Daniel Chongolo: Mkataba Unahusisha Bandari zote, za Bahari na Maziwa Makuu Zote

Daniel Chongolo: Mkataba Unahusisha Bandari zote, za Bahari na Maziwa Makuu Zote

Swala la Bandari ni la CCM siyo la Mtu Binafsi

Sentence Moja tu iliyonyooka imefunga mjadala

Unakuta tena Kigwangalla anataka kuongea na Waandishi wa habari, huo Siyo Utaratibu wa chama

Mungu wa mbinguni mbariki Komredi Chongolo!
Mleta mada hivi zembwela nae wa kumsikiliza kabisa yule mchumia tumbo na anamengi hajui mfuata mkumbo tu
 
Swala la Bandari ni la CCM siyo la Mtu Binafsi

Sentence Moja tu iliyonyooka imefunga mjadala

Unakuta tena Kigwangalla anataka kuongea na Waandishi wa habari, huo Siyo Utaratibu wa chama

Mungu wa mbinguni mbariki Komredi Chongolo!
Hivi huu mkataba uliandaliwa na nani? Watanzania au waarabu?
 
Video | Daniel Chongolo: Mkataba Unahusisha Bandari zote, za Bahari na Maziwa Makuu Zote

View attachment 2689529
Ila nchi hii tumekuwa mapumbavu sana! Yaani mnaenda kunyofoa kipande kidogo cha kuhalalisha umbumbu wenu? Hebu wekeni badi clip nzima! Hapo alikuwa anawajibu wachochezi kwamba wanasema bandari zote zimebinafsishwa ndipo wakaanza kuzitaja, msitufanye hatuna akili sisi umbwa nyie! Kwa taarifa yenu DP world lazima achukue sehemu ya bandari ya Dar mtake msitake!
 
Na wewe umeingizwa mkenge? Hivi unajua kabla ya hiyo sentensi ya "Hili jambo limekuja na bandari za ziwa Tanganyika, ziwa Nyasa......" alikuwa amesema nini? Wamenyofoa kipande cha mwisho ili kuhalalisha ujinga. Chongolo alikuwa anawajibu hao wachochezi kwamba wanatangaza hili jambo limekuja na bandari zote ndiyo akaanza kuzitaja! Hatudanganyiki! DP world lazima apewe kazi!
 
Geography , elimu, uwezo na mitizamo inaonyesha kuwa mikoa anayotokea :-
1. Chogolo { Katibu Mkuu}- IRINGA

2. Sophia { Mwenezi}- KILIMANJARO

3. Naibu katibu mkuu { Elimringi}- KILIMANJARO

4. Kinana { Makamu Mwenyekiti}
Hawapakani wala Hakuna Bandari wa ziwa hivyo hawajui na Hawaoni umuhimu wa bandari wa ziwa.- ARUSHA

5. Mbarawa { Waziri wa ujenzi} kwao hawausiki na mkataba huu. - UNGUJA

6. Mwenyekiti { Saa100} - UNGUJA,anakotokea mkataba hauwahusu- haoni sababu Za msingi Za kuusoma na kuuelewa mkataba huu

7. UVCCM ni vilaza, hawataki kuusoma na kuutafsiri mkataba wao bora liende..Mwenyekiti - UNGUJA

ELIMU ZA WATU NA MAKUNDI NILIYOYATAJA HAZITABIRIKI NA HAZIKO KWENYE VIWANGO VYA KUUSOMA,KUUELEWA, KUUTAFSIRI MKATABA HUO.

Kwa mantiki hiyo kuna kila sababu ya kupambana na kundi au watu hao kupitia sauti ya watu wa Tanganyika kwa kuandaa maandamano ya Kudumu nchi nzima.
 
Mnafanya uhuni kwenye mambo serious, nyie vyama ndiyo sababu ham aminiki. Kwanini kupotosha na kujaza watu maneno mdomoni?
 
Acha uhuni, CCM ni cham dume
Watanzania hawajui kutofautisha kati ya siasa na facts....Na wabaya wetu ndani na nje ya chama Wana capitalize kwenye mambo ya kihuni kama haya...Ndani ya chama they do not speak what is fact na hao wajanja wanafanya uovu kisha wakija public wanajua hatutakiwi kusema kweli kwakua tunapenda chama chetu....Hii dilemma tulikowekwa naligharimu taifa na kusababisha watu kutojua saa ngapi waseme facts na wakati gani wafanye siasa.
 
Back
Top Bottom