Daniel Chongolo: Mkataba Unahusisha Bandari zote, za Bahari na Maziwa Makuu Zote

Daniel Chongolo: Mkataba Unahusisha Bandari zote, za Bahari na Maziwa Makuu Zote

Nyie mnabishana kijinga. IGA ipo Kingerea, itatafsiriwa kwa sheria za Kingereza kama kuna utata.

Nchi zote mbili zinalindwa na sheria ya Kimataifa ya Umoja wa Mataifa.

Sheria msumeno. Mnafikiri zipo kwa upande wa Tanzania tu?
Na Tanzania uses the very British law modules and systems...
 
Kuna kauli za:
Si.. (Mkataba/Makubaliano)
na
Ni..(Mkataba/Makubaliano)
Kuna mjinga mmoja ameongezea kauli ya tatu; Itifaki. Kwa hiyo imekuwa:

Si.. (Mkataba/Makubaliano/Itifaki)
na
Ni..(Mkataba/Makubaliano/Itifaki)
 
Wajinga sana hawa jamaa, kila siku wanazidi kujivua nguo, ndio maana sasa kina FaizaFoxy na The Boss wanatembea na mawe mfukoni, maji yameshazidi unga, ule mkataba wa kishetani bandarihihauteteeki, Samia alaaniwe.
Na kampuni ya TICTS iliyopo bandarini kwa sasa na tangia miaka ishirini! tumlaumu nani?
 
What if DP World's origin would have been from another country would our thinking or debates have been different?
 
Nawashangaa eti Rafiki! Watu hawajui Kabisa DPW ni mkombozi wetu! Au nasema uongo ndugu yangu?;
Ni mkombozi ndiyo lakini pia imekuja kutuongezea upana WA akili tusilale tupanue elimu yetu bila hvyo Mali zetu zitaliwa na wenye elimu
 
Je nichague jibu lipi kati ya haya:

a- Ni makubaliano,
b- Si Mkataba,
c- Ni mkataba,
Huo ni mkataba , kwa sababu ulijadiliwa bungeni kisheria na umesainiwa kisheria , mkataba ni makubaliano yanayofikiwa kisheria .
 
Na kampuni ya TICTS iliyopo bandarini kwa sasa na tangia miaka ishirini! tumlaumu nani?

Ticts hawakupewa bandari yote walipewa baadhi y gate tu. Alafu ni wazawa walizingua wamezinguliwa. Hao DP world wakizingua tutawaweza na wanasheria wetu kina johari? Acheni utani. Wapeni DP world iliyokua Ticts basi ata wakikaa miaka mia kenda poa tu
 
Mbona Ile timu ya Johari wanasema Bandari ya Dar![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hoja zinazidi kuibuliwa:

DP World wamepewa haki ya kumiliki ardhi, kwenye phase 2 wamepewa bandari zote za kwenye maziwa wakimaliza ya Dar es salaam

Phase 1 and 2 zote hazisemi ukubwa wa kazi watakazofanya hapo bandari kwamba bandari ifikie uwezo gani
1689498136353.png

=
1689498158259.png

=
1689498176474.png

= cc FaizaFoxy ufafanudhi tafadhari.
 
Mbona Ile timu ya Johari wanasema Bandari ya Dar![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwa kuanzia, na TPA ikiona kazi yao nzuri na wameleta mafanikio yanayotarajiwa basi bandari zingine wanaweza wakapewakuziendesha pia.


Mie natamani hawa Waarabu wangepewa wizara mbili hivi watufundishe namna kazi zinavyofanywa kisasa.

Tupo nyuma sana jinsi tunavyofanya kazi zetu Mawizarani.

Kwanza kabisa, kama nchi, tumejisahau kabisa kuwa wizara zipo kuhudumia Raia zake na wasio raia ili mambo yaende kwa haraka na wepesi wa maisha upatikane.

Tanzania ni kinyume chake.
 
HGA nazo ni Agreements (Host Government Agreements)

Ila hizo hamuoni tabu kuziita mikataba ila IGA mnaona tabu kuiiita mkataba!
Kama tunajadili kuhusu Agreements zilizoandikwa Kingereza tujadiliane kwa lugha hizo, la sivyo, ziite vyovyote upendavyo mradi haibadili maana ya IGA au HGA kwa Kingereza, lugha iliyotumika kuiandika.

Wasting of time kujadiliana kijinga.
 
Kama tunajadili kuhusu Agreements zilizoandikwa Kingereza tujadiliane kwa lugha hizo, la sivyo, ziite vyovyote upendavyo mradi haibadili maana ya IGA au HGA kwa Kingereza, lugha iliyotumika kuiandika.

Wasting of time kujadiliana kijinga.
Hii inapingana na hoja zako za awali na ambazo ulini-quote! Acha kubadilisha
 
Back
Top Bottom