Daniel Chongolo: Siasa sio Uadui, fitina, majungu, ugomvi wala chuki

Je amewaasa wana CCM pekee wasifanyiane uadui au pia wasiwafanyie 'wengine'?
Na ujumbe huu unawahusu pia Green Guard, polisi, ....?
 
Hivi kweli huyu ndo Katibu Mkuu au mwenezi sielewi tafadhali nisaidieni?
 
#2025Fever itawapotezea muda wenu bure,hakuna wakumuangusha Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi hizi kubwa na nzuri anazozifanya,

#KAZIIENDELEE NA MAMA
 
Hakika kama mambo yataendelea kuwa hivi Rais Samia Suluhu Hassan atashinda Uchaguzi Huru na Haki wa 2025 kwa zaidi ya 76%
 
Kaziiendelee Tanzania
 
Kama mambo ndio haya basi Tanzania kama kuna wakati tumepata Rais bora na wa kweli nadhani ni sasa,Tufanye kazi kwa bidii sana,

Hakika huyu Mama ni Mpango wa Mungu,

#WATANZANIA TUFANYE KAZI KWA BIDII
 
Safi Sana Comred
 
Nailed
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…