Danube wamuandikia hamisa mobetto barua afute tangazo lao katika instagram page yake

Hebu tuliza munkari basi hata uandike ueleweke!!
 
Hajui kutumia fursa huyu mdada! Ana uswahiliswahili sana vinginevyo kuwa na Mondi ni fursa tosha kutoka kimaisha ila yeye hakujua kuitumia akaishia kwenye mipasho ya kijinga. Mwenzake Zari kajimilikisha tena yeye kabaki na uswahili wake
Tatizo ni elimu. Anaweza kuwa hajui aanzie wapi kupata hizo fursa na wanaomzunguka pia hawajui. Anaweza pia kuwa hajui kafikaje hapo hivyo kujua ni fursa gani anatakiwa kuwa nayo ni kazi ngumu. Hajui pia kumtafuta mshauri mzuri wa kupatia hizo fursa. Nikazi kweli kweli.
 
Danube nao waache roho mbaya kha! Maagizo toka dash dash kazi kweli kweli!
Hamisa fanya ya kujiendeleza enough with this drama utajutia mbele ya safari. Jenga maisha yako na watoto wako kikubwa omba sana kwa Mungu wako juu ya ulinzi wa watoto wako kemea laana ya kukataliwa. Shinda roho ya majivuno jijenge kiroho na kiuchumi utakuwa mtu wa kucheka sanaaaa mbeleni ukigeuka nyuma na kuangalia ulikotoka. Mungu hawezi kukuacha. Jenga heshima kwa watoto wako mengine ni mpango wa Mungu. Be Happy Life is too short!
 
Sasa nimeelewa kumbe ni maagizo ya mungu wa Darisalama!!

Kweli huyu dada akae pembeni au ahame jiji.
 
Ungemshauri haya kabla hajaaribu sasa
 
Lakini mkuu bosi Ruge si yupo pale Clouds anafundisha fursa daily.....[emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…