Daniel Chongolo: Mkataba Unahusisha Bandari zote, za Bahari na Maziwa Makuu Zote

Daniel Chongolo: Mkataba Unahusisha Bandari zote, za Bahari na Maziwa Makuu Zote

Mithali 29:12 SRUV​

Mwenye kutawala akisikiliza uongo; Basi watumishi wake wote watakuwa waovu.
ama kabisa au siyo? Wanajifanya watakatifu sana kumbe?

ama kabisa au siyo? Wanajifanya watakatifu sana kumbe?

ukisema twende hivi hatufiki
 
Swala la Bandari ni la CCM siyo la Mtu Binafsi

Sentence Moja tu iliyonyooka imefunga mjadala

Unakuta tena Kigwangalla anataka kuongea na Waandishi wa habari, huo Siyo Utaratibu wa chama

Mungu wa mbinguni mbariki Komredi Chongolo!
Nikajua kaongea kuhusu article ambazo zina ukakasi kweny mkataba 🤣🤣🤣🤣, kumbe porojo za kichama.
 
Ticts hawakupewa bandari yote walipewa baadhi y gate tu. Alafu ni wazawa walizingua wamezinguliwa. Hao DP world wakizingua tutawaweza na wanasheria wetu kina johari? Acheni utani. Wapeni DP world iliyokua Ticts basi ata wakikaa miaka mia kenda poa tu

Mkataba umekatali na waTZ wengi hivyo upigwe chini tu.

Kama italazimika kuwepo basi iwe miaka 5 tu kwma kule visiwani.

Ticts yenyewe ilikuwa ya kinyonyaji sana kwa waTZ .
 
Mwanasheria mbobevu Hamza alishaufafanua mkataba

CCM ni chama kikubwa kinamiliki Dola tofauti na vyama Mbadala akina Chadema &co 😂😂
Still wakuu wanazid kuja kujitetea public while mwanasheria nguli hamza kashatolea ufafanuzi!! Hii ngoma mpaka itoke na nyama walah 🤣🤣🤣
 
Ticts hawakupewa bandari yote walipewa baadhi y gate tu. Alafu ni wazawa walizingua wamezinguliwa. Hao DP world wakizingua tutawaweza na wanasheria wetu kina johari? Acheni utani. Wapeni DP world iliyokua Ticts basi ata wakikaa miaka mia kenda poa tu
DP wamepewa bandari mzima?.Unahakika kuhusu hilo statement??
 
Back
Top Bottom