Mwanahabari wa Taifa
JF-Expert Member
- May 27, 2020
- 1,588
- 956
Katibu mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM-Tanzania Ndg Daniel Chongolo amewataka wana -CCM kupendana na kuthaminiana wakati wote ili kukidhi matamanio na matarajio ya Watanzania kwa Chama na Serikali,
Katika ziara yake ya siku 12 katika mikoa sita Mhe Chongole amewaasa viongozi na wanachama kuwa siasa sio chuki, siasa sio uadui, sio ugomvi wala kufitiniana siasa ni kupendana na kutakiana mema wakati wote

Kwani mkt ndio Mahakama?
#Tanzania KaziiendeleeKatibu mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM-Tanzania Ndg Daniel Chongolo amewataka wana -CCM kupendana na kuthaminiana wakati wote ili kukidhi matamanio na matarajio ya Watanzania kwa Chama na Serikali,
Katika ziara yake ya siku 12 katika mikoa sita Mhe Chongole amewaasa viongozi na wanachama kuwa siasa sio chuki, siasa sio uadui, sio ugomvi wala kufitiniana siasa ni kupendana na kutakiana mema wakati wote
Nini tofauti ya Mr Chongolo na Dkt.Bashiru ( PhD)?Chongolo ni mtaalamu wa siasa hasa za kimkakati,
Tunakupongeza sana KM wetu chapa kazi,
Katibu mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM-Tanzania Ndg Daniel Chongolo amewataka wana -CCM kupendana na kuthaminiana wakati wote ili kukidhi matamanio na matarajio ya Watanzania kwa Chama na Serikali,
Katika ziara yake ya siku 12 katika mikoa sita Mhe Chongole amewaasa viongozi na wanachama kuwa siasa sio chuki, siasa sio uadui, sio ugomvi wala kufitiniana siasa ni kupendana na kutakiana mema wakati wote
Katibu mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM-Tanzania Ndg Daniel Chongolo amewataka wana -CCM kupendana na kuthaminiana wakati wote ili kukidhi matamanio na matarajio ya Watanzania kwa Chama na Serikali,
Katika ziara yake ya siku 12 katika mikoa sita Mhe Chongole amewaasa viongozi na wanachama kuwa siasa sio chuki, siasa sio uadui, sio ugomvi wala kufitiniana siasa ni kupendana na kutakiana mema wakati wote
Ungesema jabali la fitna ungesomekaCHADEMA nongwa zitawaua
MBONA CCM INAWAWEKA WAPINZANI MAGEREZANI NA KUWABAMBIKIZIA KESI?Katibu mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM-Tanzania Ndg Daniel Chongolo amewataka wana -CCM kupendana na kuthaminiana wakati wote ili kukidhi matamanio na matarajio ya Watanzania kwa Chama na Serikali,
Katika ziara yake ya siku 12 katika mikoa sita Mhe Chongole amewaasa viongozi na wanachama kuwa siasa sio chuki, siasa sio uadui, sio ugomvi wala kufitiniana siasa ni kupendana na kutakiana mema wakati wote
Hata Bashiru Ally Mlisema hivyo hivyo hakuna cha Siasa za Kimkakati zaidi ya Chuki Roho mbaya Mauaji KUBAMBIKIANA Kesi n.k ndio Siasa za CCM ila yana Mwisho mbaya Mwendazake yupo wapiChongolo ni mtaalamu wa siasa hasa za kimkakati,
Tunakupongeza sana KM wetu chapa kazi,
Anandika kwa kutoa mifano ya mikakati na elimu yake kwa ujumla. Usisifie kutafuta cheoChongolo ni mtaalamu wa siasa hasa za kimkakati,
Tunakupongeza sana KM wetu chapa kazi,