Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Acha tujionee movie yaoHamisa na Diamond wote waswahili
Naona zari yupo pembeni anajichekea tu anaangalia vita vya panzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha tujionee movie yaoHamisa na Diamond wote waswahili
Naona zari yupo pembeni anajichekea tu anaangalia vita vya panzi
Nimewaza the same.Hii vita itakuwa na msukumo nyuma yake, sidhani kama kuna mfanyabiashara anayechukia promo ya bure...
Hebu tuliza munkari basi hata uandike ueleweke!!Ha ha haaaaa
Safi sana
Hiyo michepuko inafikiri kila kitu inaweza kuingilia.. nilijua hili litakuja.. akili sifuri kisa alifikiri utajiri unaambukizwa kupitia ngono.. eeeeh
Tarehe 30 Inawadia ni kesho kutwa.
Mnitag sitaki kupitwa na udaku wa star mpenda kupaoaswa bila kujionea aibu. Aliniuzi sana kumpamba misa siku aliongea Clouds.. ila misa akisubiri kesi imembidi aende Nairobi kupimbishwa na visichana virafiki vyake alivyokugana navyo Insta.. wanamtumia kama gari bovu kupata pesa huku yeye anatumia mwili wake.. jingwa kubwa.
Kweli asee,ila mi naona Hamisa angeachana na hii vita...anaumia yeye zaidiAcha tujionee movie yao
Kweli kabisa angetulia amlee tu mtoto wake mwenyeweKweli asee,ila mi naona Hamisa angeachana na hii vita...anaumia yeye zaidi
Hii nayo ni moja ya strategy y marketing usikute keshakula mpunga wake
Hivi unajuwa kwamba Lipumba ni Profesa?Pelekeni watoto wenu shule ndugu zangu!
Sema nchi hii nayo tofauti ya msomi na asiye msomi ni ndogo mno!
Ila wapelekeni tu at least wataelimika!
Tupe matokeonipo nafuatilia DSM derby mkuu...huku nitakuja baadae
1-1 hadi sasaTupe matokeo
Asante Mkuu.1-1 hadi sasa
Hebu tuliza munkari basi hata uandike ueleweke!!
Tatizo ni elimu. Anaweza kuwa hajui aanzie wapi kupata hizo fursa na wanaomzunguka pia hawajui. Anaweza pia kuwa hajui kafikaje hapo hivyo kujua ni fursa gani anatakiwa kuwa nayo ni kazi ngumu. Hajui pia kumtafuta mshauri mzuri wa kupatia hizo fursa. Nikazi kweli kweli.Hajui kutumia fursa huyu mdada! Ana uswahiliswahili sana vinginevyo kuwa na Mondi ni fursa tosha kutoka kimaisha ila yeye hakujua kuitumia akaishia kwenye mipasho ya kijinga. Mwenzake Zari kajimilikisha tena yeye kabaki na uswahili wake
Sasa nimeelewa kumbe ni maagizo ya mungu wa Darisalama!!Danube nao waache roho mbaya kha! Maagizo toka dash dash kazi kweli kweli!
Hamisa fanya ya kujiendeleza enough with this drama utajutia mbele ya safari. Jenga maisha yako na watoto wako kikubwa omba sana kwa Mungu wako juu ya ulinzi wa watoto wako kemea laana ya kukataliwa. Shinda roho ya majivuno jijenge kiroho na kiuchumi utakuwa mtu wa kucheka sanaaaa mbeleni ukigeuka nyuma na kuangalia ulikotoka. Mungu hawezi kukuacha. Jenga heshima kwa watoto wako mengine ni mpango wa Mungu. Be Happy Life is too short!
Ungemshauri haya kabla hajaaribu sasaDanube nao waache roho mbaya kha! Maagizo toka dash dash kazi kweli kweli!
Hamisa fanya ya kujiendeleza enough with this drama utajutia mbele ya safari. Jenga maisha yako na watoto wako kikubwa omba sana kwa Mungu wako juu ya ulinzi wa watoto wako kemea laana ya kukataliwa. Shinda roho ya majivuno jijenge kiroho na kiuchumi utakuwa mtu wa kucheka sanaaaa mbeleni ukigeuka nyuma na kuangalia ulikotoka. Mungu hawezi kukuacha. Jenga heshima kwa watoto wako mengine ni mpango wa Mungu. Be Happy Life is too short!
Lakini mkuu bosi Ruge si yupo pale Clouds anafundisha fursa daily.....[emoji23] [emoji23]Tatizo ni elimu. Anaweza kuwa hajui aanzie wapi kupata hizo fursa na wanaomzunguka pia hawajui. Anaweza pia kuwa hajui kafikaje hapo hivyo kujua ni fursa gani anatakiwa kuwa nayo ni kazi ngumu. Hajui pia kumtafuta mshauri mzuri wa kupatia hizo fursa. Nikazi kweli kweli.