Daniel Chongolo: Mkataba Unahusisha Bandari zote, za Bahari na Maziwa Makuu Zote

Daniel Chongolo: Mkataba Unahusisha Bandari zote, za Bahari na Maziwa Makuu Zote

Yote sawa tu, Kiswahili kifupi.

Tumia lugha iliyopo kwenye mkataba. Ndiyo inayotumika kisheria.

Tena tukitumia ule wa tafsiri yao ya Kiarabu, itabidi utumie neno ndoa.
Naona nawe sasa umekiri ni mkataba.
 
Naam, ninaelewa kiswahili kina changmoto zake.

Weka neno lako hapa, ili tujifunze zaidi.

"Kisheria, tunasema kila mkataba ni makubaliano, lakini sio kila makubaliano ni mkataba. Iko hivi, mkataba unakidhi matakwa yote ya kisheria, kama vile kuwa na maandishi, kuwa na pande mbili au zaidi zenye nia ya kisheria, kuwa na lengo halali na kuwa na ubadilishaji wa thamani.

Nikupe mfano, mimi na wewe tukikubaliana tuingie ubia wa kuuza magari, huu utaitwa mkataba kwasababu kuuza magari ni biashara halali, ili mradi tu tuzingatie sheria za nchi.


Lakini, makubaliano ni mikataba ambayo sheria na kanuni zake zinatawaliwa nje ya mfumo wa sheria mara nyingi, kwa sababu kuna makubaliano ya tabia nzuri ambayo yanaweza kuchukuliwa na umuhimu au uzito wa mkataba. Makubaliano hayo yanaweza kuzingatiwa kila siku, kwani watu kawaida huyatumia kufafanua masharti kuhusu shughuli ambayo inahitaji juhudi za pamoja kuzitimiza.

Kwa mfano, mimi na wewe tukikubaliana tuingie ubia wa kuuza madawa ya kulevya, huu hauwezi kuwa mkataba kwasababu kuuza madawa ya kulevya ni kosa kisheria, kwahiyo katika muktadha huu tutakuwa tumekubaliana tu lakini hatujaingia mkataba.


Kwa hiyo, tofauti ni kwamba mkataba una nguvu ya kisheria na unaweza kutumika katika mahakama ikiwa pande moja itavunja masharti yake, lakini makubaliano hayana nguvu hiyo na yanategemea imani na uaminifu wa pande zinazohusika."
Kwa ufafanuzi huu, kile walichopitisha bungeni ni mkataba? jibu lako plse
 
Nadhani ilitakiwa wakubaliane kwanza namna ya kutuambia kisha ndiyo waje watuelezee Wananchi.
Sahihi, Sababu kauli za kukinzana zimekuwa nyingi, baina ya wadau.

Kuna kauli za:
Si.. (Mkataba/Makubaliano)
na
Ni..(Mkataba/Makubaliano)
--
Edit
. @10:30am| sasa tuna
Si.. (Mkataba/Makubaliano/Itifaki)

na
Ni..
(Mkataba/Makubaliano/Itifaki)
Kiswahili kinaharibiwa tu, lakini Kiswahili fasaha neno agreement ni "itifaki".

Niliwahi kuandika mada hii chini zamani sana:

 
Kiswahili kinaharibiwa tu, lakini Kiswahili fasaha neno agreement ni "itifaki".

Niliwahi kuandika mada hii chini zamani sana:

 
Soma aya ya mwisho kwenye hayo maelezo.
Nimesoma, kile kilichosainiwa pale bungeni kwa kuna vipengere vinavyoruhusu kwenda mahakama ya Uk kwa utatuzi wa mgogoro ukizuka. Hapa kwetu kuna vipengere. vinakiuka katiba kwa kile kilichosainiwa pale, kuondoa hiyo wemeandaa marekebisho ya katiba ili kuondoa vipingamizi hivyo. Mpaka hapo watakapoondoa hivyo vipingamizi ule utakua mkataba, kwa sasa ni makubaliano.
Nisahihishe hapo najifunza bado.
Nyongeza. Wabunge iliwabidi wavijue hivi vipengere na kutoa mapendekezo kuwa makubariano hayo yasipite mpaka marekebisho ya katiba yafanyike. Sasa bunge zima likiongozwa na yule bibi lango wamepitisha kitu kinachopinga katiba yetu. Yaani kwa dakika hii niongeayo katiba imevunjwa na makubariano yale. sasa serikali inaleta miswada kinyemela ili bunge libariki ile kitimoto isiwe haramu. Miswaada hiyo ni ipi na je, itatutendea haki sisi kama nchi. Tusubiri yajayo yanafurahisha.
 
Bandari zote [emoji15] za nchii hii? na mbona juzi mbarawa alisema ni gate no. 7 hadi 11 tu?
Hata majaliwa alivyokuwa Tanga alisema bandari ya Tanga haihusiki kwenye mkataba huo.

Basi hili jambo linafafanuliwa kwa style ya kutulisha maneno mazuri ila kwa baadae mwekezaji akishatia timu na shughuli ikaanza ndipo picha halisi ya mkataba itaonekana kujinasua hakutawezekana!
 
Hawa mbwa acha waropoke Iko siku wataharisha na tutawaua mchana kweupe alshabab na Islamic state wataingia na jeshi litajambajamba tu wasijue Cha kufanya yetu macho tu
 
Hatimae CCM imekiri kuwa Mkataba utahusu BANDARI za BAHARI na MAZIWA Makuu yote
Wakati walidai ni Bandari ya DSM tu
Ccm oyeee
 
Bado kidogo utasikia"mkataba utasimamia hadi shughuli za ikulu"
 
Wajinga sana hawa jamaa, kila siku wanazidi kujivua nguo, ndio maana sasa kina FaizaFoxy na The Boss wanatembea na mawe mfukoni, maji yameshazidi unga, ule mkataba wa kishetani wa bandari hauteteeki, Samia alaaniwe.
 
Back
Top Bottom