HATA KICHAA ANAJUA WATU WANAKUNYWA MAJI YA TOPEHukumbuki hata kumiliki hiyo simu na kutuma ujumbe hapa kama hayo yoyote na mafanikio ya CCM Kwa miaka 60. Kwanza umedanganyaaa, hakuna watu wanaokunywa topeee
Umeyanywaa?? Acha kitapeliii watu bwanaaHATA KICHAA ANAJUA WATU WANAKUNYWA MAJI YA TOPE
kipanya kayashikia akili masukuma gang.Chatu hafugwi
Mkuu Ujamaa ni Mhimu, lakini umetupa wapi Azimio la Arusha? Maana utekelezaji wa huo UJAMAA ni lazima Azimio la Arusha liwepo. Ebu landana na jina lako.Unaposema CCM hajafanya chochote, inaonesha hujui historian ya hiii nchi
Azimio la Arusha lingali hai, ukitaka kuliona ni huuu mwendelezo wa sera ya UJAMAA. chama Cha mapinduzi ambacho ni mtekerezaji mkuu wa ujamaa, kingali Bado kinafanya KAZI Kwa mjibu wa sera ya UJAMAA.Mkuu Ujamaa ni Mhimu, lakini umetupa wapi Azimio la Arusha? Maana utekelezaji wa huo UJAMAA ni lazima Azimio la Arusha liwepo. Ebu landana na jina lako.
Nenda mji wa handeni tanga , hata hilo tope unaligombaniaHukumbuki hata kumiliki hiyo simu na kutuma ujumbe hapa kama hayo yoyote na mafanikio ya CCM Kwa miaka 60. Kwanza umedanganyaaa, hakuna watu wanaokunywa topeee
johnthebaptist unalinganishwa na Chongolo!Hahahah chongolo naye ni jf memba, huenda ni johnbaptist😅maoni yake yanaakis mabandiko ya john
😃
Mkuu hayo yote uliyoelezea sio maudhui ya AZIMO LA ARUSHA. Nadhani ni vyema ukaenda kujifunza na ukajua nini kilichopo ndani yake. Haya unayoelezea ni sawa na kudandia garimoshi kwa mbele.Azimio la Arusha lingali hai, ukitaka kuliona ni huuu mwendelezo wa sera ya UJAMAA. chama Cha mapinduzi ambacho ni mtekerezaji mkuu wa ujamaa, kingali Bado kinafanya KAZI Kwa mjibu wa sera ya UJAMAA.
YAFUATAYO ni matendo yanayo fanyika dhahiri Kwa mjibu wa ujamaa,
Sera ya UJAMAA na kujitegemea inaaamini hasa katika mgawanyo sawa wa maendeleo Kwa wote. Mfano, Leo hiii ukiona barabara inajengwa Moshi basi utakuta barabara hiyohiyo inajengwa sumbawanga ambapo yanakuwa nimatokeo ya makusanyo bajeti yaliyotokana na wananchi wenyewee. Pia huduma zote za jamii husambazwa Kila pahala ambapo Pana raia wa kitanzania kwani naye Kwa mjibu wa ujamaa, anastahiri huduma hiyooo. Kama sio ujamaa, huenda ungekuta maendeleo yanakuwa na ubaguzi wa hali ya juuu.
Hivyo basi sera ya UJAMAA ni MUHIMU Kwa sababu kunakuwa na mgawanyo sawa wa maendeleo Kwa wote bila ubaguziiii.
Tuwapuuze watu wanaohuniri sera za majimbo na kusema Kila mkoa ujitegemee kutoka a na rasilimali zao, wakisahau yakwamba Kuna baadhi ya mikoa hata ukipanda mahindi hayaotii. Sasa hao wataishije kama tukiacha UJAMAA?? Hivyo tuipongeze CCM Kwa kuwa na sera nzuri ya UJAMAA.
Wanakunywa matopee?? Thinitishaaa.Nenda mji wa handeni tanga , hata hilo tope unaligombania
Kikubwa ujumbe umepata, ila umeamuakuchagua ubishi. Hayaa Kaa Ivo ivoooMkuu hayo yote uliyoelezea sio maudhui ya AZIMO LA ARUSHA. Nadhani ni vyema ukaenda kujifunza na ukajua nini kilichopo ndani yake. Haya unayoelezea ni sawa na kudandia garimoshi kwa mbele.
Katuni mkuu wa hovyo katika historia ya chama la majiziKwanza Chongolo ndio nani ili tuanzie hapo.
Chatu kameza mbwa lakini mbwa nae amemtoboa chatu na kazi inaendeleaHivi hapa Kipanya alimaanisha nini?View attachment 2544091