaa chini hapana madawati?
Mimi situmii simu iliyotengenezwa wala kulipiwa na CCM? simu imetengenezwa korea kule hakuna ccm. nilinunua kwa pesa yangu toka mfukoni wala siyo CCM ilinunua. Watu wanakunywa tope nenda kwenye jimbo la January Makamba kule bumbuli au kule Bahi kisha uje uongee upuuzi hapa. uanfikiria Tz ni Dar tu. Hata hapa Dar kule tandika watu wanakunywa maji ya visima vya wapemba chunvi tupuHukumbuki hata kumiliki hiyo simu na kutuma ujumbe hapa kama hayo yoyote na mafanikio ya CCM Kwa miaka 60. Kwanza umedanganyaaa, hakuna watu wanaokunywa topeee
Chongolo hajui kwamba sasa CCM na Chadema ni kitu Kimoja?
Kwamba CCM ndiyo wamiliki wa makampuni ya kutengeneza simu na hata wanaotuma/tunaotuma hizi jumbe kutoka mataifa mengine ni mafanikio ya CCM, nchi zote duniani ziishukuru CCM kwa kumiliki simu. Kweli CCM ni simu na simu ni CCM.Hukumbuki ata kumiliki hiyo simu na kutuma ujumbe hapa kama hayo yoyote na mafanikio ya CCM Kwa miaka 60. Kwanza umedanganyaaa, hakuna watu wanaokunywa topeee
Mkuu una umri gani? Kwani wakati hatuna hizo simu, mtawala alikuwa wa nani? Haya masuala ya simu na mengineyo ni utandawazi na technology kwa dunia mzima. Hata wewe ungekuwa rais vingekuwepo.Hukumbuki ata kumiliki hiyo simu na kutuma ujumbe hapa kama hayo yoyote na mafanikio ya CCM Kwa miaka 60. Kwanza umedanganyaaa, hakuna watu wanaokunywa topeee
Mkuu una-imagination kali namna hii.Ruzuku ya CCM? Hivi Mwendawazimu alifanikiwa kuwa-brainwash kiasi hicho? No wonder ndiyo maana kuliibuka uzuzu wa mara barabara za Jiwe, meli za Jiwe, miradi ya Jiwe sasa je kipindi cha Mchonga kuanzia nchi ilipopata uhuru angekuwa ni Jiwe si hata nchi angeiita Jina lake na mikoa akipa majina ya watoto wake na hata mlima Kilimanjaro angeuita mlima Chato.
Eti ruzuku za CCM.
Unaposema CCM hajafanya chochote, inaonesha hujui historian ya hiii nchiMkuu una umri gani? Kwani wakati hatuna hizo simu, mtawala alikuwa wa nani? Haya masuala ya simu na mengineyo ni utandawazi na technology kwa dunia mzima. Hata wewe ungekuwa rais vingekuwepo.
Mbona CCM imeweezesha maendeleo ya kiteknologia Kwa kiwango Cha juu?? CCM imeitoa nchii Toka mbaliiii, fikiriaa hivyo ulivyo na unavyochati hapa, haya yote ni mafanikio ya CCM. Angalia majengo ya kisasa ya watu binafsi yanavyojengwaa. Mawasiliano yameboresheka parefuuu, saaana. Ibu ipongezeni CCM Kwa kuikomboa Tanzania yetu. Acheni kubezaaKwamba CCM ndiyo wamiliki wa makampuni ya kutengeneza simu na hata wanaotuma/tunaotuma hizi jumbe kutoka mataifa mengine ni mafanikio ya CCM, nchi zote duniani ziishukuru CCM kwa kumiliki simu. Kweli CCM ni simu na simu ni CCM.
Sukuma gang wanamtindio wa ubongo, labda kwa kuwa bado wanaomboleza maana kuomboleza kwa muda mrefu huwa kunasababisha hitilafu kwenye afya ya akili.
Sawa lakini mawasiliano haya yakimtandao yamewezeshwa na nani kama sio CCM. Simu umenunulia huko, lakini mtandao unaoutumia ni juhudi za CCM. Ebu ipongezee CCM basiiii.Mimi situmii simu iliyotengenezwa wala kulipiwa na CCM? simu imetengenezwa korea kule hakuna ccm. nilinunua kwa pesa yangu toka mfukoni wala siyo CCM ilinunua. Watu wanakunywa tope nenda kwenye jimbo la January Makamba kule bumbuli au kule Bahi kisha uje uongee upuuzi hapa. uanfikiria Tz ni Dar tu. Hata hapa Dar kule tandika watu wanakunywa maji ya visima vya wapemba chunvi tupu