Daniel Chongolo: Mkataba Unahusisha Bandari zote, za Bahari na Maziwa Makuu Zote

Daniel Chongolo: Mkataba Unahusisha Bandari zote, za Bahari na Maziwa Makuu Zote

Kwa mujibu wa Katiba ipi?

Hilo halipo kwenye katiba...

Kumbuka wanaoongoza nchi ni watu, wenye kujiwekea ilani kupitia vyama vyao vya kisiasa...

Tokea nchi hii imeanza kuwa nchi huru, imekuwa chini ya utawala wa chama kilichtengeneza katiba, kilichounda serikali zote, chenye uamuzi bungeni n.k
 

Attachments

  • 3B5DD8F3-EDA1-43F6-A8EA-C864AAF7033D.jpeg
    3B5DD8F3-EDA1-43F6-A8EA-C864AAF7033D.jpeg
    34.6 KB · Views: 2
Hawa watu wanajua wanachoongea kweli?
Mbona hawataki kushika mkataba wenyewe kisha ndio tuchambue?
Kwanini hawataki hilo na badala yake ni blah blah?
Hivi CCM mpo madarakani kwa ajili ya ufisadi wa raslimali zetu?
Mnajua kuna kiama na dhambi hizi zitawaandama hadi jehenam?
 
Back
Top Bottom