Daniel Chongolo: Siasa sio Uadui, fitina, majungu, ugomvi wala chuki

kuamini kauli za mwanaccm ni sawa na kuamini binadamu hawaitaji maji kwenye maisha yao!!! ungekua sio uadui msingekua mnaumiza upinzani, msingekua mnabambikia watu kesi msingekua mnawaua wapinzani bila kosa mbowe huyo mmempa kesi ya uongo yaani kama kuna mwanaccm na polisi ataingia mbinguni ujue katoa rushwa. nauhakika magu anaogelea kwenye ule moto wa blue mda huu
 
Pingeni kazi Team, tunawaombea
 
Utafikiri anachoongea ni kweli, Mbowe ni sehemu ya huu upuuzi wenu, mtalipa tu
 
Ujue hapo wanapanga kutuumiza tena, ujue kuna mkakati mwingine hatarishi dhidi yetu wanauandaa kwahio anajikosha Ritz bhana
 
Hakika iliyopita ilikua ni miaka mitano myeusi kwenye siasa za Tanzania. Hatutarudi huko. Tutakua makini kumpa dhamana ya Chama mtu tunaemjua historia ya Utanzania wake na uzowefu wake kwenye utamaduni wa siasa za ndani na nje ya chama
Bado iyo anayo sema ni siasa!! anatupiga za mbavu huyu jamaa!! tena bila aibu kabisaaaa!! wana siasa hayanaga aibu! kubwabwaja tu huku yamejaza mipaja ya kuku matumboni !! anagalia yanavo cheua tyuuu!

bila kuongopa TZ itakuwa Donor country!! siasa haiendi!
 
Hayo maneno alisitahili kuyatamka endapo Hangaya angekuwa amekutana na vyama pinzani na hayo mambo matano
1.Chuki
2.Uhasama
3.Uadui
4.Ugomvi
5.Vita
Ndio wangesema upinzani,sasa anasema mnyanyasaji

Huwezi kuwatenga raia wengine kisiasa na kuwadhulumu haki zao kinyume na Katiba ya nchi halafu ukasimama hadharani ukahubiri tofauti na mnayotenda CCM na Serikali yenu! Chongolo watanzania sio wajinga
....alijibwabwajia mwendazake
 
Kaziiendelee
 
Kazi iendelee kwa Speed hii hii
 
WanaSiasa ni ngumu sana kutokuwekeana chuki...
 
Ngoja tuone kama ni kweli au uongo,
 
KAZIIENDELEE Mr GS, We proud on you,
 
Natangaza rasmi kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan,
 
Mkuu tunakwelewa sana tu
 
Tanzania na Samia,

1.Uchumi Juu,

2. Uwekezaji juu

3. Diplomasia juu

4. Amani & Upendo juu

5. Maendeleo juu

6. Demokrasia juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…