Daniel Chongolo: Hotuba za viongozi wa CHADEMA hazina tija kwa wananchi

Muulize hizo za CCM zimesaidia nini? miaka 60 plus baada ya uhuru watu wanakunywa maji ya tope kama wanyama, wanafunzi wanakaa chini hapana madawati?
Hii ndio siasa Muraaa,inaweza kuwa zinawaingia wananchi moyoni kuliko zile za miaka 60,toka uhuru🤔
 
Pia wasomi wote wampuuze huyo kada maana ametoa maoni kwamba waliomaliza shahada ambao hawana ajira waende VETA. Huu ni msiba na aibu kubwa
 
Kweli hapo ufipa ni majinga sana
 
Ila mkumbilia Ubelgiji ndiyo ana fit?
Mkuu, kwa nionavyo ana fit. Ila nadhani atakuwa karibu sana na CAG na TAKUKURU. Watumishi wa Umaa wa Serikali itabidi wazijue sheria zao za utumishi wa Umaa. Kwa ujumla SHERIA itasimama, ita-tamalaki kila eneo. Hivyo kwa wale wasiofuata taratibu, kanuni za msingi wa sheria watapata shida sana. Kwa mantiki hiyo, wavunja sheria hawata mpenda.
 
Huna akili kabisa, yani mtu amejibanza kwenye geto la Amsterdam alafu afit kuwa rais wa Tanzania?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…