Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ccm ilishakufa zaman haipo tena ndo maana wakisikia tunadai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi wanaita hz ni chokochoko wajue katiba mpya ni sasa tunaitakaKatibu mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM-Tanzania Ndg Daniel Chongolo amewataka wana -CCM kupendana na kuthaminiana wakati wote ili kukidhi matamanio na matarajio ya Watanzania kwa Chama na Serikali,
Katika ziara yake ya siku 12 katika mikoa sita Mhe Chongole amewaasa viongozi na wanachama kuwa siasa sio chuki, siasa sio uadui, sio ugomvi wala kufitiniana siasa ni kupendana na kutakiana mema wakati wote
Wataponywa labda na Gwajima maana yeye ndiye anafuguaga vilivyo kufaHuyu ni katibu mwenye mikakati makini. CCM imepata mponyaji
Ujumbe ni mzuri wasiwasi wangu mlengwa atauelewa? Maana yule bundi pale mjengoni alifanya yakeUjumbe huu umfikie spika wa Bunge ambaye pia ni mbunge kupitia chama kongwe CCM.
Mbowe ni tumaini la wana mabadiliko wa Tanzania.Yasiwe maneno matupu, Mimi sio Chadema ila Mbowe aachiwe huyo Sabaya alipitiliza unyama wake alistahili kusukiwa mipango.
Hawaachiani glasi za maji ya kunywa.Wanawekeana suku wenyewe kwa wenyewe aliwahi kusema mzee wetu mswahili.
Upo sahihi maana hata mwenyekiti wao alishawahi kusema kabisa kuwa wana ccm kwa sasa hawawezi kuachina glass mezani.Hawaachiani glasi za maji ya kunywa.
Hawa jamaa wanachukiana wenyewe kwa wenyewe kuliko wote kwa pamoja wanavyichukia CHADEMA.
Kinachowafanya waonekane wamoja ni kwa sababu wako madarakani.
Nje ya hapo Hawa jamaa ni vita vya wenyewe kwa wenyewe.
😍Chongolo ni mtaalamu wa siasa hasa za kimkakati,
Tunakupongeza sana KM wetu chapa kazi,
😍😍Katibu mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM-Tanzania Ndg Daniel Chongolo amewataka wana -CCM kupendana na kuthaminiana wakati wote ili kukidhi matamanio na matarajio ya Watanzania kwa Chama na Serikali,
Katika ziara yake ya siku 12 katika mikoa sita Mhe Chongole amewaasa viongozi na wanachama kuwa siasa sio chuki, siasa sio uadui, sio ugomvi wala kufitiniana siasa ni kupendana na kutakiana mema wakati wote
All the best KM wanguKatibu mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM-Tanzania Ndg Daniel Chongolo amewataka wana -CCM kupendana na kuthaminiana wakati wote ili kukidhi matamanio na matarajio ya Watanzania kwa Chama na Serikali,
Katika ziara yake ya siku 12 katika mikoa sita Mhe Chongole amewaasa viongozi na wanachama kuwa siasa sio chuki, siasa sio uadui, sio ugomvi wala kufitiniana siasa ni kupendana na kutakiana mema wakati wote
Sio ustaarabu wa mijadala hiki ulichoandika. Huyu ni kiongozi ana mamilioni ya watu nikiwemo mimi, tunamheshimu sana tena sana!Huyu ndiyo zero kabisa.
DaaahHuyu bwana hana uhasama anajitahidi lakini siyo takataka Bashiru
Umeandika kinyume chakeSasa katiba mpya hamuitaki kwanini??
Upinzani mnawanyanyasa yanini?
Tusiubiri tusichoweza kutekeleza!!
Alafuuuu...
Mbolea bei juu
Petrol juu
Mafuta yakula juu
Sukari juu
Nyama juu
Vifaa ujenzi juu
Machinga chini
Wafanyakazi mishahara chini
Biashara chini
Bei za mazao chini
NCHI YA WAKULIMA NA WAFANYAKAZI IMEGEUKA NCHI YA WANASIASA...
Yule ni shetani kabisaDaaah
Hili chama kinaishi nje ya muda !Katibu mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM-Tanzania Ndg Daniel Chongolo amewataka wana -CCM kupendana na kuthaminiana wakati wote ili kukidhi matamanio na matarajio ya Watanzania kwa Chama na Serikali,
Katika ziara yake ya siku 12 katika mikoa sita Mhe Chongole amewaasa viongozi na wanachama kuwa siasa sio chuki, siasa sio uadui, sio ugomvi wala kufitiniana siasa ni kupendana na kutakiana mema wakati wote
Toa maelezo kama unajua ulichokiandikaHili chama kinaishi nje ya muda !