Daniel Kijo: Nilikuwa nina rafiki yangu chuo alijenga Apartments kwa Boom la chuo!

Huyo ni mpumbavu amesoma kuongeza ujinga,labda alijenga nyumba za mabox....

Ndio maana vijana wakimaliza vyuo wanakua na ndoto za hovyo kwa kuwaamini wajinga kama huyo kijo
 
Ili nyumba ya chumba kimoja,choo,jiko na sebule iishe inakubidi angalau milioni tisa iwe peupe.

Huyo mwanachuo hilo bumu lilizidi milioni tisa kwa mwaka hadi akaweza kuendeshea maisha ya chuo na kujenga? Kiwanja alitumia bumu kununulia?

Tunasomesha na tunajenga kwa wakati huo huo,tuache stori za kukatisha tamaa vijana wetu wajione hawakuutendea kazi ya maana mkopo.

Sh. 7,500 kwa siku kwa miaka 3/4 ale na kujenga apatimenti?
 
Ntawezaje kujenga wakati mimi mkopo hawajanipa kwa 100%?? Ada ni milioni 1,400,000 sasa wenyewe wanakulipia 400,500 nyingine utajijuaa huko so Boom likitoka nafaulishiaa sasa hapo utajengaje ? Labda kwa wanaesoma afya huko

Hata huyo wa afya anawezaje kujenga apartments? Kwa mahesabu gani?
 
hata nyumba ya kawaida ni apartment
 

[emoji23][emoji23][emoji23]
 

Bei ya kiwanja? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukajenga apartment? Labda kama unaongelea mbavu za mbwa lakini sio apartmemt ambayo inaisha na unamkaribisha mtu kabisa.
Nakwambia mimi miaka yote mitatu tungekuwa tunalipwa kwa siku zote 363 kwa mwaka kwa miaka miatatu ni 5,475,000. H

Hahahahhaa
 

Hahahahahah[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Japo hii ni chai ila ngoja niulize
Asa huyo aliyejenga appartments atahadithia nini wajukuu wake?
Hao ndo wanaokuja kusumbua uzeeni kwao kwa kuruka stage.

Hahahahah
 
Bei ya kiwanja? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
viwanja kuna watu hupewa toka wadogo,jamaa niimesoma nae o level alikua na kiwanja kikubwa tu

So huwezi kujenga kwa boom tu kama huwezeshwi na mzazi kidogo
 
Yaani huyu Daniel Kijo muongo sana.
Sema sijamsikia siku nyingi labda ndo "came back" aliyochagua.

Nawaza aliyekuwa ana hadithiwa hiyo hadithi
 
Huyo ni mpumbavu amesoma kuongeza ujinga,labda alijenga nyumba za mabox....ndio mana vijana wakimaliza vyuo wanakua na ndoto za hovyo kwa kuwaamini wajinga kama huyo kijo

Hahahaha
 

Hahahahaha
 
Unalipiwa 400500 ada jumla n 1400000 mzee amekupambania akijua utapat mkopo asilimia Kama zote kumbe unapata robo

This is Tanzania mzazi wanakuaminisha uwez kulip ada shule ya msing na secondary lkn ukifik chuo cjui wazaz wanazitoa wap???

Sio kwa mazuri mlio tufanyia mwaka huu unapamban unakul xhule alaf boom nalenyew unaishia kulipia ada ya chuo

Sijui wadogo zetu itakuaje
 
Hata km boom haliwezi kujengaa appartment.

Tusidanganyane hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…