Mwanahabari wa Taifa
JF-Expert Member
- May 27, 2020
- 1,588
- 956
Katibu mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM-Tanzania Ndg Daniel Chongolo amewataka wana -CCM kupendana na kuthaminiana wakati wote ili kukidhi matamanio na matarajio ya Watanzania kwa Chama na Serikali,
Katika ziara yake ya siku 12 katika mikoa sita Mhe Chongole amewaasa viongozi na wanachama kuwa siasa sio chuki, siasa sio uadui, sio ugomvi wala kufitiniana siasa ni kupendana na kutakiana mema wakati wote