Daniel Kijo: Nilikuwa nina rafiki yangu chuo alijenga Apartments kwa Boom la chuo!

Japo hii ni chai ila ngoja niulize
Asa huyo aliyejenga appartments atahadithia nini wajukuu wake?
Hao ndo wanaokuja kusumbua uzeeni kwao kwa kuruka stage.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndo hawa wanafanya baadhi ya wazazi kuanza kuwatupa wanao wa chuo kisa wana mikopo na boom.
 
Danielo Miaka Ile anasoma UDSM boom lilikuwa 2500 hebu atueleze huyo rafiki yake alijengaje apartments?

Vijana wawe wakweli kama alikuwa anaboostiwa na wazazi au anabishara haramu aeleze waache kudanganya
 
Maswali ni mengi kuliko majibu .. otherwise utuambie alikuwa anafanya biashara zingine..

boom linajulikana..hata usave zote miaka yote 3 bado huwezi kujenga appartments na bado boom ilo ilo ule ufanye mahitaji yako muhimu ya chuo ( kula, stationary,transport,rent etc ).
 
mie nimejenga ghorofa kwa boom na nishasahau kutembea na bahasha ya kaki kutafuta ajira,vijana tumieni hela vyema
 
Duuuu kudadadeki..... khaaaaaaa bonge la kamba.
 
Bado hatujasahau ya kununua gari iliwezekana vp huyu kaja na ya kujenga apartment au alikuwa analipwa kwa usd itakuwa.
 
Mimi nimesoma chuo kipindi hakuna simu wala computer, jamaa kapinga fix huyo hata kama amesoma sasa wakilipwa 7500 per day labda awe na shughuli nyingine.
 


Kajenga apartment , nyumba au vyumba au chumba???

An apartment , a house, Rooms or a room???😱
 
Boom huwezi jenga waache fix



Mi Cha maana nilichoifanyia ni kuezeka na bati mabanda ya uani nyumbani hapo bi mkubwa anapata kodi yake fresh na kupaka nyumba rangi maana kwetu kulikuwa ni plasta tu najua bi mkubwa asingetoboa pekeyake


Plus kununua pc [emoji1787][emoji1787]
 
Halafu Uwaga nachukia Mtu ananiambia inspiration za Uongo.
.
The same to me, wakati nasoma Udsm Law nilikuwa nalipwa hyo Elfu5.
.
Sasa piga Kwa miaka mi4 times siku365 times Elfu5 Kwa siku.
.
Huyo Kijo Ni Muongo Sana
 
Make hapo kwanza ncheke🤣🤣

Boom hili hili au kuna lingine?🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kupata vichekesho kama hivi tunapiga ngapi vile?🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…